Je tukio la Macron akisukumwa na mkewe mbele ya camera, limewahi kukukuta kwenye mazingira Gani?

Je tukio la Macron akisukumwa na mkewe mbele ya camera, limewahi kukukuta kwenye mazingira Gani?

Je wanawake wamewahi kukuaibisha kwenye mazingira Gani [emoji23][emoji23]
coz tunajua ni watu wa kutumia hisia sana

RAIS Macron wa Ufaransa amenaswa kwenye Video inayotrend Mtandaoni akisukumwa kwa mkono usoni na mkewe Brigitte Macron muda mfupi baada ya kutua Vietnam kwenye ziara yake ya kikazi.
#KitengeUpdates

Back to me

Kuna siku tupo kwenye kikao Cha united states of family, mke wangu Alinizodoa Mbele Ya Hadhara Na kadamnasi Hiyo Ilikua Ni Kikao Cha Ukoo Mbele Ya Umati Mbele Halaiki Mbele Ya Muungano Mbele ya United States Of Family Walahi..

Kwakweli nilishindwa hata Cha kufanya ....nikabaki tu nacheka Cheka ...ingawa Maza alinikata hicho Kali sana

Hawa Watu Waliongeaga na shetani Kumzingua Mwanaume Ni Ishu ndogo Sana..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3346597

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ina happen kwa wanaume lege lege, ningepiga niue 😂😂😂
 
Back
Top Bottom