Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuSijasikia hilo, labda wanaweza kututangazia siku za usoni
Kama ni hivi hata wanaopata emergency hawapigi yaani.Nachojua mm kwa chaguzi za nyuma tulikuwa tunaruhusiwa kupiga popote ila mwaka huu nilisikia star tv Kuna mTU wA NEC ANASEMA Unatakiwa kupiga pale kituon ambapo Kuna taarifa zako
Hivyo ndivyo walivyo sema binafsi nitalazimika kusafiri kwenda kufanyiza.Nachojua mm kwa chaguzi za nyuma tulikuwa tunaruhusiwa kupiga popote ila mwaka huu nilisikia star tv Kuna mTU wA NEC ANASEMA Unatakiwa kupiga pale kituon ambapo Kuna taarifa zako
Chunga sana unaowapigania wala hawako mtumbi mmoja na wewe mambo yakienda mrama jamaa watavaa life jackets zao wewe wanakuacha unazama peke yako. Endelea lkn manake ni haki yako kikatiba lkn chunga sana si kila unaesafiri naye ana lengo sawa na wewe.Hivyo ndivyo walivyo sema binafsi nitalazimika kusafiri kwenda kufanyiza.
Halafu sijui mbuzi gani anapanga wizi. Ohoo! Wengine Buriani tayari hadi JF. Tusitafutane ubaya!
Hairuhusiwi kabisa, kwani unaweza kupiga kura zaidi ya mara moja kwa vituo tofauti. Mawakala wanaosimamia nje ya vituo vyao ili waweze kuwapige kura ni budi wajaze fomu maalumu ya kupiga kura ndani ya jimbo lao lakini kituo anachosimamia kura na wanapiga kura kwa wagombea wote.Habari wakuu,
Nauliza kama ulijiandikisha mkoa flan labda Dar , Muda wa uchaguzi ukakukuta na majukum mengine labda Dodoma.
Unaruhusiwa kupiga Kura ya uraisi au mpaka uende kituo ulichojiandikisha.
Asanteni.
Huruhusiwi kabisa lazima upige pale ulipojiandikisha tu sababu jina lako lazima liwemo kwenye daftari la wapiga kura wa eneo unalopigia kuraKura ya urais unapigia sehem yyt tanzania
Usidanganye watu mkuuKura ya urais unapigia sehem yyt tanzania
Ndivo ilikuaga kwa urais huko nyuma, ila mwaka huu naskia siyo..Kura ya urais unapigia sehem yyt tanzania
Kitu hii ilianza baada ya kuona upepo wa lowasa,wakasema kila mtu apige kituo alichojiandikisha na nakumbuka kipindi kile wanachuo wengi walikua mbali na maeneo waliojiandikish,serikali ikatoa mwongozo wa tarehe ya kufungua vyuo kuwa baada ya uchuguzi mkuu tofauti na ratiba ya mwanzo,chuo ambacho kilifunguliwa kadri ya ratiba yake na kuikataa ile ya serikali ulikua ni SAUT tuNachojua mm kwa chaguzi za nyuma tulikuwa tunaruhusiwa kupiga popote ila mwaka huu nilisikia star tv Kuna mTU wA NEC ANASEMA Unatakiwa kupiga pale kituon ambapo Kuna taarifa zako
Yaani iko hivi "si haki kivile kila mtu kupiga kura au kupigiwa kura!!" Nimejikuta nawaza hivyo eti!!Kama ni hivi hata wanaopata emergency hawapigi yaani.
Tume ya uchaguz INA uwezo Wa kuaccess taarifa za mpiga kura sehem yoyote ile atakayokuwepo kupitia system yao..kwann wasingefanya ivo ili kuruhusu mpiga kura kupiga kura popote..yan unaenda na kadi wanaangalia kama umejiandikisha halaf wanaweka alam maalum kwenye system yao kuonyesha kwamba mpiga kura X tayar ameshapiga kura kwenye kituo Y kuliko kutegemea haya makaratasi wanayobandika kwenye vituoHuruhusiwi kabisa lazima upige pale ulipojiandikisha tu sababu jina lako lazima liwemo kwenye daftari la wapiga kura wa eneo unalopigia kura
Hiyo inahitaji computerized system nchi nzima mijini na vijijini vituo vyote vya kura na upigaji kura wa kutumia computer ambapo unapiga kidigitali sio manual mchi chache sana zilizoendelea ndizo zimefikia hicho kiwangoTume ya uchaguz INA uwezo Wa kuaccess taarifa za mpiga kura sehem yoyote ile atakayokuwepo kupitia system yao..kwann wasingefanya ivo ili kuruhusu mpiga kura kupiga kura popote..yan unaenda na kadi wanaangalia kama umejiandikisha halaf wanaweka alam maalum kwenye system yao kuonyesha kwamba mpiga kura X tayar ameshapiga kura kwenye kituo Y kuliko kutegemea haya makaratasi wanayobandika kwenye vituo