Je, tukishamaliza kuuza Dhahabu, tutauza nini tena?

Je, tukishamaliza kuuza Dhahabu, tutauza nini tena?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
IMG-20260130-WA0004.jpg
 
Japo mavuzi maana kwa uchache ukipiga hesabu watu zaidi ya milioni 50 kila mmoja hakosi mavuzi 150. Utani tu. Tuliambiwa nchi iko vizuri kifedha baada ya misaada kuzuiwa ndio wanahaha wauaji.
 
First the ports, now the gold. Through a shady DP World contract, the UAE controls Tanzania’s water and dry ports. Now, samia suluhu hassan is selling off our gold reserves for quick cash.

Dubai plans the world’s first “gold city.” Coincidence? Hardly. While others secure their future, #Tanzania is surrendering its wealth and sovereignty.

This isn’t development. This is distress. And it’s a warning we can’t ignore.
 
Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.

HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21).

Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”, yaani “akiba au hazina maalum isiyoguswa guswa bila utaratibu”.

1. Hazina hii hutunzwa mahali pa siri na panapolindwa kwa umakini mkubwa.

2. Familia inaweza kulala njaa, mgonjwa akakosa matibabu, na hata ng’ombe akauzwa lakini NYANTAKOLWAKOLWA haiguswi.

3. Hazina hii huguswa endapo uhai wa Mkuu wa Kaya umo mashakani au yuko katika hatari ya kupelekwa kifungoni.

4. Hazina hiyo inaweza kuguswa endapo mali nyingine zooote zimeshindwa kutatua tatizo linaloikabili familia au hizo hazina thamani ya kutatua tatizo hilo.

5. Ili kuigusa hazina “ISIYOGUSIKA”, kibali huwa kinatafutwa. Kwa familia sharti Mkuu wa Familia, Mtoto mkubwa kiume, Mke mkubwa endapo kuna zaidi ya mmoja, na rafiki wa damu wa familia (omukago) ili wakubali kuwa NYANTAKOLWAKOLWA “isiyogusika kirahisi” iweze kugusika ili kuokoa uhai wa Mkuu wa Kaya.

6. Endapo imekubalika kuwa hazina hiyo iguswe ili kutatua tatizo la familia, basi wana ukoo hujulishwa na kupewa fursa ya kwanza “kuigusa” ISIYOGUSIKA kabla ya kuwafikiria watu wa nje. Ni hatari mtu wa nje kunufaika na NYANTAKOLWAKOLWA bila ridhaa ya wanaukoo.

7. Hata mwana ukoo ambaye hajazaliwa ana haki ya kukua na kudai na kukomboa NYANTAKOLWAKOLWA ya familia au ukoo.

Lakiniiiiiii

Wajaluo hap hao wanasema, Fimbo uliyo nayo mkononi ndiyo unaitumia kumuua nyoka. Huwezi kuazima fimbo unapokabiliwa na hatari.
 
Ni aibu sana kama taifa kuwa na mtawala wa namna hii (maana hatakiwi wala hana sifa ya kuitwa rais).Hili ni zao la elimu ya Zanzibar,naapa kwa Mungu ningekuwa mzanzibar halafu nina mtoto nisingempeleka skuli maana impact yake inaonekana dhahiri Sasa hivi
 
Umeuza dhahabu kwa vile hakunampesa. Dhahabu ni bidhaa inaisha kwenye stoo.
Ikiisha utauza mini?
Maisha ya masikini huuza vifaa alivyo navyo kama baiskeli, radio etc. Vikiisha anaanza kukata vipande vya ardhi anauza.
Kwa mwendo huu, Tanganyika itauzwa vipande kwa waarabu! Na kibaya na Zanzibar haitaguswa!

It is a pity "rais" , think twice!
 
Back
Top Bottom