Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

Kesi ni kiashiria kizuri kwamba kitendo hicho kinafanyika sehemu husika otherwise tutakuwa tunaongelea porojo tu ,numbers dont lie
sehemu zeny ushoga hakuna kesi za kulawitiana maana watu wa jinsia hiyo wapo , huko Arusha ni ulevi , madawa na ugumu wa maisha kumudu kupata mwanamke , ila Zenji ukiwa hata na elf 50 ukasema unahitaj kitundu ni chap tu
 
Katika siku mbili hizi tumeshuhudia waingereza waliochoshwa na vitendo vya wahamiaji hasa hasa wale wa kiislam, kujichukulia sheria mkononi na kushambulia maeneo ya waislam.

mfano walianzisha moto msikitini na kule Belfast Northern Ireland tumeshudia waprotestant na wakatoliki kuweka tofauti zao kando kwa lengo la kupinga wahamiaji waliokithiri.

Je ndiyo mwanzo wa zile vurugu za Dini, ambazo biblia ktk ufunuo ilitabiri zitapelekea Serikali za Dinia kuungana pamoja kupiga Marufuku Dini? Nini nafasi ya Serikali ya Kidini ya Iran inayoongozwa na Supreme leader Ayatollah Ali Khamenei? Je itabidi ili unabii huu utimie Serikali hiyo iondolewe madarakani kupisha Serikali itakayo endana na Matakwa ya Dunia ya kupiga Dini marufuku?

View: https://x.com/RadioGenoa/status/1819833687745396839

Megatron, [8/3/24, 7:08 PM]
[🎥 BREAKING:

🇬🇧 Mass and violent protests erupted across Britain after Axel Rudakubana, originally from Rwanda, but born in Britain, stabbed and injured several children in Southport.

The situation was used by Israeli-supported accounts and media on social networks and turned the protests into anti-Islamic and pro-Islamic despite the fact that Rwanda is a Christian country and the attacker did not practice Islam.

Several mutual conflicts also broke out between the two groups that resulted in serious injuries.

Zionism is a dangerous thing and can very easily plunge your country into a civil war.

@Megtron_ron]
BREAKING:

@Megtron_ron
 
Attachments

  • 20240805_045801.jpg
    20240805_045801.jpg
    67 KB · Views: 1
Nilishalisoma kitambo labda kama kuna jipya TLDR: aliuwawa kwa sababu alichora caricature ya prophet muhammad (peace be upon him) anything new?
Ulifuatilia sakata hilo mwanzo mwisho,?au ulikuwa hujazaliwa?
 
sehemu zeny ushoga hakuna kesi za kulawitiana maana watu wa jinsia hiyo wapo , huko Arusha ni ulevi , madawa na ugumu wa maisha kumudu kupata mwanamke , ila Zenji ukiwa hata na elf 50 ukasema unahitaj kitundu ni chap tu
case zikiwa nyingi eneo fulani maana yake tukio husika linapendwa kufanyika eneo hilo
 
Hawa ni mafisi wa kutupwa, walielekezwa maeneo ya chocho wanakimbiana, hata siku moja hawaendi mitaa ya wageni wanajua hawatatoka wazima
Sasa wanapigana wao kwa wao wale mrengo wa kulia na wasiounga mkono ubaguzi wa rangi
Sisi tunaangalia tu
 
Hawa wazungu njaa sio wa kuwakalia kimya
Sasa wote wamekimbia miji baada ya wazee wa kazi kutia timu

View: https://www.youtube.com/watch?v=UNKH0Po1AUQ

View: https://www.youtube.com/watch?v=JkfASM9fs50

Halafu wote wanabeba vyuma hakuna legelege
Niko nao kila leo wanapenda mazoezi sana
Nchi hizi lazima uwe mkakamavu na usioogopa kuonewa maana hawa jamaa wanaweza kukuchokoza hata wakikuomba sigara ukasema sivuti anakutukana wakiwa wengi
Wapo wazungu washari ila ni wachache sana

Ni hawa wabaguzi
Bora kwetu matusi ya mitandaoni tu 😄 🤣
 
Ndio maana hua sipepesi macho kusema wakristo wengi kama sio wote hawana akili vilaza
Inajulikana sababu ya waarabu kuhama makwao ninini ila makafiri wanajifanya kama hawaoni ila wanaona sema chuki tu
Wakati wanavamia nakuharibu mataifa yawatu wazungu makafiri wote waliunga mkono bila kuangalia mbele kunanini leo wanalalama lalama kama hawajui sababu kumbe wanazijua
Narudia tena waarabu wanatakiwa wakae au wamininike ulaya kwa wingi sanaaa
Nawasilolijua wazungu na wakristo wa jf wenye chuki na waarabu na waislamu nikwamba kuwafukuza waarabu na waislamu ulaya kwasasa haiwezekani tena wakae tu kwakutulia maana waliyataka
Waislamu ulaya hawatakiwai,hasa wale magaidi kama wewe,ukristo unafundisha upendo ndio mana walilwakaribisha hao waisharamu,no vile dini ya shetani ala imejaa chuki ndio mana sasa uvumilivu umewashinda wazungu hawawataki tena ulaya wajaalaana waisharamu.
 
Siwachukii waarabu au uislam ila Kuna baadhi ya vitu na wao wanatakiwa wawe wanaangalia msipende Kiki alafu wenye nchi Yao wakikasirika mnaanza kudai ni ubaguzi
Hapana miezi Kazaa nyuma hapo Montreal canada walienda kusali barabarani sehemu ambayo magari na watu wengi wanapita wanaenda kusali walivyoanza wenye nchi kuongea mengi wakaanza kudai kuwa wanabaguliwa
Toronto wameshageuza kuwa Yao kukosoa watu na Mila zao kuswali sehemu zozote bila kujali wengine
 
To late! Nchi za Ulaya zilimwacha Mungu zikaamua kukumbatia ushenzi sasa ndiyo zinaanza kuhaha!
 
Back
Top Bottom