Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Huyo muruke huyo mupe.

Never never again
 
Wachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.

..hiki ulichoandika sio kweli.

..Na niliwahi kuweka ushahidi hapa JF wa Mangi Marealle akiwa UN akiomba uhuru wa Tanganyika.

..Mwalimu Nyerere na Mangi Marealle wote walikwenda UN na walitetea hoja ya uhuru wa Tanganyika.
 
Zanzibari gang na Msoga gang hizo nazo zipo.
Kwahiyo mpwa wake alistahili kushika nafasi ile pale hazina ?

Yaani ukiangalia "merits" Dotto alistahili kuwepo pale?

Na je hayo niliyosema Magufuli alisingiziwa?

Kama ndivyo basi kama alifahamu upo uhasama kaskazini na kanda ya ziwa alikuwa na jukumu la kuondoa tofauti na ndio tafsiri ya kuwa kiongozi you lead and other follows, ila kwa hili alichemsha vibaya sana he was the hallmark of that.

Mimi sioni shida mtu yoyote kushika nafasi na siangalii kigezo cha ukanda, dini au rangi pale endapo mtu atakidhi vigezo .

Ninapoishi ni nchi ya mbali na nilikuja na kufanikiwa sababu ya juhudi na kufuata taratibu zote za sehemu husika hata leo hii wengi tu nimewaona wamekuja na kufanikiwa kuliko hata wenyeji kwenye hili msipindishe Magufuli hana cha kujibu tena wala wa kumjibia ila alichemka big time.
 
Kwa nilivyo pitia maoni yote kwa hizi comment ase watu wenye ukabila hawafai kamwe kupewa nchi ukabila ni sawa na cancer italitafuna Taifa letu vibaya mmno Tuwaepuke kwa kila hali hawa watu hata kama wamesoma sana ukabila ni sumu.
Ni wepi hao ? Kwa maoni yako !
 
Mliuleta ukabila wenyewe mkajazana kwenye vyeo na mkakimbizia maendeleo mwanza na geita miradi miiiiingi mpaka serikali yasasa inashindwa kuibeba!!!
Hii kitu tuiache isemweee watu wajifunze kuwa ukileta ukabila tutakusema bila aibu! kimsingi litaisha maana aliyeisababisha kuibuka kesha endazake!! Kwasasa nchi ni yawooote hakuna kabila lililotawala sebuleni na kushikilia rimoti na kung'ang'ania poti la ugali kiubabe....heko kwa Mama Sa100 tunakupendaa
 
Mzee mm sio Mzanzibar, mm nimechangaya HAYA + MAKONDE
Sasa mbona unawatetea wazanzibari kwa ushenzi wao wa kulawitiana na ushoga? Wewe unaona ni sawa jamii yenye kulawitiana na kuficha hizo kesi mwishowe kunakuwa na wingi wa vijana waliyo mashoga?
 
Alinifanya niuze vitu vya ndani nikakimbilia AFRIKA KUSINI, Yule Shetani nina AMINI kabisa atakuwa KUNI ZA MOTONI hiyo siku ya KIYAMA.
Wakati wewe unakimbia nchi huku nyuma uliacha watanzania kibao tu wakiendelea na shughuli zao na viwanja vya starehe watu walikuwa wanaenda kama kawaida kwa kifupi maisha yaliendelea kama kawaida.
 
Siyo kweli, Mchengerwa, Mwana FA, Ulega walikuwepo? Tanga 5 na Pwani 4 na wakati Arusha, Dar , Manyara, Simiyu, Mbeya hakuna, inamaana kule hakuna watu?

Hoja sio ukanda tu, anaweza akapewa mchagga ikawa balaa, au mgogo ikawa balaa vile vile. Uaminifu na uchapakazi ndio kipaumbele na sio kuteuwa tu kisa mchagga/ukanda
 
Sasa mbona unawatetea wazanzibari kwa ushenzi wao wa kulawitiana na ushoga? Wewe unaona ni sawa jamii yenye kulawitiana na kuficha hizo kesi mwishowe kunakuwa na wingi wa vijana waliyo mashoga?
Wazanzibar wamewakosea nini? Wasukuma ndio kenge nchi hii, washamba na wasio na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…