Je, tunapaswa kumwomba msamaha Hayati Magufuli kwa tulivyomsema na kumdhihaki? Naona mambo hayaendi sasa

Hatuna deni naye ila tujilaumu kwa kuamini kuwa ni MTU ndiye chimbuko la matatizo na kero yetu. Msingi wa yote ni Mfumo wa Utawala tegemezi (ukoloni mamboleo), ambao Magufuli alishindana nao kama Mtu Binafsi, ukamwondoa duniani
Mwegeso,mfumo alipambana nao uka mwondoa duniani.
 
Huwezi amini katika hii situation tunayopitia hakuna aliyejitutumua kuja na solution.

Wote kimyaa kama hayawahusu vile.

Ila 2025 watakuja kutuomba kura wakijifanya kusahau waliyoyafanya before.
 
Kudadeeeki kichaka cha vita ya rasha na kreni bado mnakibemenda kiwabebe hadi mwisho eeee
Nenda kaburini kwake kafagie, Sukuma gang bwana mlikuwa mnamuona huyo mrundi kama mungu mtu!.

Halafu unakuta mtu kama wewe kitumbo mbele mbele kwenye vita ya Russia na Ukraine bila kujuwa athari zake kwa uchumi wa dunia.

Mbaya zaidi unakuta nawewe ni msomi ambaye hata kuchanganua mambo umeshindwa! Haya tuambie Kenya na nchi zingine wakaombe msamaha wapi?
D
 
Vita ya Urusi na Ukraine imesababisha uhaba wa mvua!!?
 
Tanzania ina zaidi ya mikoa 30, unavyosema uhaba wa mvua labda huko kwenu sio huku ambako mm nipo!

Kwahiyo Magu ndio kasababisha uhaba wa mvua huko kwenu au? 😂
 
Kudadeeeki kichaka cha vita ya rasha na kreni bado mnakibemenda kiwabebe hadi mwisho eeee

D
Wakina nani? Kwanza iwe team magu au msoga nyie wote ni nzi wa kijani! Mnanuka na hamfai kuwa madarakani.

Uhalisia ndio huo vita ya Ukraine na Urusi imeathiri karibia kila sekta japo kipindi cha karibuni kwa Tanganyika(Zanzibar wao mambo safi) hali imekuwa mbaya.
 
Mambo yanazidi kuwa magumu
Watanzania hawahawa walipiga vigelegele baada ya kifo cha Magufuli kwamba maisha yatakuwa swaaafii kabisa,

Sasa tunauliza, vipi maisha mazuri yanapatikana wapi huko jamani? Huku kwetu hatuelewi tunaona miaka inachelewa sana kwa utawala huu
 
Nauliza tu.

Tangu lipofariki JPM na wengi tukambatiza kwa jina la Mwendazake, mvua zilikata na hazijawahi kunyesha kabisa kwa baadhi ya mikoa na maeneo mengi nchini ukilinganisha na kipindi cha yeye kuwepo madarakani. Na inavyoonekana kuna mikoa baadhi huwenda mvua zisije kabisa msimu mzima, mfano Mikoa ya Pwani na maeneo mengine.

Alipokuwepo, tumlaumu sana na tulipiga kelele nyingi kuhusu suala la kupanda bei ya mafuta ya kula, enzi hizo mafuta, Lita ilikuwa ikiuzwa Tsh 3200 had I 3500, tulimuona ni mtu katili sana na asiye faa kabisa, na tulianza kuona ni aheri aondoke ili aje mwingine.

Leo hii mbona suala la bidhaaa, mama yangu, ndio Kwanzaa hata haijulikani ni Nani ataweza kuyamuda maisha ikiwa hali itaendelea kuwa hivi, Je, twaweza kumuomba msamaha huyu mwamba kwa tulivyomsema kwa ubaya na kumbe mambo magumu yalikuwa hatua chache tuu baada ya yeye kuondoka?

Ni jambo lipi la auheni ya kimaisha ambalo yeye Magufuli alipoondoka sisi kama wananchi tunanufaika nalo?

Si umeme, si fedha mitaani, si elimu ya msingi na secondary, si bidhaa na nafaka, vyote vimekuwa ni mateso kwa wananchi.

Jua nalo ndo linahasira na vimazao vinvyoota mashambani.

Hii hali inaanzia wapi, Je, tunadeni kwa aliyeondoka?
Unafiki tu!! Kitu gani hakiendi? Je umeokota watu wangapi waliouliwa na kutupwa kwenye Bahari wakiwa ndani ya viroba?

Je umesikia kuna mtu amekamatwa kwa sababu ya kutoa maoni yake mtandaoni? Je kuna mahali umesikia TRA wamemnyang'anya mtu fedha?

Binafsi yangu Magufuli hakustahili kuwa Rais wa Tanzania
 
Msamehe mpigania magufulegacy kakosa mwelekeo
 
Unafiki tu!! Kitu gani hakiendi? Je umeokota watu wangapi waliouliwa na kutupwa kwenye Bahari wakiwa ndani ya viroba?

Je umesikia kuna mtu amekamatwa kwa sababu ya kutoa maoni yake mtandaoni? Je kuna mahali umesikia TRA wamemnyang'anya mtu fedha?

Binafsi yangu Magufuli hakustahili kuwa Rais wa Tanzania
Maisha ni zaidi ya fikira zako hizi, unadhani ikiwa mtu hana njaa na vitu vyote vinapatikana kwa bei Chee! Kutoa maoni yake kutampa nini sasa!

Unatoa maoni halafu maisha ni magumu na unalala njaa, nini faida yake sasa.?
 
Jishughulishe na uzalishaji mali, acha udwanzi wa kutegemea shemeji arudi akupe hela za matumizi
 
Nafahamu hilo likisemwa lazima likuume kwa sabb linaukweli kwamba, maisha ya watu na furaha, huja ikiwa kuna shibe na mahitaji yanapatikana bila tabu

Unadhani watu wote wanaolalama kuwa maisha yamekuwa magumu wote wanakaa kwenu?
 
Huwezi amini katika hii situation tunayopitia hakuna aliyejitutumua kuja na solution.

Wote kimyaa kama hayawahusu vile.

Ila 2025 watakuja kutuomba kura wakijifanya kusahau waliyoyafanya before.
Hainyeshi kwenu. Kwetu inanyesha kila siku.
 
Nauliza tu.

Tangu lipofariki JPM na wengi tukambatiza kwa jina la Mwendazake, mvua zilikata na hazijawahi kunyesha kabisa kwa baadhi ya mikoa na maeneo mengi nchini ukilinganisha na kipindi cha yeye kuwepo madarakani. Na inavyoonekana kuna mikoa baadhi huwenda mvua zisije kabisa msimu mzima, mfano Mikoa ya Pwani na maeneo mengine.

Alipokuwepo, tumlaumu sana na tulipiga kelele nyingi kuhusu suala la kupanda bei ya mafuta ya kula, enzi hizo mafuta, Lita ilikuwa ikiuzwa Tsh 3200 had I 3500, tulimuona ni mtu katili sana na asiye faa kabisa, na tulianza kuona ni aheri aondoke ili aje mwingine.

Leo hii mbona suala la bidhaaa, mama yangu, ndio Kwanzaa hata haijulikani ni Nani ataweza kuyamuda maisha ikiwa hali itaendelea kuwa hivi, Je, twaweza kumuomba msamaha huyu mwamba kwa tulivyomsema kwa ubaya na kumbe mambo magumu yalikuwa hatua chache tuu baada ya yeye kuondoka?

Ni jambo lipi la auheni ya kimaisha ambalo yeye Magufuli alipoondoka sisi kama wananchi tunanufaika nalo?

Si umeme, si fedha mitaani, si elimu ya msingi na secondary, si bidhaa na nafaka, vyote vimekuwa ni mateso kwa wananchi.

Jua nalo ndo linahasira na vimazao vinvyoota mashambani.

Hii hali inaanzia wapi, Je, tunadeni kwa aliyeondoka?
Jibu sahihi ni mfano wa Libya na Iraq....wazungu waliwaua viongozi wa hizo nchi bila sababu yeyote zaidi ya kutaka kuwaibia mafuta kitu ambacho wanakifanya toka wawaue hao marais wa hizo nchi tajwa. Matokeo yake sasa, hizo nchi hazitawaliki tena baada ya kuuliwa hao viongozi. CCM wamemuua Magufuli wakishirikiana na mataifa ya nje ili wale wanaolifilisi hili taifa waendelee kufanya yao. Ona sasa, mjadala wa bandari ya hasara (Bagamoyo) umerudi upya, panya road ndiyo hao wanababaisha wanaume wa Dar, wazee wa makontena ya China wamerudi kwa kasi, wafanyakazi serikalini wamerudia dharau zao na hawafanyi kazi, hii yote ni laana ya Magufuli na hii nchi inaashiria kutotawalika - na ndiyo maana Mama anashindwa kutawala, anabwabwaja tu.
 
Back
Top Bottom