Je, tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba pale stars?

Je, tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba pale stars?

Yeah, mabadiliko kwa maana ya substitution. Sub ilipofanyika na goli likaingia. Zimbwe na Muzamiru walipotolewa eti Job akaenda kati! Jibu la swali lako ni ndiyo, heri kocha angeendelea kuwaamini wachezaji wa Simba
Hapana mkuu.....vipi Ile mech ya kwanza
 
Acheni ushabiki mandazi . Kisa la Tshabalala na Kapombe liko wapi? Goli lilitokea upande upi ?
Andunje Jobu na Mda ndio wa kulaumiwa kwa kumsindikiza mfungaji hadi golini msijitowe ufahamu.

Manula na Mzamiru mechi ya Cairo walicheza na stars ikashinda na ni wa wachezaji wa simba , mbona haya makelele hatukuyasikia? Leo stars ipoteze kwa makosa ya wachezaji wa utopolo , malalamiko yaende kwa wachezaji wa simba!! Huu ni ufala wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom