Je tunaweza kuanza mchakato wa kubadili jina la taifa letu?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Naona aibu
Naona haya
Naona soni
Naona taabu
Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji

Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama hawajui hesabu si kwa ushindi ile na muda uliotumika kutangaza matokeo.. Ni kinyaa na upuuzi mkubwa!

Damu nyingi imemwagika kwenye hii ardhi kwa jina la Tanzania.. Na tupunguze athari zake kwa kulikataa hilo jina.. Limeshalaanika na kunajisiwa vibaya kabisa!

Muungano wa mizengwe! Zanzibar ipo hai na mambo yake yote! Tanganyika iko wali! Mengine yanatupata kwakuwa utambulisho wetu wa asili tumeukataa.

Tunaihitaji Tanganyika yetu.. Ndio mama asili wa hii ardhi... Anatulilia anatutaka tumrudishe atulinde tumlinde.

Atuheshimishe tumheshimishe!Atung'arishe tumng'arishe!
Atuneemeshe, atulinde atubariki!
Tanzania ni chotara wa kufikia aliyekosa mzazi wa upande mmoja na utambuzi

Tuanze mchakato sasa kabla mambo hayajawq mengi
Bring back Tanganyika!
 
naunga mkono hoja, Azania ingetufaa ndiyo jina orign la tanzania hata limo humo kwenye tanzania ...
 
Tutaiitaje
 
Strategy ya chupa mpya mvinyo wa zamani haitatusaidia. Tumalizane na wahuni kwanza.

Wahuni watatuchafulia hata hilo jina letu jipya!
 
Binafsi najiona proud zaidi kuwa raia wa Tanganyika, kuliko Tanzania. Sina mapenzi hata kidogo na nchi inayoitwa Tanzania! Hii nchi naona kama imekaa kilaghai laghai sana. Kuanzia viongozi wake! Mambo yake mengi, nk.
Jina la kitapeli sana
 
Babaake ALITEKWA mapema mwaka huu na jeshi la Polisi, mamaake amekutwa amefariki BAFUNI kwa kupigwa na risasi.

Huyu dogo na mdogo wake wa kike kwasasa ni Yatima. Watasomaje, watakula nini basi ni wao watajua bila kujali umri wao.

Hii ndio hali halisi ya familia nyingi kwasasa Tanzania. Haya ndio maumivu ambayo vijana wa taifa la kesho wanabeba vifuani mwao.

Poleni sana wa dogo zangu Mungu awe nanyie Katika kipindi hicho kigumu
1762667649096.jpg
 
Naona aibu
Naona haya
Naona soni
Naona taabu
Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji

Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama hawajui hesabu si kwa ushindi ile na muda uliotumika kutangaza matokeo.. Ni kinyaa na upuuzi mkubwa!

Damu nyingi imemwagika kwenye hii ardhi kwa jina la Tanzania.. Na tupunguze athari zake kwa kulikataa hilo jina.. Limeshalaanika na kunajisiwa vibaya kabisa!

Muungano wa mizengwe! Zanzibar ipo hai na mambo yake yote! Tanganyika iko wali! Mengine yanatupata kwakuwa utambulisho wetu wa asili tumeukataa.

Tunaihitaji Tanganyika yetu.. Ndio mama asili wa hii ardhi... Anatulilia anatutaka tumrudishe atulinde tumlinde.

Atuheshimishe tumheshimishe!Atung'arishe tumng'arishe!
Atuneemeshe, atulinde atubariki!
Tanzania ni chotara wa kufikia aliyekosa mzazi wa upande mmoja na utambuzi

Tuanze mchakato sasa kabla mambo hayajawq mengi
Bring back Tanganyika!
Wewe kumbe Pimbi!
 
Back
Top Bottom