Kofi la pua hujawahi pigwa ...... unaweza ona nyota even if ni mchanaHapo kapigwa!??
Cha usoni[emoji23]Hiyo siyo story kwasababu Emmanuel kwa huyo Mama ni sawa na mwanaye tu,so Mama kumpiga mtoto kibao siyo news [emoji3]
Duuuuh unakuta anakula Hadi kipindi [emoji32][emoji32]
Au Kwa vile anawapiga spana waisraelSijui kwanini
Macron hua simuelewagi elewagi
Hata ukiwa soldier usikute atakufanyia hivoHadi kukufanyia hivyo maana yake anakumudu.
Kama mke ndo huyu acha tu apigwe.....hii ni zaidi ya mshangazi
Wakurya ...hawa wanaowapigia goti wake zao [emoji32]Imagine Macron angekuwa mkurya wa Tarime, hapo hapo juu kwenye ndege huyo mkewe angepigwa mtama akashuka kwenye ngazi hadi chini..
Kwenye factor ipi??[emoji32]Mke mwenyewe hata Mamndenyi ana nafuu.
Mkewe ni tajiri..Mke mwenyewe hata Mamndenyi ana nafuu.
Kama ni hivyo jamaa ni mjanja sana 😁Mkewe ni tajiri..
Kwa hio mkurya akinaswa kibao na mkewe anamuangalia.Wakurya ...hawa wanaowapigia goti wake zao [emoji32]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app