and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Jamaa hakosei, hiko kibibi kinafanya biashara za real estate.Kama ni hivyo jamaa ni mjanja sana 😁

Wa hivyo hata mimi nafunga ndoa bwasheeJamaa hakosei, hiko kibibi kinafanya biashara za real estate.
Sikupingi, hawa wenzetu ni wajanja sana, si unaona Klyn na Mengi, wanadai gender equality, basi sio mbaya na vijana kufunga ndoa na wanawake wazee matajiri. naunga mkono hoja.Wa hivyo hata mimi nafunga ndoa bwashee
Kabisa BrazaSikupingi, hawa wenzetu ni wajanja sana, si unaona Klyn na Mengi, wanadai gender equality, basi sio mbaya na vijana kufunga ndoa na wanawake wazee matajiri. naunga mkono hoja.
Walaini sanaKwa hio mkurya akinaswa kibao na mkewe anamuangalia.
Ondoa huu uchafu wa Kitenge hapa. Huwezi ku-post bila kuweka uchafu wa hawa chawa?Je wanawake wamewahi kukuaibisha kwenye mazingira Gani [emoji23][emoji23]
coz tunajua ni watu wa kutumia hisia sana
RAIS Macron wa Ufaransa amenaswa kwenye Video inayotrend Mtandaoni akisukumwa kwa mkono usoni na mkewe Brigitte Macron muda mfupi baada ya kutua Vietnam kwenye ziara yake ya kikazi.
#KitengeUpdates
Back to me
Kuna siku tupo kwenye kikao Cha united states of family, mke wangu Alinizodoa Mbele Ya Hadhara Na kadamnasi Hiyo Ilikua Ni Kikao Cha Ukoo Mbele Ya Umati Mbele Halaiki Mbele Ya Muungano Mbele ya United States Of Family Walahi..
Kwakweli nilishindwa hata Cha kufanya ....nikabaki tu nacheka Cheka ...ingawa Maza alinikata hicho Kali sana
Hawa Watu Waliongeaga na shetani Kumzingua Mwanaume Ni Ishu ndogo Sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3346597
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tatizo la kuoa shangazi yake hilo.Je wanawake wamewahi kukuaibisha kwenye mazingira Gani [emoji23][emoji23]
coz tunajua ni watu wa kutumia hisia sana
RAIS Macron wa Ufaransa amenaswa kwenye Video inayotrend Mtandaoni akisukumwa kwa mkono usoni na mkewe Brigitte Macron muda mfupi baada ya kutua Vietnam kwenye ziara yake ya kikazi.
#KitengeUpdates
Back to me
Kuna siku tupo kwenye kikao Cha united states of family, mke wangu Alinizodoa Mbele Ya Hadhara Na kadamnasi Hiyo Ilikua Ni Kikao Cha Ukoo Mbele Ya Umati Mbele Halaiki Mbele Ya Muungano Mbele ya United States Of Family Walahi..
Kwakweli nilishindwa hata Cha kufanya ....nikabaki tu nacheka Cheka ...ingawa Maza alinikata hicho Kali sana
Hawa Watu Waliongeaga na shetani Kumzingua Mwanaume Ni Ishu ndogo Sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3346597
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Plagiarism....is a crime.....there must be citations...... quotesOndoa huu uchafu wa Kitenge hapa. Huwezi ku-post bila kuweka uchafu wa hawa chawa?
Kama linamtimizia syo mbayaTatizo la kuoa shangazi yake hilo.
Duuuuh afu ndo anamvimbia PutinSio tajiri, dogo alimzimika mwalimu wake wa primary thus akaja muoa. Macron ni mdogo katika familia yake as mtoto wake wa mwisho kamzid mwaka mmoja. Yaan last born kamzid baba kwa mmoja
Athari za kuoa wanawake waliokuzidi umriJe wanawake wamewahi kukuaibisha kwenye mazingira Gani [emoji23][emoji23]
coz tunajua ni watu wa kutumia hisia sana
RAIS Macron wa Ufaransa amenaswa kwenye Video inayotrend Mtandaoni akisukumwa kwa mkono usoni na mkewe Brigitte Macron muda mfupi baada ya kutua Vietnam kwenye ziara yake ya kikazi.
#KitengeUpdates
Back to me
Kuna siku tupo kwenye kikao Cha united states of family, mke wangu Alinizodoa Mbele Ya Hadhara Na kadamnasi Hiyo Ilikua Ni Kikao Cha Ukoo Mbele Ya Umati Mbele Halaiki Mbele Ya Muungano Mbele ya United States Of Family Walahi..
Kwakweli nilishindwa hata Cha kufanya ....nikabaki tu nacheka Cheka ...ingawa Maza alinikata hicho Kali sana
Hawa Watu Waliongeaga na shetani Kumzingua Mwanaume Ni Ishu ndogo Sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3346597
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni hatari [emoji23]Athari za kuoa wanawake waliokuzidi umri
Duuuuh so naww ungenipiga mbele za watu[emoji32]Nìngekuwa mama yako ningekutwika bonge la konde....sasa ulikuwa unachekacheka nini?kakupa fyongo mbele za watu unamuwasha kelebu moja si anataka kudhalilishana
Inadepend na sehemu mliposi mnasemaga kofi la mpenzi haliumi.