View: https://m.youtube.com/watch?v=wO2lWmgEK1Y&pp=ygUVdGhlIGVjb25vbWlzdCBicmV4aXQg
Ungekuwa unajua kiasi gani biashara zinalalamika na kujutia Brexit usingesema hiyo.
People are sentimental and gullible to politicians misleading national interests. Wafanyabiashara wengi leo ambao trade zao zilikuwa continental wanajuta.
Kuhusu fursa za nchi hiyo nchi wenyeji maskini ni culture kufuata career za wazazi wao. Mimi leo chuo changu as an alumni kila siku kinanitumia e-Mail nikasome masters ambayo ada yake nj kama £12000. But wao watanipa 20% discount, bodi ya elimu itanilipia £7.000, nitapewa hela ya kujikimu elfu £7000 na naweza fanya course online (maana yake naweza fanya kazi full time) ni mitihani tu lazima niende kufanya university.
Lengo ni kukuza professional sehemu nilipo. Hizo fursa ilikuwa kwa wazungu wenyewe hawachsngamkii na eneo linahitaji professional preferred mzungu if not anyone ndio msingi wa kutoa hizo incentives.
Wenyewe wanawaza wakimaliza O’level kujifunza brick laying which pays welll but who is to do the proffesional jobs. Siada za uingereza wazimu, hao wananchi wanaolalamika wengi ni matahira wasio elewa fursa wanazopewa na kutozitumia. Halafu wakitoka hapo wanalalamika.