Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

Sema hawa wavaa kubanzi ni washenzi na wafedhuli sana
We fikiria jinsi ilivyo kuwa ngumu kuishi kwenye nchi zao ukiwa ni mtu wa dini nyingine lakini wao wakija kwako wanataka wajitawale mpaka wakutawale na wewe.
Hii dini imekaa ni kama baada ya mungu kuanzisha Christian shetani akachomekea chama chake Muslim kushindana na muweza...
 
nchi gan waliharibu ? muwe mnatumia akili asee , mpigane wenyewe kisha mumlaumu anaeuza silaha
 
achen kelele hata China ilitawaliwa ila tamaduni zao bado zipo , bado mzigo wa lawama unabakia kwenu , mliuzana watumwa kisa mpate nguo na vioo , msharikiana na wageni ( waarab , wahindi , wazungu na waasia wa mbali ) dhidi ya jamii zenu za afrika kisa mlitaka muonekane bora ziad ya waafrika wenzenu mkaishia kusaini miakataba iliyoiuza Afrika , mliweka mbele ukabila , uroho wa madaraka , ubinafsi , mkapiga vita uwelevu na kutaka ujinga utawale kwenye jamii zenu ili muendelee kuibia Afrika kwa kushirikiana na wageni


KIUFUPI KILA TULILOPITIA EITHER SISI AU ASIA UNUE MAKOSA NI YETU WENYEWE NA SIO WAZUNGU
 
soma uliyoyaandika hayaleti picha , mliwakaribisha na mkashirikiana dhidi ya waafrika wenzenu ( collaborators ) leo tunamuona Sa100 anarudisha njia zile zile na hastuki yeye anajali kubakia madarakani tu ila athari zake zitakuja miaka 20 mpk 50 mbele

halaf baadae mtataka tuwalaumu waarabu kwa uzembe wa viongoz wetu
 
kesi za ulawiti na ushoga ni vitu viwili tofauti , nmeishi Zenj nmeona ushoga ni jambo la kawaida sana , ukiweka laki unamfir@ m
yeyote Zenj
Kesi ni kiashiria kizuri kwamba kitendo hicho kinafanyika sehemu husika otherwise tutakuwa tunaongelea porojo tu ,numbers dont lie
 
nchi gan waliharibu ? muwe mnatumia akili asee , mpigane wenyewe kisha mumlaumu anaeuza silaha
Wala halaumiwi anaeuza silaha silaha kuuza kawaida
Wamevamia afghanistan wamevamia iraq wamevamia libya wakavamia syria
Wakae wawe wapole waarabu na wengine wanao sanaa
 
Imagine
Kwao sharia imewashinda ,wanataka kulazimisha kwingine,siwaelewi kabisa
Washenzi kweli Wala sio uongo
 
Mkuu; Hutokaa kamwe uweze kuupima upendo wa Mungu kwa vipimo (yard stick au Scales) za kibinadamu. Never - Ever. Mbona unahesabu ndoa za jinsia moja kana kwamba ndo kosa/dhambi kuuubwa sana na unasahau yapo maovu mtambuka e.g. wanaoteka watoto, "wanaopoteza" watu, wanaodhulumu mali za wenzao, wanaoanzisha vita n.k.n.k.
Ukristo ni zaidi ya unavyoufikiria/uchukulia eti uwe na mipaka(Limitations) na kwamba unanyumbulika kama maji huchukua umbile la chombo yalimowekwa.
Hapana. Ukristo unajieleza na kujipambanua wenyewe zaidi kwa matendo ya mtu mhusika. Ukristo unadai Upendo. Anyway, sifanyi kazi ya kuhubiri hapa.
 
China haitaki kabisa kuskia huu ujinga wa waislam
Yeah! China wamefaulu sana "kuwa-contain" hao jamaa hata majengo ya misikiti imebomolewa na misikiti inayojengwa ni lazima ijengwe kwa kuzingatia Tamaduni za Kichina -hakuna vinara na loudspeakers wala adhana. Kama hutaki hivyo; nenda katafute mahali pengine sio China.
 
"IF you don't stand for something, then you will fall for anything "-malcom x

Dini lazima iwe na principles thats why kunakuwa na utofauti baina ya dini na dini. Kama dini inakosa moral autonomy hiyo haina tofauti na uatheism(wakanaMungu) maana wao wanafuata kile wanachokiona na kinachowapa furaha .
 
Mkuu; Narudia tena kusema na nakuomba usikie " Hakutokaa kuwe na kipimo miongoni mwa vipimo vya kibinadamu vinavyopatikana hapa ulimwenguni, kitakachoweza kuipima Hekima ya Mungu na Upendo wake hata siku moja"
Je, Mungu ana dini gani???
 
Uislam huku hautakiwi nami naunga mkono kabisa
 
Uislam huku hautakiwi nami naunga mkono kabisa
Wapo Waislam wastaarabu, wametulia na wanafanya shughuli zao na hawana rabsha kwa watu majirani wanaoishi pamoja nao. LAKINI, LAKINI hawa kobaaz type kha! Always these are trouble makers, Disturbance instigators and what have u.
 
Mkuu; Narudia tena kusema na nakuomba usikie " Hakutokaa kuwe na kipimo miongoni mwa vipimo vya kibinadamu vinavyopatikana hapa ulimwenguni, kitakachoweza kuipima Hekima ya Mungu na Upendo wake hata siku moja"
Je, Mungu ana dini gani???
Rhetorically Dini ni nini?
 
Uislam huku hautakiwi nami naunga mkono kabisa
... na wewe hautakiwi huko, ... ni suala la muda tu!
Mfumko wa ummati(population) Duniani, na mdororo wa Uchumi au kufeli kwa Uchumi wa kibepali kwa ujumla wake, TUTASHUHUDIA MAUMIVU MAKALI DUNIA NZIMA! ... labda kwa kulijua hilo binaadam wataweza kulitafutia ufumbuzi, VINGINEVYO ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…