Mimi mwenyewe ninaogopa kushuhudia kile kinataka kutokea, labda mwezi huu wa October. Kweli kabisa Iran ina nguvu za Kijeshi: kibaya zaidi kwa sasa inapata support kubwa toka Urusi na Uturuki. Niwajuze tu kuwa wakati wa Vikao vya UN kule New York kulikuwa na mkutano wa Foregn Ministers wa Iran, Turkey & Russia. Kila dalili zipo Iran ataishambulia Israel. Tumaini nililonalo ni kuwa Biblia haiungi mkono hicho wanacho kidhamiria.
1. Daniel 9: 25 mpaka 45 inamtambulisha mfame wa kaskazini, ambaye kwa nyakati zetu ni Russia. Huyo licha ya vurugu zake zote mwisho wake ni kuangamia " he will come all the way to his end". Hivyo, vita hii iran anayosaidiwa na Russia hashindi.
2. AGENDA kubwa ya Serikali ya Kiayatollah ya Irani ni kusimamisha ISLAMIC CALPHATE. Wanaanza na Israel na baadae wanamalizana na christians na kusimamisha world islamic calphate. Mungu wa Kweli hata kubali hiyo
3. Mungu wa Kweli anawapenda pia Waislamu na hataki waangamie. Katika Ufunuo 18:4 anawaonya tokeni kwenye dini ya uongo ili msipatwe na mapigo yake. Naamini kwakuwa Waislamu wamehusisha vita zao na Allah na kujiaminisha kabisa kuwa watashinda kwakuwa yeye Allah ndiye aliyewaagiza, basi Mungu wa Kweli anawapa somo la kichapo kisichotarajiwa ili wazinduke
Tumeshuhudia surprise waliyopata Hezbollah, mpaka wakashindwa kutumia SILAHA ZAO NZITO NZITO.
The same surprise naamini Mungu wa Kweli ataitokeza kule Iran licha ya CONFIDENCE waliyonayo.
Aidha, niwajuze tu kuwa Iran na Turkey wanaushirika ambao huko mbele una mgongano wa Kimaslahi ya Kidini. Iran ni Shia na Maayatollah wamejiaminisha kuwa wao ndiyo wenye kibali cha Quran ya Allah cha kusimamisha World Islamic Calphate. Turkey naye chini ya Edogan akikumbukia Nguvu za Ottoman Empire amepatwa na tamaa kuwa labda anaweza tena kurudisha himaya yake hiyo ya zamani. LAKINI WAWILI HAO (SUNNI vs SHIA) they are sworn enemies.
Wenzao wa Serikali za Saudi Arabia na UAE na Egypt walisha ng'amua kuwa islamic calphate inahatarisha tawala zao pia. Hivyo mataifa haya hayaungi mkono hiyo Agenda na ndiyo maana Utawala wa Kiayatollah ukianguka tu watasherehekea sana. Turkey yeye tutamalizana naye kwenye uchaguzi wa kiraia unaokuja 2027/28.
Kule Russia, Putin ndiyo sumu. Kama yeye siku zake zinahesabiwa