Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
Kinana alishamaliza Twiga ?
Juzi alikuwa ujombani kwao Oman anapatanisha bei ya makalio yetu (mikuu.ndu yetu!).... ndicho kilichobakia mkuu!Misitu?
Machimbo?
Maliasili?
Gas?
Mafuta?
Au..!?
Shida haipo kwenye kuuza dhahabu, tatizo lipo kwenye matumizi ya hizo fedha...
Zinaenda kuishia kwenye matumbo ya wachache...
Cc: Mahondaw
Madini yapo mengi sana usiwe na wasi wasi kuna Uranium
HahahaMimi nashauri nchi iuzwe kila mtu agawiwe chake, watakaobaki bongo waish kama wapangaji wengine tukatafute maisha sehem nyingine hii Dunia mbona kubwa sana
Hii ni Sawa Sawa na MTU kuuza Nyumba ili akapange
Dugai alikuwa mbele ya mdaYameshauzwa yote
😁Masheikh wakata vichwa hata hawaelewi hazina ya Taifa ni kitu gani, wanasubiri TEC waongee.