Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anajua wazi Kuwait analolitaka haliwezekani Shida ipo Kwa hawa misukule wanaomfuata
Lisu anajua hashindi ndio maana amrgeuza upepo
We unaona ni sawa kura zipigwe bila wakala kuwepo kwa sababu za ki falafala za kuwanyima viapo, kuwanyima utambulisho, kuwafanyia fujo?
Kama unaona Lisu kakata tamaa, na ndivyo ungependa iwe, fine! Mwaache akate tamaa. Mengine waachie wapigakura wamuadhibu kwa kukata tamaa kwake, au wampe moyo kwa kukata tamaa kwake.
Lakini, nikupe taarifa tu kuwa mlikosea kutoa elimu bure maana sasa kila mtanzania ameelimika, hadanganywi tena na kofia na t-shirts. Hizi porojo zako enzi zake zinaishilia.
"Ukitaka kuwa mwana CCM mzuri lazima uwe na phd ya unafiki" Cyprian Musiba. Kazi kwako Kawe AlumniMgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko
Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake
Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?
Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko
Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake
Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?
Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu
Kwani alouwawa Aquilina Aquilina tatizo halikuwa mkurugenzi kugoma kuwaapisha mawakala. Hivi kutakuwa na uhakika gani kama wakurugenzi watapeleka barua za kuwatambulisha mawakala wa CDM kwenye vituo kwa wakati. Tumeona hata uamuzi wa rufaa ambazo CDM wameshinda hadi jana kuna wakurugenzi hawajawapa barua waanze kufanya kampeni. Tunakoelekea siyo kuzuri hasa kama na CDM hawatakubali kumuachia Mungu
Kwani yeye ni mzee wa faragha?itakuwa wamekusogezea uguni huko nyuma
Bavicha wanafikir huu ni uchaguzi wa ndani ya chadema ambapo mwenyeti akisema Mnyika awe katibu mkuu na mwenyekiti niendelee kuwa mimi wote makofi waaa waaa!Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%
October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Inaelekea aliyekuchumbia kukuoa kakutema hivyo hasira unazihamishia kwa Lissu.Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko
Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake
Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?
Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu
Wewe Pimbi hangaika na mwenyekiti wako Jiwe kushindwa kufanya kampeni mgonjwa , hata nusu saa kusimama jukwaani hawezi .Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko
Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake
Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?
Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu
Yule bibi ndo kasema hata tusipopiga kura tayari ushindi upo, kwa kauli hii ni kwamba hategemei kura zetu.
Basi, sasa rasmi kura zetu ni kwa Lissu.
Jina la mfanyabiashara wa mashariki ya kati bila shaka ni memba flani wa two boyz menWewe Pimbi hangaika na mwenyekiti wako Jiwe kushindwa kufanya kampeni mgonjwa , hata nusu saa kusimama jukwaani hawezi .View attachment 1602861View attachment 1602862View attachment 1602864