Uchaguzi 2020 Je, tunaafiki hili suala la kutokupiga kura? Lilitolewa na mgombea wa CHADEMA?

We unaona ni sawa kura zipigwe bila wakala kuwepo kwa sababu za ki falafala za kuwanyima viapo, kuwanyima utambulisho, kuwafanyia fujo?

Kama unaona Lisu kakata tamaa, na ndivyo ungependa iwe, fine! Mwaache akate tamaa. Mengine waachie wapigakura wamuadhibu kwa kukata tamaa kwake, au wampe moyo kwa kukata tamaa kwake.

Lakini, nikupe taarifa tu kuwa mlikosea kutoa elimu bure maana sasa kila mtanzania ameelimika, hadanganywi tena na kofia na t-shirts. Hizi porojo zako enzi zake zinaishilia.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Huo ni wasiwasi tu mawakala wataapishwa na Ccm ushindi ni 98%

Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu
We unaona ni sawa kura zipigwe bila wakala kuwepo kwa sababu za ki falafala za kuwanyima viapo, kuwanyima utambulisho, kuwafanyia fujo?
Kama unaona Lisu kakata tamaa, na ndivyo ungependa iwe, fine! Mwaache akate tamaa. Mengine waachie wapigakura wamuadhibu kwa kukata tamaa kwake, au wampe moyo kwa kukata tamaa kwake.
Lakini, nikupe taarifa tu kuwa mlikosea kutoa elimu bure maana sasa kila mtanzania ameelimika, hadanganywi tena na kofia na t-shirts. Hizi porojo zako enzi zake zinaishilia.
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko

Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake

Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?

Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu
"Ukitaka kuwa mwana CCM mzuri lazima uwe na phd ya unafiki" Cyprian Musiba. Kazi kwako Kawe Alumni
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko

Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake

Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?

Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu

Kwani alouwawa Aquilina Aquilina tatizo halikuwa mkurugenzi kugoma kuwaapisha mawakala. Hivi kutakuwa na uhakika gani kama wakurugenzi watapeleka barua za kuwatambulisha mawakala wa CDM kwenye vituo kwa wakati. Tumeona hata uamuzi wa rufaa ambazo CDM wameshinda hadi jana kuna wakurugenzi hawajawapa barua waanze kufanya kampeni. Tunakoelekea siyo kuzuri hasa kama na CDM hawatakubali kumuachia Mungu
 
Chadema wanavunja sheria za Nchi

Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%

October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Bavicha wanafikir huu ni uchaguzi wa ndani ya chadema ambapo mwenyeti akisema Mnyika awe katibu mkuu na mwenyekiti niendelee kuwa mimi wote makofi waaa waaa!
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko

Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake

Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?

Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu
Inaelekea aliyekuchumbia kukuoa kakutema hivyo hasira unazihamishia kwa Lissu.
 
Yule bibi ndo kasema hata tusipopiga kura tayari ushindi upo, kwa kauli hii ni kwamba hategemei kura zetu.

Basi, sasa rasmi kura zetu ni kwa Lissu.
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko

Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu wasiwasi wa lissu unatoka wapi ?
Mawakala wataruhusiwa labda aseme kama hawaamini mawakala wake

Mashabiki wa Chadema mnakubaliana na kauli ya huyu bwana ? Kuwa tusiende kupiga kura?

Kama umegundua toka lissu aingie kwenye awamu ya pili ya kampeni baada ya kufungiwa kwa kuvunja sheria za Uchaguzi amekuwa kama mtu aliyejikatia tamaa anaona anapoteza pesa ya kampeni bure tu
Wewe Pimbi hangaika na mwenyekiti wako Jiwe kushindwa kufanya kampeni mgonjwa , hata nusu saa kusimama jukwaani hawezi .
Screenshot_20201015-115322.png
Screenshot_20201015-115258.png
Screenshot_20201016-161641.png
 
Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu, mpinzani wa Ccm ni dhaifu mno

Back
Top Bottom