Je, tumekubali na tutahudhuria Sherehe za Uhuru za mwaka huu wa 2019 kama Mgeni Rasmi kwakuwa zitafanyika Mwanza au?


Nadhani hilo swali ungemuuliza huyo muhusika ndo angejibu kwa nni safari hii hataki kutumia hizo pesa kwa miradi mingine, maana maamuzi hutoa yeye, pia ukumbuke anapo ahilisha huwa kuna watu humu pia hulalamika kwa nini aahilishe swala ambalo lipokisheria? Pia umshauri ni lipi jema afanye kati ya kuahilisha na kusherekea.
 
Hilo la TISS jamaa amekurupuka 😁.
 
Hapo kwenye jeshi samahani kidogo. Hii ilianza tangu wakati wa ukoloni ambao walikuwa na vipaumbele vyao. Baada ya vita kuu ya pili wote waliopigana na kurudi salama waliajiria KAR, POLICE NA PRISONS bila kujali walitkea wapi ingawaje wengi wao walitokea Mara. Hali hii ilianza kurekebishwa Zaidi baada ya uhuru. Hata wafupi nao wakaanza kupokelewa jeshini, polisi na magereza. Hata hivyo sidhani kama ulitegemea waishe mara. Pamoja na yote watu wa Mara wanapenda kazi za 'GESHI' kama ambavyo makabila mengine yanapenda uvuvi, kazi za ofisini, ngoma, biashara nk
 
Na kwanini mwaka huu zinafanyika na mwaka ujao hazifanyiki? Hii Kwako Wewe ni Akili au Matope? Nasubiri Majibu yako tafadhali.
Una uhakika gani mwakani hazitafanyika?....,si usubir mwakani ndo ufungue Au ufunge mdomo wako huo...we ulijua kama zitafanyika mwaka huu...
 
Dah!🤔una umri gani!?tuanzie hapo kwanza.
 
Zikifutwa kila mwaka kwa miaka mingi mfululizo zitakosa maana na kusahaulika.. kumbuka katk miaka minne iliyopita zimefanyika mara mbili tu!!
 
Magufuli anaendekeza ukabila hilo tunakubali.. lkn sio katika jambo hili la sherehe za Uhuru.. kwanza kabisa kila mji nchi hii una haki ya kuhost sherehe hizo... kwa hiyo mwanza ikihost hakuna tatizo.. rejea mara ya mwisho sherehe hizo kufanyika mwanza ni lin? Sherehe kubwa kufanyika mwanza ilikua mei mosi ya kikwete toka hapo mwanza haijapokea sherehe yyte kubwa ya kitaifa!! KUHUSU KUBANA PESA ZA MATUMIZ..kumbuka pesa za mwaka jana zaid ya miliion900 zilitumika kujenga hospital ya watu wa dodoma(Uhuru). Lkn pia hiz sherehe hazitakiwi kuahirishwa mara kwa mara na kwa mfululizo..zitapoteza maana yake kama zikiahirishwa kwa mfululizo
 
Nchi haiwezi haribika kwa sherehe za Uhuru kufanyika mkoani Mwanza,ebu muwe na akili basi.
 
Hivi ni lazima kuhoji kila jambo
 

Ubinafsi ni kitu kibaya sana
 
Mkuu ule ulikuwa mkwara tu...maadhimisho yote aliyopiga maruguku siku hizi yamerudi!
 
heshima yako mkuu wewe na watu wa mara kwa utulivu nilioupata mpaka nikaandika comment yangu ...

GENTAMYCINE


 
Acha nongwa mkuu ukanda upi !hoja dhaifu kabisa hii !au tatizo ni mwanza kwasababu mkuu anatoka kanda ya ziwa! Mambo mengine nikutaka kuyafanya yawe na uzito angali kwa kuangalia kwa umakini hayana ukweli wowote
 
Je unajuw Nyerere alisha wataadharisha juu ya mabila fulani?
 
Ila jamani tuache upambe wale tuna mpenda MH Rais. Ukabila upo Yani kiukweli Wala tusijitoe mshipa wa aibu.
Sitaki kuorodhesha ila upo na pia wakaska wanakoma japo ameshindwa amisha mlima kupeleka chato.
 


I thought hii ya watu wa MARA ni tokea Mkoloni ?
 

Uhuru wa nchi gani vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…