Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana kulikuwa na mtu anaongelea kutetea mambo ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu, uhuru.Je utamaduni wa uoga, unafiki, rushwa na kupenda kutukuzwa aka uchawa ni sababu inayo kwamisha maendeleo yetu. Katiba mpya ambayo ingeleta uchumi imara na demokrasia
View attachment 3108331
Mtu bwege tu ndia atatumia hizi mahakama zetu kufungua shauri, mahakama zinazopewa maagizo huwezi kuzitumia kudai haki. Mnajisi uhuru wa mahakama kisha mtake watu wawe na uzalendo wa kibwege.Tundu Lissu anatumika vibaya na mabeberu.
Ameenda kuwaunga mkono mabeberu kutushitaki nje, kwa sababu ana kinyogo.
================
Hiyo ni hatari kuliko kudai kuvaa nguo za Asili ni Udikteta