Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Na ndiyo wanapiga vita maridhiano wanatamani kila siku tuokote maiti kwenye sandarusi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
S
Na kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa ndani ya CHADEMA ni wanapewa wamama wa Kichagga tu kwa kuwa 'wamesoma' sana na hao wamama wengine wanaokipigania chama wao waendelee kuimba Peoples Power tu [emoji848]
ij embu taja kati kundi la akina Mdee na wenzake 18 wachagga ni nani na nani.
 
Kwahiyo hiyo inahalalisha ubaguzi kwa wasukuma?
Ndio kwa ushamba wenu yafaa mutengwe kwa maana hamna akili, mkipewa madaraka mnadhani hii nchi ni USUKUMANI. Hamna akili kichwani, washamba, wajinga na kila aina ya ubaya mnao nyie Mbuzi wakubwa nyie.
 
Kwanini litumike neno la sukuma ikiwa hamna tatizo na wasukuma? Hivi leo hii mashoga wote niwape jina la Wapemba gang halafu niseme kwamba sina tatizo na wapemba si kwamba wapemba wote ni mashoga je nitaeleweka?
Kuna uhusiano wa karibu kati ya hao watu na wasukuma, hili halikwepeki.
 
S

ij embu taja kati kundi la akina Mdee na wenzake 18 wachagga ni nani na nani.
Achana na hawa walioingia baada ya sintofahamu ndani ya Chama.Rudi nyuma kuanzia 2005-2020,angalia wabunge wa kuteuliwa ndani ya CDM
 
Vita itatokea hatutokubali ujinga yaani hata chadema kushika madaraka haikubaliki na Mungu mpaka leo anatunusuru hawajashika na hawana dalili[emoji23][emoji23]
Jiandaeni,Baba wa Taifa hili kuwa Edwin Mtei.Hawanaga aibu hao hata kumnyang'anya hadhi yake Nyerere[emoji3][emoji3]
 
Nafsi zip za kupewa ? Mramba ,kimei, hao wachache waliharibu kila kitu kwa kujaza ndugu zao wabaki makwao basi.
Watu wamebaki kuwaona Kimei na Mramba. Kimei ndio success behind CRDB.
Huyo Mengi ni nguvu ya Nyerere kupromote wazawa ndo akapewa fursa ya na kusapotiwa kuwa tajiri...Wachaga wanawazidi wapi wahaya kwa elimu?
Mengi katika kitabu chake analalanika jinsi alivyokataliwa kuwekeza na serikali ya Nyerere na badala yake nafasi akapewa mhindi.
Ubaguzi ndo ngao yao nenda kanunue ardhi huko kwao uone balaa au anzisha biashara kwao..
Hata wachagga wenyewe ni vigumu kupata ardhi Kilimanjaro kutokana na ardhi yote kutumika na ndio maana wachagga wamekimbilia nje ya Kilimanjaro. Unaona hoja zako zisivyo na ukweli?!
Bahati nzuri hWana mji unaovutia hata ndo maana population ni ndogo wanakimbia maana hata wenyewe kwa wenyewe wanagombana .
Ndio waendelezaji wa miji mingine yote bila ubaguzi wanajenga maghorofa popote bila kujali ni mkoa wao au la. Wangekuwa wakabila si wangeendeleza Moshi tu?
 
Unachokisema hakina ushahidi wa moja kwa moja badala yake ni falacy.Kwanza nikukumbushe tu hao unaowataja na kabila lao hata siku moja hawajawahi kupewa nchi kwa vyeo vikubwa kama U rais,waziri mkuu na hata makamo.Huo upendeleo unaousema waliofanya tungeuona wangeufanya direct kama wanaofanya viongozi wengine walio katika hizo ngazi za juu especially Jiwe MaSwali langu kwako #Nyamizi#
Je kulikuwa kuna haja gani ya kuteua WASUKUMA kwenye kila idara ingawa Marais waliopita hawakuwa na dhambi ya ubaguzi kama hyo? Ingawaje kweli na nyie ni watu na pia watanzania wenzetu lkn huoni ilikuwa Double Standard?
Je kwa upendeleo ule wa kuchagua kina Bangosha kila kona kama vile TPA,BRELA,JESHINI, TRA,TISS, TPDC, BOT, HAZINA WIZARA, na Vitengo nyeti vya serikali ni kwamba makabila mengine yalikuwa hayana weledi na uzalendo wa kuwa viongozi?
Je kulikuwa na haja gani ya kutimua baadhi ya watu kutoka makabila mengine Jiwe aloyakuta licha ya wao pia kuwa Watanzania?
Ukishayaona hayo ndo nambie niondoe kbanzi kilichopo ndani ya Macho yangu. Pia uje na fact za kwa nn msipewe jina la Sukuma Gang na kama hamkustahili
 
Mkuu Pascal Mayalla yaani naandika huku nataka kutokwa na machozi. Sijui kwa nini Rais Dkt Samia au TISS wameachia huu ujinga na upumbavu kuendelea. Nina kuhakikishia watu wana hasira sana na serikali ya Rais Dkt Samia ila hawana pa kusemea, na ikitokea watu waanze kuuana basi ujue mtu ataulizwa wewe sukuma gang au siyo na hicho ni kigezo cha kuchinjana. Nina uhakika hizi propaganda zimedumu sana na kibaya Dkt Magufuli hakuwa hata anataka kuwa rais bali mfumo ulimlazimisha ili aiokoe CCM kushindwa uchaguzi, leo hii ndiyo eti kageuka kuwa mbaya na kudhihakiwa tena TISS nao wapo kimya tu badala hata kupiga marufuku neno ambalo linamdhalilisha mwana mapinduzi wetu na mzalendo. Ila yana mwisho ipo siku!
 
Achana na hawa walioingia baada ya sintofahamu ndani ya Chama.Rudi nyuma kuanzia 2005-2020,angalia wabunge wa kuteuliwa ndani ya CDM
Leta uwiano kama unao. Kwa hiyo Mbowe (CDM), Mbatia (NCCR), Mrema (TLP), Kyara (CHAUSTA), na etc ni ukabila? Hata walivyojipanga Kariakoo ni ukabila au juhudi zao tu?
 
Wewe Jamaa leo nione Hapa Makumbusho tukapate Sekela na Mirinda nyeusi kwa mhindi mamaee
 
Huyo anachuki na wasukuma! Japo wengi tu wanamzidi exposure na fedha!
Wasukuma wengi mjitahidi sasa kupata hela kwa kutumia akili na sio ndagu manake nimeona sana ndagu zikitumika kwa kabila hili kuanzia JPM, Musukuma na wengine wengi.
 
Minja umeongea mambo mengi mno lakini umeshindwa kuukataa uhalisia kuwa nyie Wachagga ni vinara wa ubaguzi hapa Nchini.Unasema hao tuliowataja hawajawahi kupewa nyadhifa kubwa lakini unashindwa kuelewa ukubwa wa TRA au Wizara ya Fedha hapa Nchini na madhara yake kwa viongozi wakuu wa hizo Taasisi kuendekeza ukabila.

Siku Mramba,Kimei or Kitillya wangekalia Ikulu hali ingekuwa mbaya zaidi kwakuwa uhalisia wa ubaguzi wao waliuonyesha kwenye Taasisi walizopewa kuziongoza.

Makabila mengine wanaweza kuongelea swala la ubaguzi lakini siyo nyinyi Wachagga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…