Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Kivp mkuuUkiacha bangi itakuwa uamuzi mzuri kwakoView attachment 2570012
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivp mkuuUkiacha bangi itakuwa uamuzi mzuri kwakoView attachment 2570012
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya champions,angalia timu zilizoingia robo fainali na angalia zilizodondokea confederation baada ya kutokota champions league ni timu kali tupuInafuatana na timu mnazokutana nazo
Hizi ndizo akili halisi za Mitanzania. Hivi ndivyo Mitanzania ilivyo.Scouting ya wachezaji mtandaoni ni hatari sana. Kocha awali alichagua kikosi vizuri na alishinda bila shida kabisa.
Wachawi wa mpira wetu wakaanza oo nani kaachwa ni ushabiki maandazi kabisa. Nani hafahamu Hussein tshabalala alituchomesha CHAN hapa Dar, nani hajui Kapombe alituchomesha mara kibao?
Huu ushabiki mandazi Hadi kocha anaharibu game plan kwa kulazimika kuingiza maingizo yasiyokuwa na maana kabisa. Timu iliyoshinda angeiacha kwanza.
Solution
Mashabiki wa Simba mnasumbua sana Taifa hili na makelele yenu. Na kocha akiendelea hivi ndo mwisho wa safari yetu.
Prof. Nabi apewe timu
Je tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba ??View attachment 2569756
Makolo ni hovyo sana, chezesheni hivyo vizee vyenu hukohuko simbaUtopolo awajawah kuwa timamu
Msiwachukulie serious..
Scouting ya wachezaji mtandaoni ni hatari sana. Kocha awali alichagua kikosi vizuri na alishinda bila shida kabisa.
Wachawi wa mpira wetu wakaanza oo nani kaachwa ni ushabiki maandazi kabisa. Nani hafahamu Hussein tshabalala alituchomesha CHAN hapa Dar, nani hajui Kapombe alituchomesha mara kibao?
Huu ushabiki mandazi Hadi kocha anaharibu game plan kwa kulazimika kuingiza maingizo yasiyokuwa na maana kabisa. Timu iliyoshinda angeiacha kwanza.
Solution
Mashabiki wa Simba mnasumbua sana Taifa hili na makelele yenu. Na kocha akiendelea hivi ndo mwisho wa safari yetu.
Prof. Nabi apewe timu
Je tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba ??View attachment 2569756
Pamoja na uchawi.Inafuatana na timu mnazokutana nazo
Yeah, mabadiliko kwa maana ya substitution. Sub ilipofanyika na goli likaingia. Zimbwe na Muzamiru walipotolewa eti Job akaenda kati! Jibu la swali lako ni ndiyo, heri kocha angeendelea kuwaamini wachezaji wa SimbaHapana....mabaliko ya kikosi yamechangia