Je, tunaweza kuishi kwa amani tukifatisha vitabu vyetu vya dini?

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2023
Posts
629
Reaction score
1,688
According to the Koran;
Koran 2;191
"Slay the unbelievers wherever you find them."

Koran 3;28
"Muslims must not take the infidels as friends."

Koran 3;85
"Any religion other than Islam is not acceptable."

Koran 5;33
"Maim and crucify the infidels if they criticize Islam."

Koran 8;12
"Terrorize and behead those who believe in scriptures other than the Koran."

Koran 8;60
"Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels."

Koran 8;65
"The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them."

Koran 9;5
"When opportunity arises kill the infidels wherever you find them."

Koran 9;30
"Destroy Jews and Christians."

Koran 9;123
"Make war on the infidels living in your neighborhood."

Koran 22;19
"Punish the unbelievers with garments of fire, hooked iron rods, boiling water, melt their skin and bellies."

Koran 47;4
"Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them."

Bible Matthew 5;43-45
“You have heard that it was said, Love your neighbor and hate your enemy. 44 But I tell you, love your enemies and pray for those who persecute you, 45 so that you may be children of your Father in heaven. For he causes his sun to rise on the evil and the good, and sends rain on the righteous and the unrighteous.

Koran inasema ulimwengu wote umeumbwa na Allah, na binadamu wote, tunaoamini na tusioamini katika uislamu wote tumeumbwa na Allah, maana yake sisi sote ni watoto wa Allah muumba wetu, sasa kwann kwa hekima ya yeye aliye juu kwa kupitia mtume asingetafuta namna au njia nyingine nzuri ya amani ya kutuvuta/kutushawishi sisi tusioamini tuingie kweny uislamu ili tumrudie yeye muweza yote, kuliko kupandikiza chuki na hasira dhidi ya sisi tusioamini, hadi ikafika hatua ya kukataza urafiki kati ya wanaoamini na wasioamini?

Kwanini mwenye hekima yote aamuru mauaji dhidi yetu tusioamini? Ina maana kwa hekima zake sisi tusioamini hatuna haki ya kuishi?

Ina maana ushawishi wake haukuwa mkubwa sana hadi afikie maamuzi ya kufyeka wasiamini kweny uso wa dunia?

Nipo hapa kuelimishwa.
 
Koran inasema ulimwengu wote umeumbwa na Allah, na binadamu wote, tunaoamini na tusioamini katika uislamu wote tumeumbwa na Allah, maana yake sisi sote ni watoto wa Allah muumba wetu, sasa kwann kwa hekima ya yeye aliye juu kwa kupitia mtume asingetafuta namna au njia nyingine nzuri ya amani ya kutuvuta/kutushawishi sisi tusiomini tuingie kweny uislamu ili tumrudie yeye muweza yote, kuliko kupandikiza chuki na hasira dhidi ya sisi tusiomini, hadi ikafika hatua ya kukataza urafiki kati ya wanaoamini na wasioamini?

Kwanini mwenye hekima yote aamuru mauaji dhidi yetu tusioamini? Ina maana kwa hekima zake sisi tusiamini hatuna haki ya kuishi?

Ina maana ushawishi wake haukuwa mkubwa sana hadi afikie maamuzi ya kufyeka wasiamini kweny uso wa dunia?

Nipo hapa kuelimishwa.
Maandiko yote ya kidini ni Stori za kutungwa na kusadikika sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela..

Dini ni utapeli na utumwa wa fikra.

Allah, Yesu, Mungu Hawapo.
 
Screenshot_20231121_112705_Quora.jpg
 
According to the Koran;
Koran 2;191
"Slay the unbelievers wherever you find them."

Koran 3;28
"Muslims must not take the infidels as friends."

Koran 3;85
"Any religion other than Islam is not acceptable."

Koran 5;33
"Maim and crucify the infidels if they criticize Islam."

Koran 8;12
"Terrorize and behead those who believe in scriptures other than the Koran."

Koran 8;60
"Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels."

Koran 8;65
"The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them."

Koran 9;5
"When opportunity arises kill the infidels wherever you find them."

Koran 9;30
"Destroy Jews and Christians."

Koran 9;123
"Make war on the infidels living in your neighborhood."

Koran 22;19
"Punish the unbelievers with garments of fire, hooked iron rods, boiling water, melt their skin and bellies."

Koran 47;4
"Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them."

Bible Matthew 5;43-45
“You have heard that it was said, Love your neighbor and hate your enemy. 44 But I tell you, love your enemies and pray for those who persecute you, 45 so that you may be children of your Father in heaven. For he causes his sun to rise on the evil and the good, and sends rain on the righteous and the unrighteous.

Koran inasema ulimwengu wote umeumbwa na Allah, na binadamu wote, tunaoamini na tusioamini katika uislamu wote tumeumbwa na Allah, maana yake sisi sote ni watoto wa Allah muumba wetu, sasa kwann kwa hekima ya yeye aliye juu kwa kupitia mtume asingetafuta namna au njia nyingine nzuri ya amani ya kutuvuta/kutushawishi sisi tusioamini tuingie kweny uislamu ili tumrudie yeye muweza yote, kuliko kupandikiza chuki na hasira dhidi ya sisi tusioamini, hadi ikafika hatua ya kukataza urafiki kati ya wanaoamini na wasioamini?

Kwanini mwenye hekima yote aamuru mauaji dhidi yetu tusioamini? Ina maana kwa hekima zake sisi tusioamini hatuna haki ya kuishi?

Ina maana ushawishi wake haukuwa mkubwa sana hadi afikie maamuzi ya kufyeka wasiamini kweny uso wa dunia?

Nipo hapa kuelimishwa.
Maandiko hayo ni hadithi za watu walijaribu kushape jamii zao kwa kucontroll akili za watakaoamini.

Lakini hadithi hizo si za kweli kabisa.

Hakuna Mungu, Hakuna shetani

Ila kuna watu walioandika hadithi kwa kuumba viumbe hivyo vya kufikirika.
 
Sawasawa, umeeleweka.
 
Kwa bahati mbaya umekua biased, ungekua mkweli ukaweka na maandiko ya kwenye bible yenye ukakati tungeenda sawa,

Kasome mungu alivyosema 1 samweli 15: 3 ona Mungu wa bible anavyosema, hiyo ni moja tu
Hio ilikuwa ni vita kati ya waisrael na waamaleki, hii ni vita ambayo waamaleki wenyew wamejitakia baada ya kuwa kikwazo kwa waisraeli, waamaleki waliwavamia waisraeli, waliwatendea Israeli vibaya. Hii vita haikuwa ya kusambaza dini wala itikadi, ilikuwa ni vita ya kumpiga adui yako mwonevu.(natamani nikuulezee vitu vingi sema muda hautoshi).
(Hii ilikuwa ni kama vita ya Tanzania na uganda(kagera war) mwaka 1979)

Jua kutofautisha kati ya ugomvi waliokuwa nao waisraeli na majirani zao waliokuwa kila siku wanataka kuwaua na mungu mwenye hekima kufyeka wasioamini.
 
Maandiko yote ya kidini ni Stori za kutungwa na kusadikika sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela..

Dini ni utapeli na utumwa wa fikra.

Allah, Yesu, Mungu Hawapo.
Bora niamini mungu yupo.

Mwisho wa siku kama ni uongo mungu hayupo sitapungukiwa kitu, but what if yupo alaf mm sikumwamini??
 
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Hakujua kwamba anapaswa kufahamika na binadamu wote na kutambuliwa na viumbe vyote kwamba yeye yupo?

Mungu kama anataka kutambuliwa yupo, Alishindwaje kuumba Binadamu wenye UFAHAMU wa kumtambua yeye yupo na kuondoa sintofahamu ya kufikiri yeye hayupo?

Mungu huyo, Hajui kwamba anapaswa kufahamika na binadamu wote kwamba yupo?

Yeye si Mungu muweza wa vyote?
 
Hivy
According to the Koran;
Koran 2;191
"Slay the unbelievers wherever you find them."

Koran 3;28
"Muslims must not take the infidels as friends."

Koran 3;85
"Any religion other than Islam is not acceptable."

Koran 5;33
"Maim and crucify the infidels if they criticize Islam."

Koran 8;12
"Terrorize and behead those who believe in scriptures other than the Koran."

Koran 8;60
"Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels."

Koran 8;65
"The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them."

Koran 9;5
"When opportunity arises kill the infidels wherever you find them."

Koran 9;30
"Destroy Jews and Christians."

Koran 9;123
"Make war on the infidels living in your neighborhood."

Koran 22;19
"Punish the unbelievers with garments of fire, hooked iron rods, boiling water, melt their skin and bellies."

Koran 47;4
"Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them."

Bible Matthew 5;43-45
“You have heard that it was said, Love your neighbor and hate your enemy. 44 But I tell you, love your enemies and pray for those who persecute you, 45 so that you may be children of your Father in heaven. For he causes his sun to rise on the evil and the good, and sends rain on the righteous and the unrighteous.

Koran inasema ulimwengu wote umeumbwa na Allah, na binadamu wote, tunaoamini na tusioamini katika uislamu wote tumeumbwa na Allah, maana yake sisi sote ni watoto wa Allah muumba wetu, sasa kwann kwa hekima ya yeye aliye juu kwa kupitia mtume asingetafuta namna au njia nyingine nzuri ya amani ya kutuvuta/kutushawishi sisi tusioamini tuingie kweny uislamu ili tumrudie yeye muweza yote, kuliko kupandikiza chuki na hasira dhidi ya sisi tusioamini, hadi ikafika hatua ya kukataza urafiki kati ya wanaoamini na wasioamini?

Kwanini mwenye hekima yote aamuru mauaji dhidi yetu tusioamini? Ina maana kwa hekima zake sisi tusioamini hatuna haki ya kuishi?

Ina maana ushawishi wake haukuwa mkubwa sana hadi afikie maamuzi ya kufyeka wasiamini kweny uso wa dunia?

Nipo hapa kuelimiHivyo vitabu .
Hivyo vitabu vimepitwa na wakati, havifai kwa sasa.
 
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Hakujua kwamba anapaswa kufahamika na binadamu wote na kutambuliwa na viumbe vyote kwamba yeye yupo?

Mungu kama anataka kutambuliwa yupo, Alishindwaje kuumba Binadamu wenye UFAHAMU wa kumtambua yeye yupo na kuondoa sintofahamu ya kufikiri yeye hayupo?

Mungu huyo, Hajui kwamba anapaswa kufahamika na binadamu wote kwamba yupo?

Yeye si Mungu muweza wa vyote?
Vyovyote mzee, bora niamini.

Sometimes ujuaji mwingi unaweza kukupoteza.
 
Sio ujuaji mwingi, Ni hivi 👇

Mungu Hakujua kwamba anapaswa kufahamika na binadamu wote kwamba yupo, Pasipo utata na sintofahamu?

Kwani Mungu ange jidhihirisha, kufahamika na kuonekana yupo, ingepunguza nini yeye kuwa Mungu?

Anacho jifichia huko ni nini?

Halafu anataka tumjue yupo?

Kwani sisi tukisha mjua yupo ana faidika na nini?

Mungu gani anaumba viumbe na binadamu kisha anaenda kujificha asionekane na viumbe wake?
 
Brother unatumia nguvu nyingi sana kulazimisha watu wafwate mitazamo yako.

Hayo maswali yote nilishawahi kujiuliza, stage unayopitia asaiv nimeipitia na nishaivuka.

Uncertainties zipo kila mahali, huwez kuzimaliza.

Hivi unajua maana ya "Imani"?

If we had all kinds of evidence and proofs isingeitwa "Imani", ingekuwa ni kitu kingine kabisa.

If you don't want to take a leap of faith, it's your problem, baki hivohivo, usipoamini mungu hapungukiwi kitu, na jua kwamba wewe sio mtu wa kwanza kuleta hizo hoja wala hutakuwa wa mwisho.
 
Kuna sehemu nimelazimisha mtu afuate mitazamo yangu?

Je wewe unaposema ni bora
"kuamini Mungu yupo" usimkute kuliko kumkuta. HUONI kwamba unafosi na kulazimisha mitazamo yako kwa watu wengine?

Hivi kati ya sisi Atheists na nyie wenye dini nani hulazimisha watu kufuata mitazamo yao?

Ninyi wafia dini kila kukicha nyuzi za kumpokea Yesu, Mara kumjua Allah, Mara kusilimu, Mara kupokea wokovu hazi ishi humu JF...

Yani mnalazimisha watu kufuata mitazamo yenu ya uwepo wa Mungu.
Hayo maswali yote nilishawahi kujiuliza, stage unayopitia asaiv nimeipitia na nishaivuka.
Umeivuka kwa kukosa majibu na uthibitisho.

Kwa vile Mungu huyo hayupo na ume amua kukubali fictions.
Uncertainties zipo kila mahali, huwez kuzimaliza.

Hivi unajua maana ya "Imani"?
Imani ni kutokuwa na uhakika (Doubt)

Kitu kikisha fahamika kipo, Hakihitaji imani ya kutambulika kipo.

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, Ukweli hauendani na imani.

Ukweli unaendana na uwepo wa facts, evidences, proves na Logic..

Imani ni imaginations just an illusion.
If we had all kinds of evidence and proofs isingeitwa "Imani", ingekuwa ni kitu kingine kabisa.
Ndio maana nakwambia imani ni illusion.
If you don't want to take a leap of faith, it's your problem, baki hivohivo, usipoamini mungu hapungukiwi kitu, na jua kwamba wewe sio mtu wa kwanza kuleta hizo hoja wala hutakuwa wa mwisho.
Kama Mungu huyo asipo aminiwa Hapungukiwi kitu, Sasa unacho lazimisha aaminiwe ni nini?

Kwa nini Mungu huyo atoe adhabu kwa wasio mwamini, kama Hapungukiwi kitu?

Mungu huyo kama anataka aaminiwe na binadamu wote, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu watakao mwamini siku zote?

Nakwambia hivi 👇

Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mmepumbazwa na kujazwa hofu za fiction character asiye kuwepo.
 
nyie wenye mada ya Mungu yupo au hayupo mtupishe kwenye huu uzi.
kuhusu mada iliyopo, kwa wakristo ni clear, ukristo ni ufuasi wa kristo na aliyonena na kuyatenda kristo yamewekwa kwenye sehemu ya pili ya biblia yaani AGANO JIPYA, maandiko hayo yanafundisha kupendana, kusameheana, kutohukumiana na kusaidiana, YESU ALIHUBIRI UPENDO WA MUNGU KWETU, na jinsi imetupasa kuoendana kwanza enyewe kwa wenyewe kabla ya kumpenda MUNGU,..

Mathayo 5:43-48 BHN​

“Mmesikia kwamba ilisemwa: ‘Mpende jirani yako, na kumchukia adui yako.’ Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi, ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na wema, na kuwanyeshea mvua watu wanyofu na waovu. Je, mtapata tuzo gani kwa kuwapenda tu wale wanaowapenda nyinyi? Hakuna! Kwa maana, hata watozaushuru hufanya hivyo! Kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mmefanya kitu kisicho cha kawaida? Hata watu wasiomjua Mungu nao hufanya vivyo hivyo. Basi, muwe wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

1 Yohane 4:20-21 BHN​

Mtu akisema kwamba anampenda Mungu, hali anamchukia ndugu yake, huyo ni mwongo. Maana mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hamwoni. Basi, hii ndiyo amri aliyotupa Kristo: Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake.

Maana yake ni kwamba ukristo au kumfuata kristo tunaongozwa na amri za upendo, mpende jirani yako kama nafsi yako na mpende MUNGU wako kwa moyo, nguvu na akili zako zote... hivyo nakiri kwamba ufuasi wa ukristo ni upendo na amani.

sasa ndugu zetu waislam embu watufafanulie kwanini quran ina maelekezo mengi ya chuki, visasi na mauaji....
pengine mtoa mada umechukua sehemu ndogo ya aya na kupoteza maana halisi ya maelekezo hayo, hvyo tunaomba ndugu zetu waislam watufafanulie maana halisi ya hayo maandiko yao.
 
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Hakujua kwamba anapaswa kufahamika na binadamu wote na kutambuliwa na viumbe vyote kwamba yeye yupo?

Mungu kama anataka kutambuliwa yupo, Alishindwaje kuumba Binadamu wenye UFAHAMU wa kumtambua yeye yupo na kuondoa sintofahamu ya kufikiri yeye hayupo?

Mungu huyo, Hajui kwamba anapaswa kufahamika na binadamu wote kwamba yupo?

Yeye si Mungu muweza wa vyote?
una akili ya kufikiria ila hauna hekima ya kiroho.
 
Back
Top Bottom