Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Tupe na uwakilishi wa Wabunge wa Viti maalumu na makabila yao ndani ya Chadema kuanzia 2005-2020.
 
Mimi ni Msukuma lakini kamwe sikumpenda huyo Mhutu mwenzako aliyejivika Usukuma wetu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hakuna mhutu gang kuna sukuma gang, sasa kama wewe ni msukuma basi tambua kuwa nyie ndio walengwa wasukuma, maana inasemakana ni katika makabila ya watu waliyo washamba.
 
Mmeuwa halafu mnasema Mungu kaingilia kati, acheni kumchezea Mungu.
 
Washamba ni nyie wafuasi wa yule Mhutu mwovu aliyeko motoni sasa hivi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Zitto aliwahi kusema tuna rais mshamba na inadaiwa kuwa wasukuma ni washamba, hakuna pa kukwepea hilo jina sukuma gang waliyolengwa ni wasukuma na ndio maana wameliita sukuma gang. Sasa hayo ya mhutu ni kutaka tu kujitetea.
 
Basi semeni Magufuli Gang Kama shida yenu ni Magufuli na wateule wake, msukuma hana tatizo na kabila lolote
Hapa usukuma umetumika kwa sababu ya upendeleo wa wasukuma, otherwise kama ni msukuma we relax heshima kwa wasukuma ipo na itaendelea kulindwa.
 
Tupe uashahidi pasi na shaka kiwa wapemba wanalawitiana otherwise ni ushahidi tosha kuwa wewe ni sukumagang mbaguzi, mwenye chuki unfounded!
Mimi siyo mpemba ila naheshimu jamii zote na siwezi siyo mimi tu bali mwenye akili timamu yeyote anayeweza kutoa kauli za kipumbavu kama zako za kushambulia jamii yenye watu wastaarabu kuwa wanaongoza kulawituana.

Mimi ni mnyamwezi sitetei wapemba natetea utu, hizo kauli ndio zinazowapambanua sukumagang kuwa ni watu wapumbavu, wajinga, washamba, msiojitambua. Hebu nithibitishie kuwa hakuna wasukuma wanaolawitiwa.

Always nasema kumtetea Magufuli lazima uwe mpumbavu, na kuutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi. Kama unavyothihirisha kwa kauli zako. Pathetic fool!!!
 
Nyie si ndio mmeanza kusema vibaya jamii ya wenzenu wasukuma hadi mnatungia kundi la watu jina la sukuma gang na kulipa sifa mbaya halafu mnasema hamna tatizo na wasukuma?
 
Mimi ni mnyamwezi na sikuwahi, simpendi, na sitokuja kumpenda. Na sababu ya kutompenda ni matendo yake siyo kabila lake
 
Linapokuja suala la usukuma na Magufuli Pascal ataficha kichwa chake kichakani kama mbuni asione ingawa anaonekana.

Kwa hili pasi na kupepesa macho Pascal ni mnafiki, ni pro Magufuli, ni mbaguzi kama Magufuli. Mpinzani yeyote akikashifiwa hutoona makala zake ndefu za maslahi ya taifa
 
Mimi ni Msukuma lakini kamwe sikumpenda huyo Mhutu mwenzako aliyejivika Usukuma wetu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyo ni mpuuzi fulani, hana na hawezi kujenga hoja.
Unajua kwa sababu gani kakazania kutukana na kudhalilisha wapemba, kwa akili yake ndogo kama kisoda ya kumpenda Magufuli, adui mkubwa kwake anadhani ni Raisi dk Samia, na kwa kuwa yule katoka Zanzibar hapo pumbavu linatafuta kulevel the score. Awatukane wapemba, msamehe ni pumbavu lisilojielewa
 
Mimi ni mnyamwezi na sikuwahi, simpendi, na sitokuja kumpenda. Na sababu ya kutompenda ni matendo yake siyo kabila lake
Tunajua kiongozi huwa anakuwa na maadui,watu wenye kumpenda na wenye kumchukia. Sasa ajabu wote msiompenda Magufuli ni kwa sababu ya matendo yake mabaya tu hatuoni wale ambao wanamchukia kwa sababu walitumbuliwa kihalali kutokana na matendo yao, hatuoni wale ambao walizibiwa mirija yao na dili zao za ajabu ajabu nao kusema kuwa hawampendi Magufuli kwa sababu hizo matokeo yake tunaona wote nyie mnachukia maovu ya Magufuli tu.
 
Nyie si ndio mmeanza kusema vibaya jamii ya wenzenu wasukuma hadi mnatungia kundi la watu jina la sukuma gang na kulipa sifa mbaya halafu mnasema hamna tatizo na wasukuma?
Nakusisitizia kuwa wewe kichwani hakuna kitu, kwa hiyo wapemba ndio wanaolawitiana nihakikishie kuwa hakuna msukuma anayelawitiwa?
Kwa ujinga wako unadhani adui wa Magufuli ni dk Samia ambae anatoka Zanzibar kwa hiyo ukiwadhalilisha utakuwa unalipa kisasi.
Kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi, na wewe ni mpumbavu
 
Pathetic, kwa hiyo kwa maovu yake unataka tumpende?
Kwa hiyo unakubali kuwa alikuwa muovu?
Hivi tusifie kupiga, kuua, kutesa, kukamata wapinzani na kuwabambikia kesi unataka tusifie?
 
Angalia judiciary, senior executives kwenye makampuni binasi na ya umma, afya yaana kila sehemu. Wasukuma ni wengi wengi lakini ni bongo lala, huo wingi wao lingekuwa ni kabila la watu werevu nchi ingekuwa mikononi mwao. Kujisifia biashara za jiji la Mwanza ni sawa na Wazaramo wajisifu na biashara za Dar es Salaam, hata huku ughaibuni nikichukua sampling Wasukuma ni wa kutafuta kwa tochi, sanasana naona Wachaga, Wahaya na Wapemba. Labda huko kwenye migodi kwani eneo hilo sina experience nalo lakini overall kwa Wahaya bado kabisa hata Wanyakyusa kwenye taaluma na nafasi za juu mkaze buti ili muwafikie.
 
Hii ni technique ya kuwatenga na jamii/makabila mengine iliyoasisiwa na CCM, hawakuwa tayari kukihusisha na kabila lenye population kubwa huku wakijua ukanda wa kaskazini wana-support tayari. CCM tactic ya divide and rule huwa wanaitumia sana na sasa inawatafuna wenyewe kwani hawa wanaojiita wahafidhina(Sukuma gang) asilimia kubwa wanatokea ukanda mmoja, literally majority yao ni kabila moja.
 
Wewe acha umbea wa chuki zako Mji wa Mwanza na kahama unajengwa na watu wa madini kwa sehemu kubwa na hao watu ni wasukuma na wakurya sisi tupo mwanza hata magorofa mengi hapa mjini yanayojengwa ukiangalia client ni wasukuma,wakurya saa wewe unazungumzi wahaya ambao hapa mwanza hakuna hata tajiri maarufu kutokea huko kwenu!!

Hata kwenye sekta ya usafirishaji watu wenye mabasi mengi hapa mwanza ni wasukuma na wakurya hao wanyakyusa na wahaya usiwafananishe na wasukuma hata wewe umekiri kuwa wasukuma wapo wengi kwenye sekta za udaktari na engineering ila kwa chuki zako unasema ni bongo lala! Sasa kma ni bongo lala kwa nini hawafukuzwi kwenye ajira?

Nikwambie tu kwa sasa hivi watu wapambanaji kwenye sekta nyingi ni wachaga na wasukuma,wakurya na wakinga!
Hao ndugu zako wanategemea ajira ambazo kwa sehemu kubwa tunagawana nao ila kwenye biashara ,kilimo na madini tumewaacha mbali!

Mfano mji kama Kahama wafanya biashara wakubwa wengi ni wenyeji ambao ni wasukuma sema huwa hampendi wawazidi sasa hao wahaya na wanyakyusa nitajie mji gani wanaotoka wakibiashara ambao wao ni majoriy!?

Huko ughaibuni kuna maajabu gani mbona wahaya waameenda sana ughaibunu lakini mkoa wao bado ni maskini na hawana ushawishi wowote wa kiuchumi kanda ya ziwa wanazidiwa mpaka na watu wa Musoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…