Je, tunao wataalam (Pharmacists) wa kutengeneza dawa hapa nchini Tanzania ?

What are the key enablers za ugunduzi, ufumbuzi na utengenezaji wa bidhaa?

Degree?
 
Tuna wataalam wa kusifia mama anaupiga mwingi tu.
Misitu, (mimea) ya nchi kavu, majini, wanyama, ndege, na kila aina ya rasilimali tulizo nazo nashawishika kabisa kuwa eneo hili likiwekewa mkazo katika utafiti wa kutosha laweza kuwa mkombozi kuokoa fedha, afya na ajira kwa maelfu ya Watanzania.
 
Wekeza pesa zako kwenye hizo tafiti ukiona fursa

Usikodolee macho serikali ukiona kuna fursa geuza wazo lako liwe la kibiashara tafuta mtaji zalisha dawa uza
 
Nenda physically hizi Taarifa hata Mimi ninazo.
May be ha waja update taarifa zao mitandaoni

Ofisi zaweza hama wakasahau ku update taarifa zao kwenye website

Hili ni tatizo la biashara nyingi Tanzania hufungua website halafu hawahangaiki tena ku update hata kuwe na changes za office location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ