BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Huyo fisadi mwenyewe asingekua Rais kama sio kufariki kwa Mwalimu, mtazamo wa Nyerere ulikua ni pamoja na kumkataa huyo chekibobu tapeliNyerere aliona mbali sana makabila makubwa ni sumu kwenye uongozi wa Nchi,Wasukuma,Wachaga,Wanyakusya na Wahaya maana watajazana kwenye nafasi zote.
Kikwete alifanya vibaya sana kwenda against mtazamo wa Nyerere na matokeo yake ndio hayo tuliyoyapata.
Moja yapo ni hiyo ya Panya. Nimekuwa mstari wa mbele kutaka msamiati huo uachwe kutumiwa na Viongozi wakuu pamoja na magazeti.Sukuma gang na panya road ndiyo magenge ya kihalifu yakukemewa
Bibi tozo yeye ni mdini wa waziwaziTatizo la Ubaguzi wa Ukanda na Ukabila lilianza kipindi cha mwenda zake huyu ndo chanzo cha haya yote ku exaggerates watu wa kabila lake tu ndo wanaojua na kuwapa fursa ya ajira na ndo hv hv kwa Bibiye na hata Rais Mwingine ajaye yani amin kwamba yanayoendelea yaliasisiwa na Jiwe na kamwe hayatakaa yaishe Hii dhambi itatafuna hili Taifa
Mtei yupi? Crdb alikuwa Kimei ambaye sasa ni Mbunge wa Vunjo kupitia chama cha Mambuzi.Magufuli alikuwa nafanya Serikali kama Mtei alivyo kuwa Boss wa CRDB.Mtei amejaza wachaga CRDB unaweza ukahisi ni Bank ya Wachaga-kati ya Wafanyakazi 10 wa CRDB 8 ni Wachaga.
Minja ila nyinyi ule ubaguzi wenu wa enzi za Mramba waziri wa Fedha,wizara yote 80% Wachaga,Kitillya C.General TRA 80% Wachaga,Kimei CRDB,80% Wachaga huioni? Ukiamua kukemea ukabila kemea kweli kweli na uanze na kutoa boriti kwenye jicho lako kwanza.Makabila mengine walau wanaweza kuongea kuhusu ukabila lakini siyo Wachaga maana tuna mifano halisi pia.Tatizo la Ubaguzi wa Ukanda na Ukabila lilianza kipindi cha mwenda zake huyu ndo chanzo cha haya yote ku exaggerates watu wa kabila lake tu ndo wanaojua na kuwapa fursa ya ajira na ndo hv hv kwa Bibiye na hata Rais Mwingine ajaye yani amin kwamba yanayoendelea yaliasisiwa na Jiwe na kamwe hayatakaa yaishe Hii dhambi itatafuna hili Taifa
Very objective commentNaungana na mleta mada.
Binafsi sijawahi kulitumue hilo neno iwe positively au negatively. Watumiaji wa neno hili wanasema haliashirii kabila bali itikadi. Lakini hata kama linaashiria itikadi, uwepo wa neno linalotaja kabila, tayari umeleta hisia za ukabila.
Makosa au wema wa mtu usihusishwe na kabila la mtu, labda kama tendo lililofanywa na mhusika ni sehemu ya mila, tamaduni na desturi za kabila lake. Kama mtu hafai, basi atajwe yeye kwa sifa zake mbaya kuwa hafai.
Siku za huko nyuma, nilipokuwa nafanya masomo yangu ya shahada ya kwanza pale UD, kulikuwa na kawaida watu wa mkoa fulani au wilaya fulani kuwa na aina fulani ya umoja. Baadaye wengine walienda mbali zaidi na kufanya umoja huo kuashiria ukabila. Mathalani, tunajua wakazi wengi wa wilaya ya Kibosho ni wakibosho, Mwanga ni wapare, Bariadi ni wasukuma wanaojiita wanyantuzu, sasa wakatokea baadhi ya wanachuo, kwa mfano badala ya kuwa na umoja wa watu watokao Kibosho, wakataka kuwepo umoja wa wakibosho, au badala ya umoja wa wanachuo watokao Bariadi, wangetaka uwepo umoja wa wanyantuzu, n.k. Chuo kilipiga marufuku. Kwa sababu moja tu kwamba hata kama wakazi wengi wa Kibosho ni wakibosho, ni ubaguzi kuwa na umoja wa Wakibosho kwa sababu itaashiria kwamba kama kuna wanyamwezi wanaoishi Kibosho hawatakuwa na sifa ya kuwemo kwenye umoja huo, sawa na kama ukiwa unatoka Bariadi lakini wewe siyo mnyantuzu, utakuwa huna sifa ya kuwepo kwenye umoja wa wanyantuzu.
Tujiepushena fikra zinazoibua hisia za ubaguzi wa kilabila. Makabila yetu yabakie kwenye utani wetu wa asili lakini siyo kututenga kwa lolote.
Kama mtu ana viashiria vya ubaguzi wa aina yoyote hafai kuwa kiongozi.
Kuwa na heshima kijana mimi ni msukuma lakini najitambua wala sipo sukuma gangWasukuma 95% ni washamba uwe umesoma au hujasoma, by the way mmeturudisha nyuma sana kama Nchi.
Maku ya mamayoWasukuma 95% ni washamba uwe umesoma au hujasoma, by the way mmeturudisha nyuma sana kama Nchi.