GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Miguu na vichwa vya kuku + bia za mafungu + mdada poa(wale wa malipo kwa bao unazopiga) = ?Huu uwendawazimu wa vijana wa dsm ndio umefanya dsm inapesa sana ina bata sana na ina wanawake wazuri wengi yaani saiv hata mdada wa 45 years anakula maisha na 20
Kafungue biashara karibu nao utajua is equal to nini?Miguu na vichwa vya kuku + bia za mafungu + mdada poa(wale wa malipo kwa bao unazopiga) = ?
Kuuza mitumba ndio uwendawazimu? Hizo ni dharau. Degeree kitu gani kwa sasa kwa hali halisi ya maisha yalivyo, na huo wala sio uchizi, anajua maana ya kutafuta maana milioni inaanza na shilingi 1. Ulevi na umalaya tena wa kenye Bar na Grocery za mitaani ndio starehe. ?Kafungue biashara karibu nao utajua is equal to nini?
Kama ni mtu wa starehe kua nao karibu ujue nini maana ya wendawazimu wa kundi hilo.
Mimi naongelea unakuta kijana kajifanya chizi kajitoa akili na degree yake unamkuta anauza nguo tena mtumba.. yaani uwendawazimu hatari.. una pesa.. sasa endeleeni kuwa werevu watu wa mikoani.. tutawapiga bao kila siku.