Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Hakuna kibaya alifanya Magufuri zaid ya kutuletea maendeleo,huyu Bibi wenu anatupeleka kubaya.
 
Yeah,ivoivo yaan
 
Walipoteza maisha si kwa ujinga wao kwenda kushuhudia mzoga wa dhalim? Mimi huyo niache kupumzika nyumbani nikaangalie upuuzi, niliona tu kwenye TV na mitandaoni.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unaona sasa? ndio maana nakwambia hiyo hoja ya kwamba et walikwenda kuangalia kama alikufa kweli ni hoja ya kupumbavu.
 
Pascal naomba unijibu ile case aliyokamatwa nayo gwajima kwa kusambaza vipeperushi vya kuunda na kushawishi wasukuma woote wamuunge mkono hayati imeeishaje?
 
Usiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
P
 
Sukuma Gang.
Huu ni ubaguzi!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…