Je tukio la Macron akisukumwa na mkewe mbele ya camera, limewahi kukukuta kwenye mazingira Gani?

Ondoa huu uchafu wa Kitenge hapa. Huwezi ku-post bila kuweka uchafu wa hawa chawa?
 
Tatizo la kuoa shangazi yake hilo.
 
Sio tajiri, dogo alimzimika mwalimu wake wa primary thus akaja muoa. Macron ni mdogo katika familia yake as mtoto wake wa mwisho kamzid mwaka mmoja. Yaan last born kamzid baba kwa mmoja
 
Athari za kuoa wanawake waliokuzidi umri
 
Nìngekuwa mama yako ningekutwika bonge la konde....sasa ulikuwa unachekacheka nini?kakupa fyongo mbele za watu unamuwasha kelebu moja si anataka kudhalilishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…