Je, Tumekubali yaishe? Tumewaachia wajihesabie ushindi watafune nchi wawezavyo?

Je, Tumekubali yaishe? Tumewaachia wajihesabie ushindi watafune nchi wawezavyo?

Lissu ulikuwa mradi wa Kanisa uliofeli. Mbowe aliondolewa chadema kwa nguvu ili kupisha mradi huo. Chadema sasa hivi ni genge na sio chama cha siasa tena. Kilitumiwa na wahuni kama nyangumi baharini kuwavusha wahuni kwenda nchikavu (Ikulu). Hili linafahamika wazi kwa vyombo vyote vya intelejensia. Ukishalijua jina la mbwa umeshaumaliza mchezo.
Ni wachache tuliliona hili tokea Mbali!! CHADEMA haikua chama cha kuendeshwa na kila Habil, Mange Kimambi na yule malaya Maria
 
Tumekubali yaishe? Tumewaachia ushindi watafune nchi wawezavyo?

Ni maswali yasiyo majibu yanayoumiza moyo na kuitesa akili. Hivi tumeiacha Tanganyika ikilia na kuomboleza huku ikitafunwa mpaka mifupa?

TUmekubali kuwa watumwa wa kundi dogo linalowashurutisha majeshi watushikilie kwa mtutu wa bunduki?

Je, hatuna namna nyingine ya kurudisha morali na kiu ya ukombozi iliyokuwa imewaka na inayoonekana kufifia baada ya watu kuona kama hakuna njia za kukusanyika kudai haki sababu ya tishio la kupoteza uhai?

Hebu wenye akili, mbinu, na mawazo mbadala au hata maboresho na wenye uwezo wa kututia moyo wa ujasiri msikae kimya.

Semeni kila dakika ili kututia moyo tujaribu tena na tena naamini ushindi upo. Ni kweli sasa wanabeza, wanacheka, wanakebehi na kujipongeza kushinda lakini tusife moyo tuwe majasiri kama Simba na werevu kama hua tutafute mbinu na mbinu hata tupate tunachotaka.
Hii vita sio ndogo
Vijana wa Gen-Z hawawezi kupambana na watu wakubwa wenye nguvu ya pesa na jeshi.
Hii vita waachieni wakubwa kwa wakubwa wenye nguvu zinazoendana.
 
Jamaa waoga sana ,wakishindwa wanaanza unafiki wa kushabikia vifo...Mwanamke wanamuogopa baada ya kupokea kichapo heavy ,wanakuja na ngojera za kuombe mtu afe sio uthenge huo.
 
Ni wachache tuliliona hili tokea Mbali!! CHADEMA haikua chama cha kuendeshwa na kila Habil, Mange Kimambi na yule malaya Maria
Mbona unaongea kama unatatizo la afya ya akili Bro? kwani hao uliyowataja nimanyani?

Tangu enzi za utawala wote wa Mbowe (japo ni homeboy) lakini ulishawahi kuona serikali imepagawa kama inavyopagawishwa kwasasa? Kwanini usikubali kuwa Lissu ni akili kubwa ,au itakuondolea malipo?

Jenga hoja acha kurusha personal attack
 
Haijaisha yanayofata Sasa ni haya
Kwa kifupi maandamano yatakuwepo hiyo tarehe 25 December siku ya sikukuu ya Krisimasi.
Habari hii itakua ndefu kidogo ila soma hadi mwisho, Kuna mengi ya kujua na kuelewa humo ndani.

Jana maandamano yalifanikiwa ila sio kwa kiwango kilichotarajiwa na watu wengi, ila ujumbe ulifika sehemu husika na duniani kwamba utawala huu wa samia watanzania hawautaki ila Sasa unaendeshwa kwa nguvu ya majeshi na bunduki pekee.

Kwa sasa tutumie njia zifuatazo za kupinga huu utawala huku tukisubiri maandamano makubwa nchi nzima ya tarehe 25 December siku ya sikukuu ya Krisimasi

Kabla ya yote tukubaliane kwamba baadhi ya njia zinaweza kuumiza mifumo yetu binafsi ya uchumi hivyo tukubaliane lazima tufunge mikanda katika kuondoa huu utawala haramu uliopo.

Vifuatavyo ni vitu vidogo vidogo vya kufanya tunaposubiri maandamano makubwa hiyo tarehe 25 December, mfahamu kwamba vitu vyote hivyo sio haramu kuvifanya katika nchi za kidemokrasia, bali vinatambulika duniani kote kama sehemu yakuonesha kupinga utawala haramu na vimewahi pelekea matokeo chanya katika nchi nyingi duniani.

1. Kupinga chama cha siasa kilichompitisha samia - CCM.
Tutaipinga CCM sababu ndio chama kilichotumika kutuletea hilo tatizo na hicho chama hakijajitokeza kukemea maelfu ya mauaji yaliyofanyika kwa ndugu zetu.
Tutaipinga CCM kwa kuzomea viongozi wake wote au wanachama wa CCM watakao vaa vazi la chama chao popote watakapopita katika jumuia za watu wengi mfano misibani, sherehe, masokoni, vituo vya mabasi n.k ikiwezekana wapigane hata mawe.
Rekodini video na kuonesha jinsi ambavyo jamii ya kitanzania haikitaki hicho chama.

2. Kuchoma picha za samia hadharani,
Kimataifa hii ni njia inaeleweka kwamba ni upingaji wa uongozi wa kikatili wa kiongozi husika, hivyo uchomaji picha unakubalika Dunia kote kuonesha hisia za wananchi kwa Serikali haramu.
Chomeni picha kadiri iwezekanavyo kila mkoa, wilaya, tarafa n.k mkivaa maski Kisha rekodini na kuzipost video kwa kila namna, hii inakua ni kama challenge za TikTok
Mnakumbuka kijana Chaula alipochoma picha ya fisadi samia akaishia kutekwa, hiyo maana yake uchomaji wa picha una maana kubwa sana kimataifa na hao watawala haramu wanajua hilo.
Msijali kuhusu gharama za kuandaa picha, bali maana ya kuchoma picha ni kubwa kuliko gharama ya kupata hiyo picha.

3. Kuchoma bendera za Taifa.
Hii inaweza kuonekana kama kukosa uzalendo kikawaida ila uzalendo sisi tunao ila lengo ni kufikisha ujumbe kwa Dunia
Kuchoma bendera ya Taifa husika kimataifa ni ishara kwamba utawala uliopo unafanya mauaji ya kutisha kwa wananchi, kuteka n.k kwa kifupi kuchoma bendera kimataifa inatambulika kama utawala uliopo umefikia hatua mbaya kabisa kimatendo kwa wananchi wake. Namna ya kuchoma ni kama nilivyoandika katika namna ya kuchoma picha ya samia

4. Migomo na kuvuruga mifumo ya uchumi ya nchi.
Lengo hapa ni kukosesha mapato utawala huu haramu, mapato inayotumia kununua silaha zilizoua ndugu zetu, mapato inayotumia kugharamia operation za kijeshi nchi nzima zidi yetu wananchi, pia pesa zingine wanahonga mabilioni wa viongozi wa kijeshi na maposho kwa wanajeshi zidi yetu, mapato wanayotumia kufanya anasa wao na familia zao, mapato wanayotumia kuhonga vyombo vya habari, wanamuziki n.k
Hili zoezi litafanyika ndani na nje ya nchi.

a.Nje ya nchi litafanyika kwa kutageti nchi zote wahisani wa kuwafikishia ujumbe wa maovu yanayofanywa na utawala huu, najua ujumbe tayari wanao ila nikuendelea kuwafikishia kadiri iwezekanavyo na pia Kuna mjumbe humu alileta mawasiliano ya nchi zote wahisani ikiwemo email na na namba zao za WhatsApp basi watumieni huko kwenye email na namba zao za WhatsApp picha na video zote za mauaji ya kutisha yaliyofanyika kwa watanzania, pamoja na changamoto zao ila wazungu wanajali sana utu wa mtu sababu wao walishapitia haya mambo kwenye first and second world war na wengine walikimbilia Africa kama Poland waliokuweko mkoani Arusha miaka ya nyuma.

b. Ndani ya nchi tutaharibu vyanzo vya mapato kwa kufanya yafuatayo.
Kwanza tukubaliane kwamba utawala huu kukosa mapato sote tutaumia sababu ni sehemu ya huo uchumi ndio maana nikaweka Uzi kwamba
"maisha yameshabadilika hivyo unatakiwa kubadilika kwa kufanya yafuatayo".
Hapa tunaukosesha utawala huu haramu mapato sababu ndio inatumia mapato hayo kulipa wafanyakazi katika mawizara, taasisi, mamlaka tofauti nchini na hao wafanyakazi wa hizo wizara, mamlaka, taasisi n.k wanajiona wao matatizo ya watanzania hayawahusu ila watakapokosa mishahara tutaongea lugha moja zidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia.
Sasa njia za ndani ya nchi za kukosesha utawala huu haramu mapato ni kama ifuatavyo.
Hapa Kuna primary sector kama Kilimo, Madini, Uvuvi n.k
Kuna secondary sector kama uzalishaji viwandani, ujenzi n.k
Pia Kuna tertiary sector kama Biashara za kimataifa, huduma za afya, utalii, fedha n.k
Katika hapa tutatageti sekta tutakayoweza kuifikia kirahisi ambayo ni utalii hapa tutakosesha mapato utawala huu haramu uliopo kwa kuiharibu makusudi mifumo ya utalii ndani na nje ya nchi kwa kuonesha picha za mauaji kwa mitandao mikubwa ya watalii wanaotembelea Tanzania kwa wingi kama nchi ya Marekani, Uingereza, ujerumani, ufaransa, Italia n.k hizo ndio nchi zenye asilimia 90 ya watalii wanatembelea Tanzania pia na njia haramu za kuvuruga utalii.

5. Kuvuruga uwekezaji ndani ya nchi.
Hapa nazungumzia uwekezaji katika kilimo, madini, uvuvi, viwanda, afya,fedha, Biashara n.k
Hapa tutatageti wawekezaji kutoka nje ya nchi kama wachina, waarabu, wahindi, wazungu n.k
Lengo ni kuonesha Tanzania sio salama sababu hao wageni wanapoona tunahangaika na huu utawala haramu ila wao hawaguswi wataona kama wako salama hivyo tutavuruga uwekezaji kwa kuchoma viwanda vya wawekezaji kwa kuwarushia vilipuzi, kuchoma magari yao kwa ghafla n.k watanzania tukubaliane kwamba huu uongozi umeshindwa kutatua matatizo yetu kwa lugha nyepesi kwa kujivunia majeshi, hivyo tuzungumze lugha ngumu ndio tutaelewana.
Hao wawekezaji wakishaona uwekezaji wao upo hatarini na wakiona sababu ni huu utawala haramu uliopo watashirikiana na wananchi kumuondoa samia kwa njia wanazojua wao

6. Kupinga huduma na bidhaa zote zinazotolewa na mtu, kampuni au taasisi vinayoshirikiana na CCM.

Hapa pia tuelewane kwamba inaweza tukagusa kitu, kampuni au taasisi tunazozipenda lakini si tumekubaliana kufunga mikanda kuikomboa nchi , si ndiyo?

Sasa kwa watu hapa ni kama wasanii walioshirikiana na CCM kama Diamond, Ali Kiba, Jux, Harmonize, RayVan, Nandi, Zuchu, Bilnass, Marioo, Ommy Dimpo n.k

Pia Kuna wahamasishaji kama Mwijaku, Baba Levo, Haji manara n.k hawa watu tuwapinge kwa kuto follow wao na kazi zao, Biashara zao, matamasha, makampuni yanayowapa udhamini n.k ikiwezekana kuchoma mali za kwa mashambulizi ya ghafla kwa kutumia pikipiki.
Lengo hapa ni kuwapa somo siku nyingine waache kejeli kwa wananchi.

Pia Kuna makampuni yanamilikiwa na watu wa CCM hayo makampuni, hotel n.k ndio yamekua yanatoa pesa kufadhili maovu ya CCM na vikundi vyake vya kitekaji na mauaji vinavyoongozwa na UVCCM.
Mfano ni kampuni ya mabasi Abood, Shabiby, Esther, Achimwine na nyingine nyingi unazofahamu, wananchi mnatakiwa kususia huduma za hayo makampuni sababu ndio zinatumika kutoa pesa zinazofadhili makundi ya utekaji na uuaji yaliyotapakaa nchi nzima Sasa yakiongozwa na hao CCM.

7. Kususia bidhaa au huduma zinazotolewa na matajiri mafisadi wanafuika wa CCM.

Hapa nitataja matajiri mafisadi na bidhaa zao.

A.GSM anamiliki Silent Ocean, Kilimanjaro Cargo hizo Clearing and Forwarding Company pia zinashughulika na usafirishaji wa bidhaa toka nje ya nchi,
Pia GSM anamiliki maduka ya kuuza nguo kama LC Waikiki, Defacto, Splash n.k yaliyopo Mlimani City, Mwenge Mall, NHC Morocco Square n.k.
GSM anamiliki bandari kavu kubwa kuliko zote Tanzania aliyopewa na mafisadi wa CCM, zamani bandari kavu ilikua mali ya shirika la usafirishaji mabasi uda.
GSM ndio anatumika kukwepa Kodi kupitia utawala huu haramu na hizo Kodi hizo ndio zinatumika kudhamini CCM na vikundi haramu vya utekaji na mauaji kwa watanzania msisahau kwamba GSM inahusiana na mzee wa msoga.
Mmesahau GSM ndio mmiliki wa timu ya Yanga na kwa pamoja walitoa Bilioni kumi na milioni mia moja kudhamini kampeni za CCM mwaka huu.

B. ROSTAM AZIZ
Huyu Biashara zake ni kampuni ya kuuza gesi inayoitwa Taifa Gas, Kampuni ya mawasiliano Yas zamani Tigo n.k
Kuhusu huyu bwana ana mambo mengi maovu ikiwemo uwindaji haramu wa wanyamapori wetu ila kwa Leo tutadeal nae kwa hayo yanayoonekana mitaani kuhusu yeye.

C. Mohamed Dewji na Bakhresa n.k sijawaweka sababu sijawaona wakiwa front sana na CCM ingawa nao ni wanufaika wakubwa wa ufisadi wa CCM

Note:
Ndugu watanzania ninayomengi sana ya kuandika kuhusu hii mada ila naona nitawachosha kwa kuandika andiko lefu ila mengine nitatoa ufafanuzi kwenye comment section na najua nanyi pia mnanyongeza ya mambo ya kufanya yanayohusiana na utekelezejai wa mada hii muhimu.
Wito wangu ni kwamba mada hii mnaweza kuibadilisha katika mifumo mingi kadiri iwezekanavyo kama video, audio, picture, newspaper n.k ili iwezekuwafikia watanzania wengi kadiri iwezekanavyo katika mitandao tofauti kama TikTok, Instagram, WhatsApp, Twitter - X, YouTube n.k.
Katika utekelezeja ni kila mtu afanye katika eneo lake katika namna anayoona inafaa n.k

Lengo la hii mada si kuharibu nchi yetu nzuri bali ni kuandamana kwa namna tofauti zidi ya utawala huu haramu hadi pale watawala hao haramu wakiongozwa na samia watakaposhindwa kutawala nchi na wananchi kupata fursa ya kuchagua viongozi wawapendao ambao ni wazalendo watakaotokana na wananchi pia kwa chaguzi halali za wananchi wenyewe.
Wewe utakuwa nje ya Tz ndio maana unaandika ujinga huo. Baki huko huko sisi huku tumeshajitambua na kuwatambua nyinyi wasaliti wa nchi yetu TZ.
 
Back
Top Bottom