Je, tunaweza kuishi kwa amani tukifatisha vitabu vyetu vya dini?

Hatuwezi kama kitafuatishwa kila kitu kama kilivyo katika hivyo vitabu.
 
Mnaosoma hii post muende muhakikishe hizo aya anazoweka hapo. Mtazozikuta msome angalau aya 3 za nyuma na 3 za mbele.
 
Dini ni pyschological disorder. It should be eliminated.
 
REVELATION 6

9 And when he had opened the fifth seal, I saw under the altar the souls of them that were slain for the word of God, and for the testimony which they held:

10 And they cried with a loud voice, saying, How long, O Lord, holy and true, dost thou not judge and avenge our blood on them that dwell on the earth?

11 And white robes were given unto every one of them; and it was said unto them, that they should rest yet for a little season, until their fellowservants also and their brethren, that should be killed as they were, should be fulfilled.

Prophetic meaning,

John saw the souls of those who were beheaded (by Muslims) for the word of God (Gospel - Christians), and for the testimony which they held (Torah - Judaism)
 
Walikuwepo wengi tu wenye chuki na Uislamu zaidi yako hapo kabla na hawajapunguza chochote katika dini ya Uislamu! Usikubali kuwa mtumwa wa fikra kwa hisia za kupandikizwa! Usikubali kuwa daraja la kufikisha chuki za watu kwa watu wengine kwa maslahi ya kidunia, either yako ama ya wale unaowafanyia uwakala! Tupo duniani kwa muda maalumu na wakati ukifika sote tutaondoka! Tumia muda wako wa hapa duniani kwa maslahi ya maisha yako yanayofuata baada ya kuondoka duniani!

Mwerevu hujadili anachokifahamu kwa ukomo wa ufahamu wake na hutamani kuelewa asichokifahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…