Je tukio la Macron akisukumwa na mkewe mbele ya camera, limewahi kukukuta kwenye mazingira Gani?

Ina happen kwa wanaume lege lege, ningepiga niue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisaa inakuaje mwanamke anakuvunjia heshima we unachekacheka
Ungelikuwa wewe ndo mke wa jamaa akikupiga Mbele ya watu ungeliona sawa?? , wanawake πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…