Je, Tumekubali yaishe? Tumewaachia wajihesabie ushindi watafune nchi wawezavyo?

Ni wachache tuliliona hili tokea Mbali!! CHADEMA haikua chama cha kuendeshwa na kila Habil, Mange Kimambi na yule malaya Maria
 
Hii vita sio ndogo
Vijana wa Gen-Z hawawezi kupambana na watu wakubwa wenye nguvu ya pesa na jeshi.
Hii vita waachieni wakubwa kwa wakubwa wenye nguvu zinazoendana.
 
Jamaa waoga sana ,wakishindwa wanaanza unafiki wa kushabikia vifo...Mwanamke wanamuogopa baada ya kupokea kichapo heavy ,wanakuja na ngojera za kuombe mtu afe sio uthenge huo.
 
Ni wachache tuliliona hili tokea Mbali!! CHADEMA haikua chama cha kuendeshwa na kila Habil, Mange Kimambi na yule malaya Maria
Mbona unaongea kama unatatizo la afya ya akili Bro? kwani hao uliyowataja nimanyani?

Tangu enzi za utawala wote wa Mbowe (japo ni homeboy) lakini ulishawahi kuona serikali imepagawa kama inavyopagawishwa kwasasa? Kwanini usikubali kuwa Lissu ni akili kubwa ,au itakuondolea malipo?

Jenga hoja acha kurusha personal attack
 
Wewe utakuwa nje ya Tz ndio maana unaandika ujinga huo. Baki huko huko sisi huku tumeshajitambua na kuwatambua nyinyi wasaliti wa nchi yetu TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…