Je tulaumu wananchi kwa viongozi wetu kupenda udikteta

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Je utamaduni wa uoga, unafiki, rushwa na kupenda kutukuzwa aka uchawa ni sababu inayo kwamisha maendeleo yetu. Katiba mpya ambayo ingeleta uchumi imara na demokrasia

Tundu Lissu anatumika vibaya na mabeberu.

Ameenda kuwaunga mkono mabeberu kutushitaki nje, kwa sababu ana kinyogo.
================
Hiyo ni hatari kuliko kudai kuvaa nguo za Asili ni Udikteta
 
Je utamaduni wa uoga, unafiki, rushwa na kupenda kutukuzwa aka uchawa ni sababu inayo kwamisha maendeleo yetu. Katiba mpya ambayo ingeleta uchumi imara na demokrasia

View attachment 3108331
Jana kulikuwa na mtu anaongelea kutetea mambo ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu, uhuru.

Huku ameweka avatar ya Captain Ibrahim Traore wa Burkina Faso.

Contradiction.
 
Tundu Lissu anatumika vibaya na mabeberu.

Ameenda kuwaunga mkono mabeberu kutushitaki nje, kwa sababu ana kinyogo.
================
Hiyo ni hatari kuliko kudai kuvaa nguo za Asili ni Udikteta
Mtu bwege tu ndia atatumia hizi mahakama zetu kufungua shauri, mahakama zinazopewa maagizo huwezi kuzitumia kudai haki. Mnajisi uhuru wa mahakama kisha mtake watu wawe na uzalendo wa kibwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…