Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Teh teh, kuna mzee pia ana akili kama zako

Huwa anawaponda Nkapa na Magu ila ukimuuliza kuhusu ufisadi wa kikwete anakua mbogo

Udini udini udini.
Hivi yule aliopanda jukwaa la kanisani akawaponda wa Zanzibari yuko wapi? Unamkumbuka?

Mwenyezi Mungu hafanyiwi utani, haikupita muda Mzanzibari akaoa binti yake, haikupita muda, Mzanzibari akawa Rais wake.


Yuko wapi? Au umemsahau?
 
Hivi yule aliopanda jukwaa la kanisani akawaponda wa Zanzibari yuko wapi? Unamkumbuka?

Mwenyezi Mungu hafanyiwi utani, haikupita muda Mzanzibari akaoa binti yake, haikupita muda, Mzanzibari akawa Rais wake.


Yuko wapi? Au umemsahau?
Sizungumzii uzanzibar hapa.
 
Wazanzibar wamewakosea nini? Wasukuma ndio kenge nchi hii, washamba na wasio na akili.
Unauliza wamekosea nini wakati nakwambia wazanzibari wanafuga ushenzi wa kulawitiana na kuendekeza ushoga, wewe umeshikilia ushamba wa wasukuma tu.

Wazanzibar wegine si wale magaidi hadi mzanzibar mwenzao ndio kaja kuwatoa, unataka nikwambie walikuwa wanafanya nini hao magaidi huko zanzibar?
 
Jina la Sukuma gang lilikuja ndani ya awamu ya Tano. Tujiulize kwamba Kwanini halikuwahi kuwepo kabla? Kwanini haikuwahi kutokea zanaki gang, zanzibar gang, Makonde gang, au kwere gang? Kwani ni viongozi wangapi wakubwa wa ngazi za juu Ambao ni wasukuma walikuwepo kipindi Cha awam ya tano mpaka kufika kigogo kuleta Hilo jina? Naunga mkono kwamba hio Sukuma gang ni idiology sio kabila maana Kuna wasukuma wengi tu Ambao walikua kinyume na Mh.
 
Anajaribu kupotosha kweli kuwa katika watu wabaguzi Magufuli anaongoza, siyo Magufuli aliyewabomolea nyumba wakazi wa kimara lakini kwa sababu ile ile akasema wakazi wa Mwanza wasibomolewe, huu siyo ubaguzi?
Na Pascal hili hakemei kwa sababu lumefanywa na msukuma mwenzake.
That is the kick of a dying horse, Pascal ni mnafiki hakuwahi kukemea maovu ya Magufuli bali kuyatetea.
Alijitahidi kuanzisha nyuzi za kumtetea anapokosolewa na taasisi za nje.
Now he is crying foul anasahau what goes around comes around, kuna waliolizwa na ubaguzi wa Magufuli hakuwaona ila sasa godfather wao hayupo wanalia.
Sukumagang ni kundi wanufaika wa itikadi na utendaji wa Magufuli in power, has got nothing to do with wasukuma kama kabila bali wanufaika ambao bahati mbaya wengi ni wasukuma
 
Basi libadilishwe jina sioni sababu ya kutumia neno sukuma.
 
False accusations...

Tutajie hao 'wasukuma' walioshitakiwa, kutia hatiani na kufungwa kwa hizi tuhuma ulizoandika hapa.

Jinai haina expiry date, one by one will appear in the court, na haki itatendeka, usiwe na haraka kama kibaka, subiri uone na utajua dunia duara, jinai iko pale pale, subiri uone ujifunze wewe Sukuma gang mdogo mdogo, ili usirudie kucheza na maisha na utu wa watu. Nyoko sana nyie
 
Typical sukumagang, hapa mfano wa Mbowe umeingiaje kama siyo ubaguzi mnaotaka kuukemea nyie sukumagang?

Kuna vilema vingi binadamu wanavyo, viwete, albino, vipofu and so forth! Ungekuwa na chembe ya akili usingetaka kutafuta ulemavu wa aina yeyote kwa mpinzani kuwa hoja ya kupinga ubaguzi, nionyeshe popote ambapo Magufuli alisemwa na kukosolewa kwa ajili ya maumbile yake?

Au ni nani katika wanaowapinga nyie sukumagang aliyetumia ulemavu wa yeyote kuwapinga?

You are coward, wewe ndio mbaguzi kwa sababu ya hasira zenu za kumkosa godfather wenu. Sukumagang ni kundi wanufaika wa itikadi na matendo ya Magufuli, hamkuwahi kukemea uovu wa Magufuli na sasa mnatapatapa. Hakuna ubaguzi bali reality, nyie ni sukumagang
 
Hebu tutofautishie kati ya mabeberu na washirika wa maendeleo?
Hizi political rhetorics zinaakisi uovu wa akili za kushikiwa, nilikaririshwa nilipokuwa shule 70s kiasi nikamuona shujaa mkubwa kibanga kumpiga mkoloni.

Sukumagang ni kundi wanufaika wa itikadi na matendo na itikadi za Magufuli, simple! Hizo zingine ni hasira za kumkosa godfather has nothing to do with wasukuma, Sabaya ni msukuma? Acheni hizo kubalini na reality, mbaguzi kaenda zake
 
Jamaa yenu aliwaharibia sana japo wasukuma mnao upendo
 
Walivunjiwa nyumba wa Kimara lakini wa Mwanza wakaambiwa wasivunjiwe kwa sababu walimpigia kura na akina Pascal hawajawahi kukemea, haya ndio mambo yanayoleta hizi hisia za kibaguzi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…