Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Wasukuma 95% ni washamba uwe umesoma au hujasoma, by the way mmeturudisha nyuma sana kama Nchi.
Ulikuwa wapi na umerudishwa wapi?
SGR ni kurudi nyuma?
Tanzanite bridge ni kurudi nyuma?
Terminal 3 JNIA ni kurudi nyuma?
MW 2105 za JNHPP ni kurudi nyuma?
Uendelezaji wa makao makuu Dodoma ni kurudi nyuma?
EACOP(kama unajua) ni kurudi nyuma?
Kama wewe au ndugu yako au mzazi wako alikuwa na cheti feki, sio kosa la JPM. Ni kosa lake kutokuwa na cheti chake halisi.
 
Hiyo ni dhana ambayo umeitengeneza Magu kamteua Mama samia huyu ni msukuma? Waziri mkuu kassim Majaliwa ni msukuma? Mwanasheria wa serikali ni msukuma?
 
Leta uwiano kama unao. Kwa hiyo Mbowe (CDM), Mbatia (NCCR), Mrema (TLP), Kyara (CHAUSTA), na etc ni ukabila? Hata walivyojipanga Kariakoo ni ukabila au juhudi zao tu?
Achana kwanza na kina NCCR,hapa nimekwambia leta uwiano wa Wabunge wa kuteuliwa ndani ya CDM 2005-2020.Unajaribu kudivert point tuliyokuwa tunabishania kwakuwa unaujua uhalisia wa jinsi gani mambo yanavyopelekwa ndani ya Chama chetu pendwa.
 
Wasukuma wengi mjitahidi sasa kupata hela kwa kutumia akili na sio ndagu manake nimeona sana ndagu zikitumika kwa kabila hili kuanzia JPM, Musukuma na wengine wengi. Mlimaliza albino kabla ya 2015 na tulichokipata nchi hii ndio huyo dikteta uchwara.
 
Achana kwanza na kina NCCR,hapa nimekwambia leta uwiano wa Wabunge wa kuteuliwa ndani ya CDM 2005-2020.Unajaribu kudivert point tuliyokuwa tunabishania kwakuwa unaujua uhalisia wa jinsi gani mambo yanavyopelekwa ndani ya Chama chetu pendwa.
Leta uwiano huo. Hakuna kabila lililochangia kuuwa ukabila kama wachagga! Walitapakaa nchi nzima na kuoa kila kabila na kufanya kazi au biashara huko.
 
Wasukuma wengi mjitahidi sasa kupata hela kwa kutumia akili na sio ndagu manake nimeona sana ndagu zikitumika kwa kabila hili kuanzia JPM, Musukuma na wengine wengi.
Tayari mada ishakuzidi uwezo unaanza kutatarika kama mahindi ya bisi ndani ya kikaango.Rudi kwenye mada [emoji3]
 
Tayari mada ishakuzidi uwezo unaanza kutatarika kama mahindi ya bisi ndani ya kikaango.Rudi kwenye mada [emoji3]
Unajua nini hufanya ukabila kuwepo na tena kuwa na nguvu sana? Nu u-primitive au primitivism. Msukuma hawezi kumwamini mtu wasiyeongea naye kisukuma sawa ba mmasai ni ngumu.
 
Kwa hyo wewe unaowajua ni Mramba, Kitilya na Kimei sasa who are they by the way? Mbona kwanza walikua ni watu wadogo sana kwenye hili Taifa hivi hao mnaowataja bila ya kuwa na locuss wala impact kwenye hili taifa tena vidagaa wadogo unadhani waweza mlinganisha na Impact ya MAGU? nani asiyejua Magu alimweka Biswalo DPP kutoka kwao AG.Kilangi, nenda BRELA nenda TRA nasema hivyo hao watu nimefanya nao kazi yani kama sehemu nyingine sitaki kusema hata madhambi yao ila mtashughulikiwa tu ilikuwa hupati huduma mpaka uongee KISUKUMA Shamee!!
 
Jiandaeni,Baba wa Taifa hili kuwa Edwin Mtei.Hawanaga aibu hao hata kumnyang'anya hadhi yake Nyerere[emoji3][emoji3]
😂😂Hyo vita haya maduka yao yote yatachomwa moto ...watarudi kwao hatuwezi kukubali kuongozwa na hao watu
 
Nyie BANYAMULENGE, acheni ushamba, Magufuli alikuwa muuaji, Mungu ameamua ugomvi maana tungeandamana na tungemuondoa kwa lazima tu.
 
Hyo ni uongo...Eti analala wakati palikuwa na sera za mzawa.


Hakuna tajiri tunajua hapa bongo matajiri ni wahindi na waarabu ndo kukuta njaa kali wachache.

Sasa kushika nchi haiwezi kutokea labda kama mntaka machafuko jaribu muone kama hamtakimbia nchii hii .

Ubaguzi utakuwa mkubwa kama mchaga akishika nchi na kusema mtei ni amesababisha crdb iwe successful ni uongo hata angekuwa Nan ingefika pale na hayupo still inasonga ndo unashare kubwa mpaka sasa...Jazaneni hatuna time ila kushika nchi mtu mlevi haiwezekani ng'o
 
Usisahau jamani jinsi JPM alivyotesa watu nchi hii tena akiwatarget wafanyabiashara wa mikoa flani ambayo aliwachukia kwa nguvu zote kama vile ndio waliomlisha sumu akiwa waziri.
 
Unajua nini hufanya ukabila kuwepo na tena kuwa na nguvu sana? Nu u-primitive au primitivism. Msukuma hawezi kumwamini mtu wasiyeongea naye kisukuma sawa ba mmasai ni ngumu.
Sasa unarudi kwenye mada na walau unaanza kuwa neutral na siyo huko mwanzo ulianza kwa kasi kubwa ya kuwashambulia Wasukuma
 
It was a good thing until it's not. Zama zimepita, zilizokua sifa sasa zimejeuka kejeli, poleni.


Kumbuka hii kutoka Mwananchi

Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imempa onyo Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima baada ya kujiridhisha na kosa la kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma jana, kipeperushi hicho chenye picha ya Rais Rais John Magufuli kimesambaa kwenye mitandao ya kijamii kikiwa na maandishi yanayosomeka kwa lugha ya kisukuma.
Kaimu kamanda wa polisi wa kanda hiyo, Camillius Wambura alisema kabla ya onyo hilo walimhoji Askofu Gwajima na baadaye kumuonya kuacha mara moja vitendo vya kuligawa taifa kwa kutumia vigezo vya ukabila.

 
Ndio kwa ushamba wenu yafaa mutengwe kwa maana hamna akili, mkipewa madaraka mnadhani hii nchi ni USUKUMANI. Hamna akili kichwani, washamba, wajinga na kila aina ya ubaya mnao nyie Mbuzi wakubwa nyie.
Kwanza mie sio msukuma mkuu halafu kusema wasukuma wana kila aina ya ubaya sio kweli, kiongozi wako wa sasa jamii yake inaongoza kwa vitendo vya ushoga na kulawitiana kuliko hao wasukuma hadi wale waliyotakiwa kuwa wakakamavu nao ni mashoga kuonyesha ukubwa wa athari za hilo tatizo kwenye hiyo jamii yake ila yeye ndio kiongozi.
 
Wasukuma mna potential kubwa sana ila… Katika baadhi ya kazi zangu naajiri wasukuma tu, ila ni wale original wa kijijini wanaweza mambo flani ila wasukuma waliowehuka mjini wanakuwa sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…