komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Tatizo lako hujui ya nchi yakoSekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni.
Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za stashada (diploma) shahada (degree) masters mpaka PHD.
Najiuliza tu, ya kwamba katika maelfu ya wataalam hao wa madawa, hajawahi kutokea mgunduzi yeyote wa dawa iliyothibitishwa kuponya ?
Ni vikwazo vya wazungu wenye viwanda, au ni viongozi na watawala wetu kutokuwa na maono ? India, China, Uturuki wameweza kuwa na viwanda vyao. Je sisi hatuwezi ?
Mbona ziko kibao kampuni za kuzalisha dawa Tanzania za pharmacist watanzania? Nenda duka lolote la madawa kaulize ziko kibao wana maabara zao na sio maabara tu wana viwandaMaabara zipo wapi kwanza ?
Kwa hiyo madawa hatuagizi tena nje kwa vile yanatengenezwa hapa ? Naomba kuelimishwa tu mkuu.Tatizo lako hujui ya nchi yako
Mbona dawa kibao zibatengenezwa na watanzania pharmacist
Kama vile nansoor daya,Shellys nk uliza gata duka lolote la madawa watakwambia ziko kibao
Mahabara kwa ajili ya tafiti.Sio mahabara ya kupimia UTIMbona ziko kibao kampuni za kuzalisha dawa Tanzania za pharmacist watanzania? Nenda duka lolote la madawa kaulize ziko kibao wana maabara zao na sio maabara tu wana viwanda
Soma kichwa cha mada kinasemaje kwanza hakiongelei hili lakoMahabara kwa ajili ya tafiti.Sio mahabara ya kupimia UTI
Mengi hatuagizi kwa asilimia kubwa sio yote hakuna nchi duniani ambayo asilimia 100 inajitegemea madawa lazima mengine iagize njeKwa hiyo madawa hatuagizi tena nje kwa vile yanatengenezwa hapa ? Naomba kuelimishwa tu mkuu.
Nimekuuliza sehemu ya kutendea kazi.kasome kuna kitu BSL 1-4.Soma kichwa cha mada kinasemaje kwanza hakiongelei hili lako
Ikiwa hatuogopi tishio la viwanda vikubwa toka nje (kama lipo) na kama kweli tunao wasomi , wabobezi katika fani hiyo ya madawa, kwa nini serikali isiwekeze, nguvu, mtaji, na msaada wowote unaohitajika ili eneo hili, kwanza liokoe pesa za kigeni, pili litoe ajira, na utaalam kwa kuanzisha viwanda vya dawa za hospitalini ? Magonjwa kama ukimwi, cancer, kisukari, nk hayawezi kufanyiwa utafiti na dawa zikagunduliwa ?Mengi hatuagizi kwa asilimia kubwa sio yote hakuna nchi duniani ambayo asilimia 100 inajitegemea madawa lazima mengine iagize nje
Hoja yangu, hapajawahi kuwepo ugunduzi wowote thabiti ulioweza kuzalisha dawa ?Kwanza lazima upate haki ya kuzalisha dawa kutoka kwa wamiliki, wakupe formula yao ,chemicals wanazochanganya kutengeneza hiyo dawa, vinginevyo ugundue dawa yako ndio utengeneze.
Hatujawahi kugundua dawa yoyote nadhani Africa nzima hakuna nchi iliyogundua dawa ikaingia kwenye soko la dunia.Nchi nyingi zina viwanda tu vya kuzalisha lakini wao sio wamiliki wa hivyo viwanda. Kama ilivyo dawa ya paracetamol inazalishwa nchi nyingi kwa majina tofaut(brands) kama HEDEX,Panadol na mengine la kini wenye haki miliki ni ni ha paracetamolHoja yangu, hapajawahi kuwepo ugunduzi wowote thabiti ulioweza kuzalisha dawa ?
Viwanda vyote duniani vya dawa ni vya private sector ukiona fursa wekezaIkiwa hatuogopi tishio la viwanda vikubwa toka nje (kama lipo) na kama kweli tunao wasomi , wabobezi katika fani hiyo ya madawa, kwa nini serikali isiwekeze, nguvu, mtaji, na msaada wowote unaohitajika ili eneo hili, kwanza liokoe pesa za kigeni, pili litoe ajira, na utaalam kwa kuanzisha viwanda vya dawa za hospitalini ? Magonjwa kama ukimwi, cancer, kisukari, nk hayawezi kufanyiwa utafiti na dawa zikagunduliwa ?