Uchaguzi 2020 Je, tunaruhusiwa kupiga kura ya Rais kwa tulio mbali na Vituo tulivyojiandikishia?

AirSongwe

Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
72
Reaction score
90
Habari wakuu,

Nauliza kama ulijiandikisha mkoa flan labda Dar , Muda wa uchaguzi ukakukuta na majukum mengine labda Dodoma.

Unaruhusiwa kupiga Kura ya uraisi au mpaka uende kituo ulichojiandikisha.

Asanteni.
 
Sijasikia hilo, labda wanaweza kututangazia siku za usoni
 
Nachojua mm kwa chaguzi za nyuma tulikuwa tunaruhusiwa kupiga popote ila mwaka huu nilisikia star tv Kuna mTU wA NEC ANASEMA Unatakiwa kupiga pale kituon ambapo Kuna taarifa zako
 
Kama ni hivi hata wanaopata emergency hawapigi yaani.
 
Nachojua mm kwa chaguzi za nyuma tulikuwa tunaruhusiwa kupiga popote ila mwaka huu nilisikia star tv Kuna mTU wA NEC ANASEMA Unatakiwa kupiga pale kituon ambapo Kuna taarifa zako
Hivyo ndivyo walivyo sema binafsi nitalazimika kusafiri kwenda kufanyiza.

Halafu sijui mbuzi gani anapanga wizi. Ohoo! Wengine Buriani tayari hadi JF. Tusitafutane ubaya!
 
Chunga sana unaowapigania wala hawako mtumbi mmoja na wewe mambo yakienda mrama jamaa watavaa life jackets zao wewe wanakuacha unazama peke yako. Endelea lkn manake ni haki yako kikatiba lkn chunga sana si kila unaesafiri naye ana lengo sawa na wewe.
 
Habari wakuu,

Nauliza kama ulijiandikisha mkoa flan labda Dar , Muda wa uchaguzi ukakukuta na majukum mengine labda Dodoma.

Unaruhusiwa kupiga Kura ya uraisi au mpaka uende kituo ulichojiandikisha.

Asanteni.
Hairuhusiwi kabisa, kwani unaweza kupiga kura zaidi ya mara moja kwa vituo tofauti. Mawakala wanaosimamia nje ya vituo vyao ili waweze kuwapige kura ni budi wajaze fomu maalumu ya kupiga kura ndani ya jimbo lao lakini kituo anachosimamia kura na wanapiga kura kwa wagombea wote.
 
Kura ya urais unapigia sehem yyt tanzania
Huruhusiwi kabisa lazima upige pale ulipojiandikisha tu sababu jina lako lazima liwemo kwenye daftari la wapiga kura wa eneo unalopigia kura
 
Nachojua mm kwa chaguzi za nyuma tulikuwa tunaruhusiwa kupiga popote ila mwaka huu nilisikia star tv Kuna mTU wA NEC ANASEMA Unatakiwa kupiga pale kituon ambapo Kuna taarifa zako
Kitu hii ilianza baada ya kuona upepo wa lowasa,wakasema kila mtu apige kituo alichojiandikisha na nakumbuka kipindi kile wanachuo wengi walikua mbali na maeneo waliojiandikish,serikali ikatoa mwongozo wa tarehe ya kufungua vyuo kuwa baada ya uchuguzi mkuu tofauti na ratiba ya mwanzo,chuo ambacho kilifunguliwa kadri ya ratiba yake na kuikataa ile ya serikali ulikua ni SAUT tu
 
Huruhusiwi kabisa lazima upige pale ulipojiandikisha tu sababu jina lako lazima liwemo kwenye daftari la wapiga kura wa eneo unalopigia kura
Tume ya uchaguz INA uwezo Wa kuaccess taarifa za mpiga kura sehem yoyote ile atakayokuwepo kupitia system yao..kwann wasingefanya ivo ili kuruhusu mpiga kura kupiga kura popote..yan unaenda na kadi wanaangalia kama umejiandikisha halaf wanaweka alam maalum kwenye system yao kuonyesha kwamba mpiga kura X tayar ameshapiga kura kwenye kituo Y kuliko kutegemea haya makaratasi wanayobandika kwenye vituo
 
Hiyo inahitaji computerized system nchi nzima mijini na vijijini vituo vyote vya kura na upigaji kura wa kutumia computer ambapo unapiga kidigitali sio manual mchi chache sana zilizoendelea ndizo zimefikia hicho kiwango
 
Huruhusiwi...

Unachoruhusiwa ni kupiga kura kwa kutumia leseni ya kuendeshea au Kitambulisho cha taifa endapo utakua huna cha kupigia kura na ulijiandikisha kwenye daftari la kudumu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom