Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

..Magufuli naye si aliiba, aliteka, alitesa, na kuua.

..Na mambo yake machafu kabisa yalikuwa yakisimamiwa na watu wa kwao.

..Kwa mfano, wizi wa fedha ulisimamiwa na mpwa wake.

..Kubambika watu makesi ya uongo msimamizi alikuwa mtu wa kwao.

..Bahati mbaya nyinyi mnaolalamika sasa hivi hamkuwakemea ndugu zenu kwamba matendo yao yanaweza kusababisha lawama kwa jamii nzima.
Hakuna kibaya alifanya Magufuri zaid ya kutuletea maendeleo,huyu Bibi wenu anatupeleka kubaya.
 
Watu wote hao hawawezi kuwa wrong

Kila mmoja anayajua yaliyotokea na tutakaa nayo moyoni
Yale mazuri na mabaya pia kwani ndio Dunia ilivyo

Kuna watu hawaamini ukimwi mpaka leo wakisema ni myth
Wengine wanasema Holocaust ilitengenezwa na wanaamini hivyo

Kwa kweli kuna vijana wengine wanasema vita ya kwanza haikutokea

Sasa acha na mimi niamini ninachoamini
Yeah,ivoivo yaan
 
Walipoteza maisha si kwa ujinga wao kwenda kushuhudia mzoga wa dhalim? Mimi huyo niache kupumzika nyumbani nikaangalie upuuzi, niliona tu kwenye TV na mitandaoni.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unaona sasa? ndio maana nakwambia hiyo hoja ya kwamba et walikwenda kuangalia kama alikufa kweli ni hoja ya kupumbavu.
 
Pascal naomba unijibu ile case aliyokamatwa nayo gwajima kwa kusambaza vipeperushi vya kuunda na kushawishi wasukuma woote wamuunge mkono hayati imeeishaje?
 
Wanabodi,

Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchipuka kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au tuache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno "Sukuma Gang", sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!

Paskali
Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za ukabila. Tunaona kanda ya Wasukuma inaonesha bila wao, CCM itashindwa; viongozi wanahonga vyeo Wasukuma ili waichague CCM, jamani!

Uteuzi wa Biteko Doto, juzi uteuzi wa Makonda kisa ili Wasukuma wajue kuwa wao bado miamba hii kweli kwa Watanzania ni dhana mpya ili kujenga element za ukabila. Tunajifunza, Mwl alichaguliwa na Watanzania akiwa anatokea kwenye kabila dogo sana, Wazanaki; pia Mkapa kwa Wa Makua na Kikwete Wakwele. Hatujawahi taifa hili kuwaogopa Wasukuma.

Ikitokea Watanzania wakajua hili, ukabila uko njiani; kesho Wanyakyusa wataanza nao kuogopwa. Niliombee taifa letu, sisi tayari tumeshaunganishwa, hatuna ukabila.
Usiwe na wasiwasi kabisa na Wasukuma Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
P
 
Wanabodi,

Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchepua kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au tuache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno Sukuma Gang, sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!

Paskali
Sukuma Gang.
Huu ni ubaguzi!.
P
 
Back
Top Bottom