Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

Uingereza wageni wanamiliki nyumba nyingi kuliko wenyeji,London central nyumba nyingi za waislam,acha wachukie,wao walikuja huku wakapora Mali,kututumikisha,kutuvalisha sketi na blauzi,kutulisha mkate na siagi,kutuhubiria Mungu aliyeshuka asulubiwe ili kutuokoa,zamu yao,watulie
 
Ninashauli waarabu wote warudi kwenye inch zao hii itakomesha hizi chuki zote.
Haiwezekani kwa sababu mzungu ndio anayeharibu nchi zao na anawajibika kukaa nao labda kama huna elimu ya kutosha kujua chanzo cha migogoro nchini mwao
Unakumbuka libya ilikuwa na hali gani ya maisha kabla marekani hajaiharibu?
Leo marekani na magharibi wanavyoiharibu palestina wana wajibu wa kuhakikisha wapalestina wanakaa sehemu salama hata huta kuwaokea nchini kwao
Ndio maana leo australia imetangaza kuwapa special visa status wapalestina wote austarlia
Hqo waarabu watakaa nao sana na watazidi kuingia ulaya kwa sababu kwa hali inavyoendelea nchi za magharibi zinaendelea kuleta chokochoko na machafuko middle east , hadi leo iraq imekuwa tawi la magharibi badala ya saddam kutolewa kwa hila
 

Attachments

  • Screenshot_20240804-093016_Chrome.jpg
    536.6 KB · Views: 2
Kurudishwa haitowezekana kwakuwa upo shallow minded unaweka hisia zako za kidini
As long as magharibi wanaendekea kuichafua na kuataka kuinfluence serikali za middle east , wana wajibu wa kuwapokea wahanga wote wa nchi walizoziharibu
Ndio maana hata ile rwanda bill ikafutiliwa mbali, leo syria imekuwa kama mali ya marekani na washirika wake, achilia mbali libya, iraq ,yemen na afghanistan
LEo tu serikali ya australia imefungua milango kwa wapalestina wote wanaotaka kwenda kuishi australia
 

Attachments

  • Screenshot_20240804-093016_Chrome.jpg
    536.6 KB · Views: 2
Kwenye kundi la watu wengi lazima kutakuwa na wakorofi, ofcourse sio sawa kushurutisha mtu afuate tamaduni zako especially unapokuwa nchini kwake thats very wrong
Ila serikali ya kizayuni inatumia hela nyingi sana kuanzisha islamophobia duniani kote
Sitoshangaa kama wapo behind this movement
waarabu wamekuwa wakiishi canada ,marekani na ulaya kwa miaka mingi na hakukuwa na shida yoyote why now
 
Mh takwimu zako sio sahihi tunawajua kina noel, lile bonge lililosema lina ukimwi, na yule mchaga kajibadilisha hadi jinsia
Na hapa pastor addo november kapigilia msumari
 

Attachments

  • Screenshot_20240609-041940_Instagram.jpg
    281.8 KB · Views: 2
Hayo ni mawazo yako kimtazamo.Kwa hiyo ukichacamaza hadi kope ndiyo dini yako inakua sawasawa?Nonsense!Dini ni kama kutongoza.Inahitaji mvuto.
KUna kitu kinaitwa principles i think hiki kipo hata kwenye familia yako, kipo kwenye serikali, kipo kila sehemu ulimwenguni wanyama wanacho , wadudu wanacho , ndege wanacho n.k basi hata kwenye dini nayo ndiyo hivyo hivyo aliyetuumba (Allah(the creator of all)) ndiye anayetujua zaidi na ndivyo alivyoamua tufuate principles zipi na hatuna cha kupinga maana yeye anajua zaidi.

Unapokuja tu kubadili mifumo ya dini na sheria zake ili kuvutia watu ndipo hapo dini inapoanza kuingiliwa na kila kitu mwisho wa siku inapoteza mvuto na watu wanaanza kuihama cheki pew research ya 2022 going by the title " The decline of christianity in western world " utaona sababu walizoziweka ni dini kupoteza mvuto, sasa kama ndoa za mashoga zinaruhusiwa kuna utofauti gani kati ya atheism na chriatianity? Know that People judge everything .

Kingine dini inatakiwa ifundishe moral values and principles ili kuweka utofauti baina ya wenye dini na ambao hawana dini , sasa ukianza kuondoa au kulegeza baadhi ya sheria ili kuweza ku fit kundi fulani la watu ili "UWAVUTIE" kwako ndipo hapo unapoanza kupotea na kupoteza watu nimalizie kwa quote hii hapa.

"A man who stands for nothing , will fall for anything" - malcom x
 
Kuna uamshio mkubwa sana unakuja duniani kote hilo lidini la kishetani lililoanza kuota mizizi ulaya linaenda kupoteza nguvu, watu wengi sana wataokolewa na Yesu.
Yesu yupi yule aloshindwa kujiokoa mwenyewe mpaka akagongwa na misumari ya inchi sita
Yesu kwanza alitakiwa kujiokoa mwenyewe kabla yakuokoa na wenzake
Sande skuli zimewalisha sana matango pori
 
Kwa akili za kawaida una ona ni sawa ..
 
Yesu yupi yule aloshindwa kujiokoa mwenyewe mpaka akagongwa na misumari ya inchi sita
Yesu kwanza alitakiwa kujiokoa mwenyewe kabla yakuokoa na wenzake
Sande skuli zimewalisha sana matango pori
Pole mtoa utamu, Yesu alikufa alifufuka ili akuokoe uache kutoa utamu. ntume mudi alikufa yupo kuzimu anatumikishwa na allah yaani shetani. Elevuka ewe maamuma.
 
nchi za kiislamu ni nying sana duniani, kwanini waislamu wasihamie kwenye nchi za kiislamu? Kibaya zaidi wanaenda nchi za watu wanataka dini yao ifunike/ifuatwe hata wasiokuwa wa dini yao. Wanataka ku-impose sharia kwenye nchi za watu. watawale
 
Huwezi kwenda Saudi Arabia Mijini ukaweka Meza na kuanza kugawa Bibilia hairuhusiwi na ni kosa kubwa unahukumiwa KIFO.

Tolerance iko wapi? lakini US na UK na Western Countries zinaruhusu kuweka Meza kupanga Quruani na hata kuchoma Bendera za US na kupandisha Bendera ya Hamas.

hakuna Dini ina Haki kuliko Dini nyingine.
 
Mh takwimu zako sio sahihi tunawajua kina noel, lile bonge lililosema lina ukimwi, na yule mchaga kajibadilisha hadi jinsia
Na hapa pastor addo november kapigilia msumari
Takwimu zinaonesha wimbi la mashoga wengi ni zanzibar, tanga ,pwani sasa hao unao okota okota bado hawajawa wimbi kubwa
 
Takwimu zinaonesha wimbi la mashoga wengi ni zanzibar, tanga ,pwani sasa hao unao okota okota bado hawajawa wimbi kubwa
Mashoga yamejazana mpaka nyumba zao za ibada na sasa wana kiongozi mmoja hivi msagaji linasaga tu muslims wenzake, walikuwa na likiongozi fulani hivi la dini yao hiyo ya kishetani alikuwa akiishi na kijana wakifanya mauchafu yao. Kuna yule sheikh mkuu wa mkoa fulan hivi ni shoga akiliwa na baba wa mfanyabiashara mmoja hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…