Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 384
- 597
BAKITA walipige ban kama famasihara.Basi libadilishwe jina sioni sababu ya kutumia neno sukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAKITA walipige ban kama famasihara.Basi libadilishwe jina sioni sababu ya kutumia neno sukuma.
Umeoza kichwani kama unaweza kusema mbele za watu kuwa ni story za kutunga na utekaji inaonyesha dhahiri wewe ndio mmoja wa sukumagang! Kwa nini upotoshe kweli baada ya kuisema na tuitubie ili kuponya mioyo? Roma hakutwa? Mo? Mdude Chagali? Kipanya just to name a few.Ukiacha Kigogo ambaye naye kipindi hicho alikuwa anatumiwa na chama hiki, dhana hii imebuniwa na kuwa propagated na chama kinachojiita kikuu cha uponzani Tanzania.
Mbinu yao ni ile ile, kutumia vijana ambao wengi wao wanajulikana walau kwa nick names kwa njia ya makala na meseji kwenye social media, JF ikiongoza.
Kwa sababu ni mabingwa wa kutumia mbinu chafu hasa wakishindwa kwa hoja, mnakumbuka story za kutunga za utekaji na mauaji! Hawaoni shida kutumia dhana ya ukabila.
Ndiyo maana sikushangaa sana kiongozi wao alivyotembelea Arusha hivi karibuni, aliwaita watu wa kabila lake mkoani hapa na kufanya nao mkutano wa siri. Imagine kiongozi wa kisiasa unaenda mkoa fulani alafu unaita watu wa kabila lako tu kisiri na kuendeleza ajenda za kisiasa, za kitaifa!
Endelea na wewe kusubiria meli airport.Jinai haina expiry date, one by one will appear in the court, na haki itatendeka, usiwe na haraka kama kibaka, subiri uone na utajua dunia duara, jinai iko pale pale, subiri uone ujifunze wewe Sukuma gang mdogo mdogo, ili usirudie kucheza na maisha na utu wa watu. Nyoko sana nyie
Watu wa pwani akina nani? Yaani mnakemea ubaguzi halafu unaletaubaguzi, mimi mnyamwezi lakini nawachukia sukumagang kwa maana ya wanufaika wa itikadi na matendo ya MagufuliUko sahihi mkuu hii ni agenda ya watu wa mikoa ya pwani ndani ya ccm, ikiongozwa na wanamtandao uchwara kifikra na kimantiki. pia Kuna vimelea hivyo kwa wachaga piq
Wewe ndio unaamini kuna moto. Au niseme umekubaliana na brainwashing kwamba kuna moto au maisha baada ya kufa. JPM amemaliza kazi yake. Ametufanyia mengi kama nchi. Amefariki. Hakuna kikingine tena.Alinifanya niuze vitu vya ndani nikakimbilia AFRIKA KUSINI, Yule Shetani nina AMINI kabisa atakuwa KUNI ZA MOTONI hiyo siku ya KIYAMA.
Well saidUbaguzi wa kikabila haujaanza leo Tanzania. Ubaguzi umekuwepo tangu tunapata uhuru na hasa kwa makabila ambayo yalibahatika kupata elimu enzi za ukoloni. Makabila hayo ni kama wachaga, wahaya, wanyakyusa nk. Ilikuwa si rahisi kupata ajira katika serikali au mashirika ya umma kama si miongoni mwa wao.
Hivyo jitihada kubwa zilifanyika kukemea jambo hili la ubaguzi wa kikabila na pongezi kubwa zimwendee Mwalimu Nyerere. Kwa kiasi kikubwa mafanikio yalionekana ingawa bado fikra za kibaguzi ziliendelea kubaki kwa kificho.
Magufuli aliopoingia madarakani na bado akiwa na kinyongo kwa makabila hayo ambayo kimsingi yalikuwa bado yanashikilia nafasi nyeti katika taasisi za umma akaamua kufanya mapinduzi kwa kulipiza kisasi. Hivyo akaanza kupandikiza wasukuma kwa kasi ya ajabu na wapambe wachache kutoka makabila mengine. Bila woga na kwa ujasiri mkubwa haya mapandikizi na wapambe wakavimba vichwa na kuanza kufanya vituko vya wizi, ujambazi na kupora watu na rasilimali za umma. Wakamtukuza na kumuabudu Magufuli na kufanya kila aina ya uovu kwa kisingizio cha amri kutoka juu. Vyombo vya dola navyo vikanywea bila kuchukua hatua yo yote kwa kumuhofia Magufuli. Mambo hayo hayakubaliki wala kuvumilika kwa kuwa waliyafanya kama vile Magufuli na wao wataishi milele.
Sasa Magufuli amekufa na upo uongozi mwingine. Hawaamini macho yao kuwa enzi zimebadilika na hawakubali mabadiliko. Bado wanataka kuendelea na kuendeleza udhibiti wa mamlaka ya nchi. Na kwa kuwa sasa wananchi walio wengi wamezinduka kutoka ganzi waliyopigwa enzi za Magufuli ni wazi lazima kelele za kulaani na kukemea ziwe nyingi. Kelele hizi zitaendelea hadi pale wapambe wote wa udhalimu wa Magufuli utakapotokomea.
Kwa hiyo huu si ubaguzi wa kikabila wa kuwabagua wasukuma, hapana. Pamoja na kwamba hawakujiita wao ni Sukuma Gang lakini walifurahia kuitwa Hivyo na Magufuli pia alifurahia kwa kuwa hakuwahi kukemea na badala yake aliwapongeza.
Sukuma Gang siyo jina zuri lakini ndiyo utambulisho bora unaowafaa hawa vibaraka wa Magufuli. Na tuendelee kuwazomea hivyo hadi wakome.
Wasukuma kama kabila wasiwe na hofu, ni watu wazuri na wakarimu na waishi kwa amani. Wasukuma kama kabila nao pia walipata madhila kama waliyopata makabila mengine.
Assumption za kijuha, waliokipigania wakaachwa ni kina nani?Na kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa ndani ya CHADEMA ni wanapewa wamama wa Kichagga tu kwa kuwa 'wamesoma' sana na hao wamama wengine wanaokipigania chama wao waendelee kuimba Peoples Power tu [emoji848]
Hakika kabisa !Hoja sio ukanda tu, anaweza akapewa mchagga ikawa balaa, au mgogo ikawa balaa vile vile. Uaminifu na uchapakazi ndio kipaumbele na sio kuteuwa tu kisa mchagga/ukanda
Wacha upumbavu wewe! Washirika wa maendeleo ndio nini? Unawezaje kutofautisha Mabeberu na hao unaowaita washirika wa Maendeleo?Hebu tutofautishie kati ya mabeberu na washirika wa maendeleo?
Hizi political rhetorics zinaakisi uovu wa akili za kushikiwa, nilikaririshwa nilipokuwa shule 70s kiasi nikamuona shujaa mkubwa kibanga kumpiga mkoloni.
Tofauti na unavyotaka Dunia iamini Matendo ya magufuli ya Kuziba mirija ya ukoloni mamboleo ni maovu, the opposite is the truth, he was of a noble tribe and was a magnanimous man.... Alikuwa ni mwema na mkweli. Na wanufaika wake ni Waafrika na watu wote wanao kandamizwa[wanyonge]Sukumagang ni kundi wanufaika wa itikadi na matendo na itikadi za Magufuli, simple!
Hayo ni yenu. Nyie washenzi ndio mmeng'ang'ania kitu ambacho does not exist anywhere in Tanzania. Wenye hasira ni nyie mnaoamka kila siku kutukana kaburi. Kweli inakuingia akilini kuwa watu wana hasira kwa sababu mzungu alifinywa mirija? Msitake kuanza kubadilisha gia angani kwani mmeshindwa kutetea maana halisi ya Lugha na msamiati wenu wa Ukimbari. It is Racist and should not be used by any Media let alone Tanzanian or rather African.Hizo zingine ni hasira za kumkosa godfather has nothing to do with wasukuma,
Hata mpindishe vipi, Watanzania wanajua ukweli. Wapi nimemtaja Sabaya? Kufanya huo mlinganisho? wapi? tafuta post zangu zote, punguwani weSabaya ni msukuma? Acheni hizo kubalini na reality, mbaguzi kaenda zake
Mkuu lazima ushtuke, bila hivyo ni kuwaachia hawa mamluki humu kuendeleza misamiati hasi kwa Jamii. Wakemee kwa nguvu zote.Kuitwa Sukuma gang siku hizi haishtui, tutaunga mkono mambo mema ya JPM hata kama mtatupa jina jipya baya zaidi.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
SoulLessWasukuma ni washamba, iwe wamesoma au wasiosoma. Ukiwa MSUKUMA unakuwa CERTIFIED MSHAMBA mpaka KIFO chako.
Hayo Unayodai wewe ni Uwongo mkubwa.Na sijui unataka tukemee nini,hivi unakataaje kitu ambacho kipo.Magufuli alijaza Wasukuma Serikalini na wengine uwezo hamna kabisa.
Hao watu waliojazw na Magufuli Serikali ni kanzia kwenye Junior posts mpaka kwenye senior posts hadi kwenye siada ndio wanaounda hiyo Sukuma Gang.
Jambao LA msingi ni kuhakikisha hili jambo halitokei tena.
kwanini ni hivyo?Wasukuma,Wachaga,Wanyakusya na Wahaya
Mnapenda kuteka teka watu ?Kuitwa Sukuma gang siku hizi haishtui, tutaunga mkono mambo mema ya JPM hata kama mtatupa jina jipya baya zaidi.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
CERTIFIED FOOLS.... Wasukuma wamepigwa chapa ya MOTO YA UPUMBAVU AKILINI MWAO.SoulLess
Hayo Unayodai wewe ni Uwongo mkubwa.
Hayati hakujaza Wasukuma. Wasukuma kama kabila/jamii kubwa Tanzania wapo kila sehemu, na wamekuwepo karibia katika kila Awamu za serikali Tanzania. Ukisema walijitokeza na kuwa more proud baada ya Mkuu wa Nchi kuwa ni miongoni mwao...ningeafiki na maoni yako, otherwise, maoni yako yamejaa ulimbari, chuki, kejeli kwa jamii ya wasukuma.
Angalia Vyama vyote vya Siasa nani waanzilishi?
kwanini ni hivyo?
Mkuu economatrician utanisamehe kwa kutumia mfano wako. Sikutuhumu
Kwahiyo unakiri kuwa nyie wasukuma Ni washamba.Jiulize kwanza kwa nini ni sawa Mtu mweusi kumuita majina ya Kibaguzi Mzungu lkn Mzungu akifanya the same kwa mtu mweusi anaweza hata kufunguliwa mashitaka kwa Ubaguzi? Jibu ni power, mtu mweusi ni weak na Mzungu ni strong ndo maana pia inakubalika kuita Sukuma gang na kukejeli Sukuma jinsi utakavyo lkn Msukuma haruhusiwi kufanya the same kwa wengine bila ya consequences.
Hivyo kwangu Wasukuma ni powerful na wengine ni weak ndiyo maana weak wako sensitive.
Fikiria tu kwa mfano kilema cha macho alichoumbwa nacho Mbowe labda angeumbiwa nacho Magufuli hali ingekuwaje, unafikiri wangemsitiri kama Mbowe anavyositiriwa? Hata watu wanaomchukia Mbowe bado wanamsitiri sijawahi kusikia mtu akikejeli macho ya Mbowe lkn ule upande mwingine wasingejali hivyo ni swala kukosa power, maturity na pia lack of boundaries, Wasukuma wanajua wanajitambua na wanajua power yao na wanaowakejeli ni weak na cowards!
sukuma gang ni neno la kibaguzi lisitumike kabisa kokokote sisi Sote ni ndugu Tanzania ni Taifa la kijamaa...lipigwe marafuku hilo neno..Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.
Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchopuka kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au roache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno Sukuma Gang, sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?
Nimeileta hoja hii kufuatia as days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
The Mkuu Sexless , kwanza nikupongeze kuileta hoja hii, pili japo ni kweli neno Sukuma Gang ni itikadi tuu, lakini si kweli kuwa iliasisiwa na Magufuli!. Tumwacheni Magufuli apumzike kwa amani!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Neno Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!
Pia sii kweli! bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Hapa nakuunga mkono!
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema! Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!
Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.
Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.
Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang! This is not fair at all! Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!
Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!
Paskali
Mungu hadhihakiwi kamwe, huwezi kumtaja Mungu kinafiki kila siku huku mikono yako imejaa damu na ukabaki salama.AlhamduliLlah
Mwenyezi Mungu katunusuru na lile dubwana na kina bashite wake.