Je Tunashuhudia Uangamizo wa Western Civilization?

Je Tunashuhudia Uangamizo wa Western Civilization?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo.

Siku za karibuni kabisa matukio makubwa yamekuwa Maandamano ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kule Marekani na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Uingereza ambapo Waislam wakiongozwa na Meya wa London (Sadiq Khan) wameshinda viti vya Umeya vya Miji Saba: London, Birmingham, Leeds, Blackburn, Sheffield, Oxford, Luton, Wouldham na Rochdale.

Ktk mitikisiko yote hii kinachowaumiza vichwa wafuatiliaji wa masuala ya Kisiasa ni kuwa ushawishi wa uislam siyo tu umeathiri wahamiaji wa asili ya nchi za kiislam (toka mashariki ya kati, Asia na Afrika) bali pia wazungu wenye mrengo wa kisoshalisti na kiliberali.

Ktika vurugu hizo waandamanaji wanaimba death to Israel, America na kuchoma bendera za Israel America na UK. Kule America tumeshuhudia Vijana wakipigishwa Sala za Kiislam na wao wakishiriki na kuonama kushujudu.

Aidha, kotekote katika nchi hizo pamoja na nchi Washirika wao (Ujerumani, Canada, France Australia)tumesikia Waislam wakiwapigisha waandamanaji ile swala inayoashiria kufanyika kwa tukio baya ya ALLAHU AKBARU!! na pia mfano kufuatia Ushindi wa Mameya nchini Uingereza tumesikia Waislam wakijitapa kuwa sasa wanaona njia iko nyeupe ya kuanza kutekeleza SHARIA LAW.

Je matukio yote haya ni kwa bahati mbaya tu?? LAHASHA. Yote haya yanatokana na Mipango ya Siri ya MUSLIM BROTHERHOOD (MB)Taasisi hii ya SIRI inayojificha ndani ya Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii na Taasisi za Kielimu ilianzishwa 1928 na Mmisri anaitwa Hassan Al Banna. Baada ya kupata kibano cha Rais Abdel Nasser, taasisi hii walikimbilia mafichoni Saudia.

Mwanzoni mwa 1960s dunia ilishuhudia kuibuka kwa Wahhabi kule Saudi ambao wakawa na Agenda moja na MB ya islimization of the world community. Kwenye miaka 60 waislam wakaanza kuhamia marekani na nchi nyingine za ulaya magharibi kwa wingi. MB wakatumia nafasi hiyo kuhakikisha wana recruit wafuasi wa kufanya DAWA na pia kuanzisha Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii

TAASISI KAMA:
1. Muslim World League Taasisi mama kule Mecca
2. Muslim Students Association- US
3. Council on American Islamic Relations- CAIR
4. Muslim Legal Fund of Amarica
5. Islamic Society of North America ISNA

Dunia imeshuhudia ufanyaji wa DAWA nchini marekani na hasa pale Speakers Corner Uingereza. Siku za Karibuni wakiristo wakasituka na wao wakaanza ku counter mafundisho hayo ya waislam ( pale speakers corner, kule Balboa Park USA

Licha ya Jitihada zote hizi za Wakristo ku counter MB influence, matukio haya ya karibuni yanaweza kumfadhaisha sana Mkirito wa nchi hizo na hata kuingine Duniani; mkiristo anaweza sema duuu inaonekana Islimization cannot be stopped, just as themselves muslims brag.

NATAKA NIWAKUMBUSHE KITU KIMOJA
Ktk 2 Mambo ya Nyakati 20:15 “Akasema: “Sikilizeni kwa makini, enyi watu wote wa Yuda nanyi wakaaji wa Yerusalemu na Mfalme Yehoshafati! Yehova anawaambia hivi: ‘Msiogope wala msihofu kwa sababu ya umati huu mkubwa, KWA MAANA VITA SI VYENU, BALI NI VYA MUNGU”

Haya tunayoyaona inazidi thibitisha kuwa yule Mungu wao, ALLAH anahasira za mwisho mwisho akijua wakati wake wa kuangamizwa upo karibu sana Revelation 12:9-12. Tukiwa tunakaribia zaidi ule mwaka wa 2000 ( yaani 2029) tangu Yesu abatizwe na kutambulika Rasmi kama Messiah tutashuhudia mambo mengi zaidi. Lakini Muwe na Imani yenye Nguvu.

Mnamkumbuka Mohamed Morsi? Yule Rais wa kwanza kabisa wa Chama Mshirika wa Muslim Brotherhood kule Misri? Dunia yote na Israel ilizizima alipoingia Madarakani. Yule angeendelea leo hii sijui Israel ingekuwa inazungumza Lugha GANI. Lakini MUNGU WA KWELI kama alivyosema ktk 2Ch. 20:15 vita siyo vyenu ni vyake. Alimnyanyua mmoja miongoni mwao kusitisha Mipango ya Hila ya Muslim Brotherhood.

Pia je mlipata kujua kuwa Marekani na Uingereza licha ya Umwamba wao wote hawaja iweka MB kama moja ya Terrorist Organization?!!

Badala yake MUSLIM BROTHERHOOD IT HAS BEEN DECLEARED AS A TERTORIST ORGANIZATION BY
1. Saudi Arabia
2. Egypt
3. UAE-Dubai
4. Russia

Mataifa yanayo sponsor MB kwa sasa ni:
1. Qatar
2. Iran
3. Turkey

Pamoja na bandiko hili nawawekea tweet za kuonyesha waislam wanavyotikisha western civilization
 
Marekani ingekuwa strong sana zaidi kama wangeendelea kudili na mambo yao ya ndani, kinacgoenda kuwaangusha kuingilia mtaifa mengine makubwa dunian.

Miaka ya karibuni imewekeza na kuuza silaha zaidi kuliko teknolojia, ona sasa japan wapo 6G kweny internet tena wanatumia ila wao wanasumbua na Houth kule habari nyekundu.

Kukaa kimya sio ujinga japan na china wanakimbiza mwizi taratibu, wao wako busy kuchochea vita kweny nchi za watu.
 
Nitaacha kuiamini biblia endapo islam isipotawala Dunia though that time i will be gone.
Islam ni unstoppable jiunge nao ama utulie na pop corn zako uku ukifanya mambo yakupasayo kufanya kama mkristo.
 
Indeed things are changing, Islam is not a strange and scary thing anymore in the west.

1. Christianity has lost the influence among young individuals on the West

2. The raise of social media has made the access of information more easier and people becomes immune to propaganda.

3. Israel has lost the influence

To me I this this is the convergence of the culture, if you look on Arab world you will note the same this happening now, Saudi Arabia embrace more modern and western life style.

It is fine to say “ it happen everywhere”

Shining Light
 
Je watadhibitika au watainuka ili watimize unabii kuwa watakuwa wengi duniani kama nzige? Sasa kama wataiteka dunia, itabidi dunia irudi nyuma karne nyingi kutokana na watu hao kutokuwa na akili za kuindeleza dunia. Dunia itakumbwa na giza nene na yule mtawala muovu ndiye atatawala dunia na atawatesa sana hawa wanaomuandalia mazingira ya kutawala
 
Labda america na ulayo yote iwe ya kiislam, yaani wazungu wote na uzungu wao wawe waislam typically ndio dunia nzima uislam utatamalaki. Hapa kanisa litakuwa halipo duniani, lishanyakuliwa, itakuwa giza totoro hakuna injili itakayohubiriwa kwa kila kiumbe, itakuwa ni zama za mpinga kristo na mifumo yake kutawala dunia. Na hawa wanaomuandalia mazingira ya kutawala dunia itafika muda atawatesa sana. Unabii unatimia wa nyakati za mwisho wa dunia kuibuka kwa yule mnyama aliyetabiriwa kwenye vitabu vya danieli na ufunuo
 
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo. Siku za karibuni kabisa matukio makubwa yamekuwa Maandamano ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kule Marekani na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Uingereza ambapo Waislam wakiongozwa na Meya wa London (Sadiq Khan) wameshinda viti vya Umeya vya Miji Saba: London, Birmingham, Leeds, Blackburn, Sheffield, Oxford, Luton, Wouldham na Rochdale. Ktk mitikisiko yote hii kinachowaumiza vichwa wafuatiliaji wa masuala ya Kisiasa ni kuwa ushawishi wa uislam siyo tu umeathiri wahamiaji wa asili ya nchi za kiislam (toka mashariki ya kati, Asia na Afrika) bali pia wazungu wenye mrengo wa kisoshalisti na kiliberali. Ktika vurugu hizo waandamanaji wanaimba death to Israel, America na kuchoma bendera za Israel America na UK. Kule America tumeshuhudia Vijana wakipigishwa Sala za Kiislam na wao wakishiriki na kuonama kushujudu. Aidha, kotekote katika nchi hizo pamoja na nchi Washirika wao (Ujerumani, Canada, France Australia)tumesikia Waislam wakiwapigisha waandamanaji ile swala inayoashiria kufanyika kwa tukio baya ya ALLAHU AKBARU!! na pia mfano kufuatia Ushindi wa Mameya nchini Uingereza tumesikia Waislam wakijitapa kuwa sasa wanaona njia iko nyeupe ya kuanza kutekeleza SHARIA LAW.
Je matukio yote haya ni kwa bahati mbaya tu?? LAHASHA. Yote haya yanatokana na Mipango ya Siri ya MUSLIM BROTHERHOOD (MB)Taasisi hii ya SIRI inayojificha ndani ya Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii na Taasisi za Kielimu ilianzishwa 1928 na Mmisri anaitwa Hassan Al Banna. Baada ya kupata kibano cha Rais Abdel Nasser, taasisi hii walikimbilia mafichoni Saudia. Mwanzoni mwa 1960s dunia ilishuhudia kuibuka kwa Wahhabi kule Saudi ambao wakawa na Agenda moja na MB ya islimization of the world community. Kwenye miaka 60 waislam wakaanza kuhamia marekani na nchi nyingine za ulaya magharibi kwa wingi. MB wakatumia nafasi hiyo kuhakikisha wana recruit wafuasi wa kufanya DAWA na pia kuanzisha Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii
TAASISI KAMA:
1. Muslim World League Taasisi mama kule Mecca
2. Muslim Students Association- US
3. Council on American Islamic Relations- CAIR
4. Muslim Legal Fund of Amarica
5. Islamic Society of North America ISNA
Dunia imeshuhudia ufanyaji wa DAWA nchini marekani na hasa pale Speakers Corner Uingereza. Siku za Karibuni wakiristo wakasituka na wao wakaanza ku counter mafundisho hayo ya waislam ( pale speakers corner, kule Balboa Park USA
Licha ya Jitihada zote hizi za Wakristo ku counter MB influence, matukio haya ya karibuni yanaweza kumfadhaisha sana Mkirito wa nchi hizo na hata kuingine Duniani; mkiristo anaweza sema duuu inaonekana Islimization cannot be stopped, just as themselves muslims brag.
NATAKA NIWAKUMBUSHE KITU KIMOJA
Ktk 2 Mambo ya Nyakati 20:15 “Akasema: “Sikilizeni kwa makini, enyi watu wote wa Yuda nanyi wakaaji wa Yerusalemu na Mfalme Yehoshafati! Yehova anawaambia hivi: ‘Msiogope wala msihofu kwa sababu ya umati huu mkubwa, KWA MAANA VITA SI VYENU, BALI NI VYA MUNGU”
Haya tunayoyaona inazidi thibitisha kuwa yule Mungu wao, ALLAH ( Shetani) anahasira za mwisho mwisho akijua wakati wake wa kuangamizwa upo karibu sana Revelation 12:9-12. Tukiwa tunakaribia zaidi ule mwaka wa 2000 ( yaani 2029) tangu Yesu abatizwe na kutambulika Rasmi kama Messiah tutashuhudia mambo mengi zaidi. Lakini Muwe na Imani yenye Nguvu. Mnamkumbuka Mohamed Morsi? Yule Rais wa kwanza kabisa wa Chama Mshirika wa Muslim Brotherhood kule Misri? Dunia yote na Israel ilizizima alipoingia Madarakani. Yule angeendelea leo hii sijui Israel ingekuwa inazungumza Lugha GANI. Lakini MUNGU WA KWELI kama alivyosema ktk 2Ch. 20:15 vita siyo vyenu ni vyake. Alimnyanyua mmoja miongoni mwao kusitisha Mipango ya Hila ya Muslim Brotherhood.
Pia je mlipata kujua kuwa Marekani na Uingereza licha ya Umwamba wao wote hawaja iweka MB kama moja ya Terrorist Organization?!!
Badala yake MUSLIM BROTHERHOOD IT HAS BEEN DECLEARED AS A TERTORIST ORGANIZATION BY
1. Saudi Arabia
2. Egypt
3. UAE-Dubai
4. Russia

Mataifa yanayo sponsor MB kwa sasa ni:
1. Qatar
2. Iran
3. Turkey

Pamoja na bandiko hili nawawekea tweet za kuonyesha waislam wanavyotikisha western civilization
 
Attachments

  • Screenshot_20240506-183936_Instagram.jpg
    Screenshot_20240506-183936_Instagram.jpg
    399.1 KB · Views: 5
Moderator Futeni Uzi huu tafadhali sana kwa sababu unatoa kashfa dhidi ya dini nyingine
moderator msifute uzi huu, bora muupeleke jukwa la intelligence, uzi murua sana huu kwa mustakabali wa dunia katika mabadiliko ya ustaarabu na tamaduni
 
moderator msifute uzi huu, bora muupeleke jukwa la intelligence, uzi murua sana huu kwa mustakabali wa dunia katika mabadiliko ya ustaarabu na tamaduni
Wamempiga ban takatifu. Hatukatai mada changamshi kama hizi, ila kutukana na kukashifu dini nyingine ni ujinga. Kwani mtu hawezi kuleta mada bila kashfa?
 
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo. Siku za karibuni kabisa matukio makubwa yamekuwa Maandamano ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kule Marekani na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Uingereza ambapo Waislam wakiongozwa na Meya wa London (Sadiq Khan) wameshinda viti vya Umeya vya Miji Saba: London, Birmingham, Leeds, Blackburn, Sheffield, Oxford, Luton, Wouldham na Rochdale. Ktk mitikisiko yote hii kinachowaumiza vichwa wafuatiliaji wa masuala ya Kisiasa ni kuwa ushawishi wa uislam siyo tu umeathiri wahamiaji wa asili ya nchi za kiislam (toka mashariki ya kati, Asia na Afrika) bali pia wazungu wenye mrengo wa kisoshalisti na kiliberali. Ktika vurugu hizo waandamanaji wanaimba death to Israel, America na kuchoma bendera za Israel America na UK. Kule America tumeshuhudia Vijana wakipigishwa Sala za Kiislam na wao wakishiriki na kuonama kushujudu. Aidha, kotekote katika nchi hizo pamoja na nchi Washirika wao (Ujerumani, Canada, France Australia)tumesikia Waislam wakiwapigisha waandamanaji ile swala inayoashiria kufanyika kwa tukio baya ya ALLAHU AKBARU!! na pia mfano kufuatia Ushindi wa Mameya nchini Uingereza tumesikia Waislam wakijitapa kuwa sasa wanaona njia iko nyeupe ya kuanza kutekeleza SHARIA LAW.
Je matukio yote haya ni kwa bahati mbaya tu?? LAHASHA. Yote haya yanatokana na Mipango ya Siri ya MUSLIM BROTHERHOOD (MB)Taasisi hii ya SIRI inayojificha ndani ya Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii na Taasisi za Kielimu ilianzishwa 1928 na Mmisri anaitwa Hassan Al Banna. Baada ya kupata kibano cha Rais Abdel Nasser, taasisi hii walikimbilia mafichoni Saudia. Mwanzoni mwa 1960s dunia ilishuhudia kuibuka kwa Wahhabi kule Saudi ambao wakawa na Agenda moja na MB ya islimization of the world community. Kwenye miaka 60 waislam wakaanza kuhamia marekani na nchi nyingine za ulaya magharibi kwa wingi. MB wakatumia nafasi hiyo kuhakikisha wana recruit wafuasi wa kufanya DAWA na pia kuanzisha Taasisi nyingi za Kiislam za kutoa Huduma kwa Jamii
TAASISI KAMA:
1. Muslim World League Taasisi mama kule Mecca
2. Muslim Students Association- US
3. Council on American Islamic Relations- CAIR
4. Muslim Legal Fund of Amarica
5. Islamic Society of North America ISNA
Dunia imeshuhudia ufanyaji wa DAWA nchini marekani na hasa pale Speakers Corner Uingereza. Siku za Karibuni wakiristo wakasituka na wao wakaanza ku counter mafundisho hayo ya waislam ( pale speakers corner, kule Balboa Park USA
Licha ya Jitihada zote hizi za Wakristo ku counter MB influence, matukio haya ya karibuni yanaweza kumfadhaisha sana Mkirito wa nchi hizo na hata kuingine Duniani; mkiristo anaweza sema duuu inaonekana Islimization cannot be stopped, just as themselves muslims brag.
NATAKA NIWAKUMBUSHE KITU KIMOJA
Ktk 2 Mambo ya Nyakati 20:15 “Akasema: “Sikilizeni kwa makini, enyi watu wote wa Yuda nanyi wakaaji wa Yerusalemu na Mfalme Yehoshafati! Yehova anawaambia hivi: ‘Msiogope wala msihofu kwa sababu ya umati huu mkubwa, KWA MAANA VITA SI VYENU, BALI NI VYA MUNGU”
Haya tunayoyaona inazidi thibitisha kuwa yule Mungu wao, ALLAH anahasira za mwisho mwisho akijua wakati wake wa kuangamizwa upo karibu sana Revelation 12:9-12. Tukiwa tunakaribia zaidi ule mwaka wa 2000 ( yaani 2029) tangu Yesu abatizwe na kutambulika Rasmi kama Messiah tutashuhudia mambo mengi zaidi. Lakini Muwe na Imani yenye Nguvu. Mnamkumbuka Mohamed Morsi? Yule Rais wa kwanza kabisa wa Chama Mshirika wa Muslim Brotherhood kule Misri? Dunia yote na Israel ilizizima alipoingia Madarakani. Yule angeendelea leo hii sijui Israel ingekuwa inazungumza Lugha GANI. Lakini MUNGU WA KWELI kama alivyosema ktk 2Ch. 20:15 vita siyo vyenu ni vyake. Alimnyanyua mmoja miongoni mwao kusitisha Mipango ya Hila ya Muslim Brotherhood.
Pia je mlipata kujua kuwa Marekani na Uingereza licha ya Umwamba wao wote hawaja iweka MB kama moja ya Terrorist Organization?!!
Badala yake MUSLIM BROTHERHOOD IT HAS BEEN DECLEARED AS A TERTORIST ORGANIZATION BY
1. Saudi Arabia
2. Egypt
3. UAE-Dubai
4. Russia

Mataifa yanayo sponsor MB kwa sasa ni:
1. Qatar
2. Iran
3. Turkey

Pamoja na bandiko hili nawawekea tweet za kuonyesha waislam wanavyotikisha western civilization
U.k ina directed elected mayors 25 nadhan. Waziri mkuu rik sunak ni mhindi bila shaka mhindu lakini hujaskis kelelevza wahindu. Kama angelikuwa islam basi story ingekuwa nyingine. Ipo siku hata US hata atatokea rais mwislam kama alivyotokea rais mwafrika kwa sababu ni mabadiliko tu
 
Wamempiga ban takatifu. Hatukatai mada changamshi kama hizi, ila kutukana na kukashifu dini nyingine ni ujinga. Kwani mtu hawezi kuleta mada bila kashfa?
kama ni kala ban basi iwe ni marufuku mada zinazohusu dini na imani kwa namna yeyote ile kuletwa humu. Mada ni nzuri inafikirisha mienendo ya dunia hii juu ya dini na imani zinazotawala dunia hii. Ndivyo ilivyo, sijui kwa nini jamaa kala ban. Hoja hupingwa kwa hoja woga wa nini?
 
Sidhani kama ulisoma vizuri, uzi wameudit mods na kuna comment wameifuta. Mada sio tatizo ndio maana haijafutwa.
Fikiria wewe unamwabudu Yesu halafu mtu aje aseme Yesu ni shetani......huku ni kukashifu. Yeye aliandika Allah ni shetani.

Nafikiri tuchunge mipaka yetu na tuwe na religous tolerance.
 
duh! Mtu kalishwa ban lakini uzi wake haujafutwa, hii kali!
 
Back
Top Bottom