Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Wasukuma wana UKABILA sana, hawafai kupewa nafasi yoyote ya Uongozi.

MKAPA amekuwa RAIS uliwahi kuona watu wa MTWARA wamejazana maofisini?

KIKWETE amekuwa RAIS lakini hukuona amejaza watu wa MKOA WA PWANI au wa KABILA LAKE.

KICHAA MAGUFULI, MIAKA 5 tu NCHI IMEGEUKA YA WASUKUMA, TISS alijaza WASUKUMA hadi anawaita IKULU na wanaongea KISUKUMA.
Tunayajua mengi sana ya Magufuli juu ya UKABILA wake.
Mungu atuepushe na UJINGA WA WASUKUMA KUPEWA HATA UKUU WA MIKOA. NI WAPUMBAVU NA WASHAMBA.
Sasa ukimweka mkeo madarakani,mwanao madarakani,shemejio madarani tena vyeo vya juu si tayari ushafanya ukabira mkuu?
 
Kuna watu wanamtetea kikwete hakuweka ndugu zake madarakani,ni sawa ila aliweka waizi wengi madarakani just imagine mtu anaiba mpaka Twiga na anaipakia kwenye ndege ?.
Tukiongea tuongee huku tunajua tunaongea nini na ujue kuna watu wanapoint za kupingana na za kwako.
 
Sina uhakika kama Dr.JPM alikuwa msukuma. Serikali yetu Tanzania indeed ukabila. Lugha ya kingereza na kiswahili zitumike kwenye mikokusanyika,barabarani, taasisi mtu yeyote akikamtwa anaongea kilugha jela miaka 5.
 
Sina uhakika kama Dr.JPM alikuwa msukuma. Serikali yetu Tanzania indeed ukabila. Lugha ya kingereza na kiswahili zitumike kwenye mikokusanyika,barabarani, taasisi mtu yeyote akikamtwa anaongea kilugha jela miaka 5.
Yule alikuwa Mhutu toka Burundi aliingia Tanzania akiwa na miaka saba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanamtetea kikwete hakuweka ndugu zake madarakani,ni sawa ila aliweka waizi wengi madarakani just imagine mtu anaiba mpaka Twiga na anaipakia kwenye ndege ?.
Tukiongea tuongee huku tunajua tunaongea nini na ujue kuna watu wanapoint za kupingana na za kwako.
Anzisha nyuzi tumseme maana hata yeye alisemwa mno ila alikuwa kiasi ana utu hatukuona mauaji ya kiwango cha Magufuli cha wapinzani wake
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.

Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchopuka kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au roache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno Sukuma Gang, sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?

Nimeileta hoja hii kufuatia as days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

The Mkuu Sexless , kwanza nikupongeze kuileta hoja hii, pili japo ni kweli neno Sukuma Gang ni itikadi tuu, lakini si kweli kuwa iliasisiwa na Magufuli!. Tumwacheni Magufuli apumzike kwa amani!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Neno Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!

Pia sii kweli! bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!

Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!

Hapa nakuunga mkono!

Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema! Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang! This is not fair at all! Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!

Paskali
Bwana Paskali: with due respect, Nji hii ni ya Nyerere na Karume. Haina ukabila wala ukanda na haiwezi kuwa navyo. Hii ni sera ya CHADEMA, chama cha kikabila asili yake, kikaongeza ukanda na Diaspora wao wakifadhili mijini? Ila hakitafanikiwa.

Tembea kote, tangu Mikindani Holili Kyaka Same Chunya Ushirombo kote ni shwari utalala na kusali au kuswali kwa amani na utawakuta Watanzania wote kwa ujumla wao. Tuna Rais mwanamke leo, Islam, tena Mzenj, tungekuwa na ukabila au ukanda asingekuwa hapo.

Hili mnapoliongelea kwa ujumla wake sana sana mnawasafisha Wakabila CHADEMA ionekane kuwa ni issue ya wote kumbe ni yao tu.

Sasa wanataka wakuu wa mikoa wachaguliwe, uliona wapi hili kama si Ukabila? Unamfahamu James Orengo, their role model in Kenya? Typical CHADEMA stuff - ni Senior Counsel (judiciary), ni Senator, Rais wa Wajaluo (Executive), Mbunge wa kawaida (Legislature).

Hayo sisi hatuna labda CHADEMA tukiwachekea ipitie mlango wa nyuma "maridhiano". Kule kwetu nakumbuka wakati wa Uhuru mkuu wa mkoa alikuwa Klerruu Mchagga Waziri wa Kilimo George Kahama Mhaya Askofu Komba Mngoni na REO Uli Mwambukukutu Mnyakyusa? CHADEMA vipi leo waseme eti hawa ni CCM mfumo mbaya hawakuchaguliwa eti hawana uchungu na watu uchungu wao ni Samia?

Hivi huyaoni ya Kenya? Si wana tumehuru, Majimbo na mahakama huru (kumbe mashoga), kweli huoni utofauti wetu? Huoni Raila anataka zaidi na zaidi kila wakimchekea, na CHADEMA ni hivyo hivyo.

Nchi yetu iko sawa Kaka, subiri kura 2025, don't worry. Tell CHADEMA, wao ndiyo waache ukabila na ukanda. Si umeona wako tayari hata kumwingiza Askofu?
 
Anzisha nyuzi tumseme maana hata yeye alisemwa mno ila alikuwa kiasi ana utu hatukuona mauaji ya kiwango cha Magufuli cha wapinzani wake
Huna unachokijua ww nyamaza hatuko humu kutaja nani kaua nani au flani kaua nani?.
Tunachokisema hawamu ya kikwete wizi ulikuwa mkubwa sana.
 
Huna unachokijua ww nyamaza hatuko humu kutaja nani kaua nani au flani kaua nani?.
Tunachokisema hawamu ya kikwete wizi ulikuwa mkubwa sana.
Hivi katika watu wenye ufahamu na wewe unajiona umo?
Na awamu ya shetani Magufuli mauaji yalikuwa makubwa sana
 
Kama kwenu mlikuwa wezi acha awaue.Na ww angekua maana unaleta tu story za uchoko humu.
Na ndio maana tunamsema muasisi wa sukumagang na wajinga wafuasi wake mnaolialia baada ya yeye kupelekwa kuzimu, MUNGU BABA fundi katuondolea laana juu ya nchi
 
Wewe pia uliacha shughuli zako na kwenda kuthibitisha kama hao wengine? Hoja haina mashiko kabisa. Watu wamepoteza hadi maisha halafu unakoja na hoja ya kuthibitisha.
Walipoteza maisha si kwa ujinga wao kwenda kushuhudia mzoga wa dhalim? Mimi huyo niache kupumzika nyumbani nikaangalie upuuzi, niliona tu kwenye TV na mitandaoni.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nyerere aliona mbali sana makabila makubwa ni sumu kwenye uongozi wa Nchi,Wasukuma,Wachaga,Wanyakusya na Wahaya maana watajazana kwenye nafasi zote.

Kikwete alifanya vibaya sana kwenda against mtazamo wa Nyerere na matokeo yake ndio hayo tuliyoyapata.
Usiwalinganishe Wanyakyusa na hayo makabila ya ajabu ajabu. Wanyakyusa ni wastaarabu pengine kuliko makabila yote duniani
 
Mzee uliibiwa pumbu zako? Yule mwehu, KICHAA, BANYAMULENGE, MHUTU, SHEITWANI, BANDIT muda huu yuko MOTONI.
Mashoga ndo wanakuwaga na maneno haya mdomoni,ushachafukwa matakoni na kichwani naona taratubu zinatririka kulekea huko kichwani....Mm na mashoga haramu kabsaa....so tuliza shimo hilo.
 
Kuna watu wanamtetea kikwete hakuweka ndugu zake madarakani,ni sawa ila aliweka waizi wengi madarakani just imagine mtu anaiba mpaka Twiga na anaipakia kwenye ndege ?.
Tukiongea tuongee huku tunajua tunaongea nini na ujue kuna watu wanapoint za kupingana na za kwako.

..Magufuli naye si aliiba, aliteka, alitesa, na kuua.

..Na mambo yake machafu kabisa yalikuwa yakisimamiwa na watu wa kwao.

..Kwa mfano, wizi wa fedha ulisimamiwa na mpwa wake.

..Kubambika watu makesi ya uongo msimamizi alikuwa mtu wa kwao.

..Bahati mbaya nyinyi mnaolalamika sasa hivi hamkuwakemea ndugu zenu kwamba matendo yao yanaweza kusababisha lawama kwa jamii nzima.
 
Back
Top Bottom