Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
We una akili kweli, nimemlazimisha mtu kuamini imani zangu wapi??Kuna sehemu nimelazimisha mtu afuate mitazamo yangu?
Je wewe unaposema ni bora
"kuamini Mungu yupo" usimkute kuliko kumkuta. HUONI kwamba unafosi na kulazimisha mitazamo yako kwa watu wengine?
Hivi kati ya sisi Atheists na nyie wenye dini nani hulazimisha watu kufuata mitazamo yao?
Ninyi wafia dini kila kukicha nyuzi za kumpokea Yesu, Mara kumjua Allah, Mara kusilimu, Mara kupokea wokovu hazi ishi humu JF...
Yani mnalazimisha watu kufuata mitazamo yenu ya uwepo wa Mungu.
Umeivuka kwa kukosa majibu na uthibitisho.
Kwa vile Mungu huyo hayupo na ume amua kukubali fictions.
Imani ni kutokuwa na uhakika (Doubt)
Kitu kikisha fahamika kipo, Hakihitaji imani ya kutambulika kipo.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, Ukweli hauendani na imani.
Ukweli unaendana na uwepo wa facts, evidences, proves na Logic..
Imani ni imaginations just an illusion.
Ndio maana nakwambia imani ni illusion.
Kama Mungu huyo asipo aminiwa Hapungukiwi kitu, Sasa unacho lazimisha aaminiwe ni nini?
Kwa nini Mungu huyo atoe adhabu kwa wasio mwamini, kama Hapungukiwi kitu?
Mungu huyo kama anataka aaminiwe na binadamu wote, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu watakao mwamini siku zote?
Nakwambia hivi 👇
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mmepumbazwa na kujazwa hofu za fiction character asiye kuwepo.
Nikuulize swali, huu uzi na mada uliyoanzishwa kuna uhusiano wowote?? huu uzi ni kwa ajili ya watu wanaoamini katika mungu, wewe huamini, kilichokufanya ulete mada za atheism ni nini?
Alaf unasema tunalazimisha watu kwan tumekuita tukaku force usome uzi(hujasoma heading ya thread), si umejileta mwenyew, yaan unaona thread, unai click, unaisoma yote, then unaona kabisa haihusiani na vitu unavopenda(atheist topics) alaf unajibu vitu irrelevant(havihusiani kabisa na topic) alaf unasema tunakulazimisha uamini, kweli broo??