Je, tunaweza kuishi kwa amani tukifatisha vitabu vyetu vya dini?

We una akili kweli, nimemlazimisha mtu kuamini imani zangu wapi??

Nikuulize swali, huu uzi na mada uliyoanzishwa kuna uhusiano wowote?? huu uzi ni kwa ajili ya watu wanaoamini katika mungu, wewe huamini, kilichokufanya ulete mada za atheism ni nini?
Alaf unasema tunalazimisha watu kwan tumekuita tukaku force usome uzi(hujasoma heading ya thread), si umejileta mwenyew, yaan unaona thread, unai click, unaisoma yote, then unaona kabisa haihusiani na vitu unavopenda(atheist topics) alaf unajibu vitu irrelevant(havihusiani kabisa na topic) alaf unasema tunakulazimisha uamini, kweli broo??
 
Nimesoma hizo aya zote, zote zina maana kama nilivoandika.
 
Nimesoma hizo aya zote, zote zina maana kama nilivoandika.
sasa ule msemo wao kuwa uislam ni dini ya amani walitolea wapi, wakat maelekezo ya quran ni kuwa waue wasioamini?
ila in common sense, Mungu hawezi agiza watu waeneze neno lake kwa upanga, Mungu hujitetea mwenyewe wala hatetewi, kwahyo mafundisho kwamba kuna kuua kwa wasioamini ni mafundisho yasiyotoka kwa Mungu.
 
Facts
 
We una akili kweli, nimemlazimisha mtu kuamini imani zangu wapi??

Nikuulize swali, huu uzi na mada uliyoanzishwa kuna uhusiano wowote?? huu uzi ni kwa ajili ya watu wanaoamini katika mungu, wewe huamini, kilichokufanya ulete mada za atheism ni nini?
Mwanzoni mwa huu uzi nilichangia kwamba maandiko yote ya kidini ni Stori za kutungwa na hadithi za kusadikika. Ukaja kuni quote ukisema Bora kuamini Mungu yupo usimkute kuliko kumkuta.

Wewe ndiye uliye ingiza habari za Mungu kwa kuni quote ukisema Bora kuamini Mungu huyo.
By the way,

Hii ni Open forum Huwezi kunipangia namna ya kutoa maoni na mimi siwezi kukupangia namna ya kutoa maoni.

Kila mtu yuko huru kuwasilisha maoni yake, Wewe ukiona hoja za mwingine zinakukera kwa nini uhangaike kuzisoma?
 
Pita kushoto
 
Biblia takatifu imeeleza vizuri sana.
 
Write your reply...mpaka apo dini ya kweli imejulikana na wazee wa jihad wameeleweka
 
Jana leo comments 30 tu?

Waislamu wa JF wamejipata, hawajajaa upepo [emoji23]
 
Kwa bahati mbaya umekua biased, ungekua mkweli ukaweka na maandiko ya kwenye bible yenye ukakati tungeenda sawa,

Kasome mungu alivyosema 1 samweli 15: 3 ona Mungu wa bible anavyosema, hiyo ni moja tu
Mkuu yako maandiko mengi sana ya ukatili kwenye biblia huwa nawaangalia tu hawa jamaa wanavyochimbaana...

Na vitu alivyoanzisha mtu..
Ili kuwatswala
 
Dah aisee! kweli wajinga ndo waliwao! yani hizo quotation za Quran umeweka nusunusu halafu kwenye hiyo Bible umeweka verse zaidi ya moja kwa ulichoki-quote.

Hivi ukifanikiwa kuwahadaa watu wakuona Uislamu ni mbaya kwa ujanja ujanja wako unakuwa umeitendea haki dini yako?

There is a reason kwanini walio wengi wanaoslimu ni wazungu kwa kuwa ni watu wenye kutafuta ukweli kuliko sisi huku tuonataka kulielewa neno ya Mungu kwa kusimuliwa!

Kwa mwenye kutaka ukweli, hebu fanya kama hivo chini:-

(2:190) Fight in the way of Allah against those who fight against you but do not transgress, for Allah does not love transgressors.
(2:191) Kill them whenever you confront them and drive them out from where they drove you out.
(2:192) Then if they desist, know well that Allah is Ever-Forgiving, Most Compassionate.
 
Huu ni upotoshaji mwengine kwa wale wasiofikiria! anayelindwa ni yule aliye katika hatari ya kudhuriwa, labda mtuambie kwanza nyie mna mpango wa kumdhuru Allah wapi?

Jihad sio kumlinda/kumtetea Allah but ni struggle in the way of Allah. Vita ya kupambana na dhulma ni jihadi, na jihadi kubwa zaidi ni vita ya kupambana na nafsi yako dhidi ya matendo yasiyomridhisha Allah.
 
Imani ni kutokuwa na uhakika (Doubt)
Hapa ndo unapoanzia kuzurura ndugu yangu! kwahiyo mwenye imani ya juu ni yule mwenye doubt kubwa zaidi?

Ngoja nikueleweshe kidogo:-
'Imani ni kuridhika juu ya ukweli na uwepo wa kile kisichoonekana kupitia kile kinachoonekana'

Hili linathibitika kwa ukweli kwamba popote penye imani basi kuna kitu kinacho sukuma/shawishi ukweli wa hiyo imani husika i.e. mtu/kitu. Na hii ndo maana walipokuja watu na kusema wao ni mitume wa Mungu (ambaye binadamu hawajawahi kumuona) waliambatana na kitu cha kuwaridhisha hawa watu juu ya claim zao (miujiza).

Hivyo basi mwenye imani ya juu zaidi katika watu ni yule aliyeridhika zaidi na ukweli wa uwepo wa kile asichokiona kupitia kile alichokiona i.e. Mitume, maneno ya Mungu kupitia vitabu vyake n.k

Ukianzia hapa ndo utajua kama Mungu yupo au hayupo.
 
Huu ni upotoshaji mwengine kwa wale wasiofikiria! anayelindwa ni yule aliye katika hatari ya kudhuriwa, labda mtuambie kwanza nyie mna mpango wa kumdhuru Allah wapi?
Hili ni swali sasa la wewe kutujibu, hao waislamu wanaojilipua na kuua watu wasio na hatia wanamlinda nani? Au wanatetea haki za nani??
 
Hili ni swali sasa la wewe kutujibu, hao waislamu wanaojilipua na kuua watu wasio na hatia wanamlinda nani? Au wanatetea haki za nani??
Kwanza kabisa nianze kwa kukuelimisha kuwa katika uislamu hakuna mafundisho hayo ya kujilipua na kuua watu wasio na hatia! Quran 5:32

Kuna sababu za kisiasa na sababu za kijamii, there is a reason kwanini wanaenda kujiripua hapo wanapoenda! they have specific target na ukiangalia ni wale ambao wana uaidui nao wa kisiasa ama kiutawala. Na niweke wazi kabisa kuwa wanakosea kwa kuua watu wasio na hatia, Uislamu haufundishi hivo na bali unakemea vikali kuua nafsi isiyo na hatia (achilia mbali mtu, hata mnyama na miti kuikata bila sababu ya msingi ni dhambi!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…