Consumption inategemea population au income? Mbona unakuwa mjinga wewe? Watu wengi wasiokuwa na income wanafaida gani? Nenda kasome soko LA Finland jinsi lilivyo na nguvu kuliko nchi zote za United Arab Emirates na wapo mil 5 tu ndio uje u parade ujinga wako hapa!uchumi wa wafanyabiashara kibao unapaa mfano wauzaji vyakula,wauzaji nguo madawa ya binadamu,daladala,nyumba za kupangisha nk consumption inategenea population Population ikiwa ndogo bakhresa hawezi tajirika na kuwa bilionea.
uchumi wa wafanyabiashara kibao unapaa mfano wauzaji vyakula,wauzaji nguo madawa ya binadamu,daladala,nyumba za kupangisha nk consumption inategenea population Population ikiwa ndogo bakhresa hawezi tajirika na kuwa bilionea.
Yote uliyoandika kwa maneno mengi yatawezekana kwa kutengeneza sera rafiki zitakazofanyiwa kazi na taasisi huru zitakazofanya kazi kwa mujibu wa taaluma jadidi na sio maelekezo ya mtu mmojaWanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.
Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.
Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.
Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Paskali
Wanabodi,

Haukusikia kiongozi Mkubwa anakwambia "wao hawaji kwetu na sisi hatuendi kwao"? Ndio diplomacy waliyonayo Kichwani hiyo...kwenda kutafuta wawekezaji na mitaji kwao ni kujikomba, sababu tuna gas, almasi, dhahabu, ardhi nzuri na vyote havipatikani sehemu nyingine duniani then we are so unique.. Watakuja tu, wataachaje na sisi tuna resources zote hizi na hazipatikani sehemu yoyote ile duniani?Usiogope haya mabeberu yatakuja peke yao tu! Kusafiri ili kuyafata wataona tunajikomba.😂😂😂
Huyo Kijana unayesema kama ndio ninaye mdhania.Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tatizo kuwa tajiri awamu hii ni kosa kisheria!.Hiyo approach ya mtu mmoja awe raisi au whoever kwenda kuzurura nje kutafuta sijui mwekezaji naiona kama upuuzi tu.FDI ya kwenda kuwatafuta ni approach chovu na yenye impact ndogo mno
Tunatakiwa turuhusu watanzania kununua hisa kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko
Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo ya mazao ya korosho sijui dengu na mazao mengine ya mashambani yanayotegemea Hali ya hewa
Kwenye hayo masoko ndiko kwenye mikampuni mikubwa Duniani inayoongoza kupata faida ambayo huuza hisa na kununua
Ina maana sisi wenyewe tunakuwa wamiliki wa hayo makampumi na faida tunayopata tunaileta ndani ya nchi
badala ya kuleta mitaji ya nje ndani ya nchi tunaleta faida ndani ya nchi na faida hiyo tunaitumia kujenga uchumi wetu wa ndani
ndicho nchi zilizoendelea zinafanya wanawekeza kwako faida ndio inaenda endeleza kule kwao.
Tulenge zaidi kwenye upataji faida sio mitaji
FDI unazurura kutafuta ntu wa kukuchomoa faida!!! ndio maana tunalia lia ohhh wawekezaji wanatunyonya wanachukua faida kubwa kupeleka kwao si na wewe ukawekeze kwao upate faida kwa kununua hisa kule kwao? kampuni ikipata faida kwenye shughuli zake duniani kote unapata gawio lako unakula nchini kwako
niseme wazi mimi hiyo FDI naiona upuuzi mtupu inachangia tu kufanya nchi zetu kuwa tu tegemezi na maskini
Tanzania tusiposhiriki na kuwa active kwenye uchumi wa dunia kwa kushiiriki kwenye hayo masoko ya hisa ya dunia umaskini kwisha utakuwa mgumu
tutalalamika ohhh migodi iko kibao ,wawekezaji wapo lakini mbona umasikini hauishi? FDI ya makampuni ya migodi ina gesi ipo lakini unashangaa watu bado wako choka mbaya
Si recommend utalii wa FDI kwa kisingizio cha kutafuta wawekezaji
Watanzania bado ni wavivu Sana alafu tulisha chelewa sababu ili usiwategemee mabeberu inabid uanze kila kitu upya yani maisha tuyaanze kama wamasai wanavyo ishi then tuende kidogo kidogo mpaka baada ya miaka Mia tutakua tayar Lakin Sasa Nan atakubal tanzania hii mtu yuko radh asiish tanzania akimbilie nch za nje vip wa gonjwa wa magonjwa kama ukimw tb kifua kikuu kansa na mengine kibao Hao wataishije wakat marekan ndio anagawa dawa Bure Yan kwailo jambo si rahis kuwezekana sababu TUpo tayar ndani ya system ilitakiwa ili tuendelee lazima tuwe na wataalam wetu technology yetu apo ndio tutaendelea sio utake uchumi wa viwanda uku wataalam hamna yani ili tufanikiwe kwanza labda tutumie NJIA Rais ya kuwekeza kwenye wataalam wa ndan watu waumize vichwa katika kutengeneza vitu hata zikiwa copy tunaitaji wataalam ili kufanikiwa sio mawazo wala pesaWanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.
Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.
Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.
Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Paskali
Mawazo yako Mazur ila mzungu hata siku moja hato ruhusu mtu mweus Tena muafrica aendelee uku kwetu ndio panapo balance uchumi wao ili wao waendelee kua matajir lazima sis tuwe masikinHiyo approach ya mtu mmoja awe raisi au whoever kwenda kuzurura nje kutafuta sijui mwekezaji naiona kama upuuzi tu.FDI ya kwenda kuwatafuta ni approach chovu na yenye impact ndogo mno
Tunatakiwa turuhusu watanzania kununua hisa kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko
Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo ya mazao ya korosho sijui dengu na mazao mengine ya mashambani yanayotegemea Hali ya hewa
Kwenye hayo masoko ndiko kwenye mikampuni mikubwa Duniani inayoongoza kupata faida ambayo huuza hisa na kununua
Ina maana sisi wenyewe tunakuwa wamiliki wa hayo makampumi na faida tunayopata tunaileta ndani ya nchi
badala ya kuleta mitaji ya nje ndani ya nchi tunaleta faida ndani ya nchi na faida hiyo tunaitumia kujenga uchumi wetu wa ndani
ndicho nchi zilizoendelea zinafanya wanawekeza kwako faida ndio inaenda endeleza kule kwao.
Tulenge zaidi kwenye upataji faida sio mitaji
FDI unazurura kutafuta ntu wa kukuchomoa faida!!! ndio maana tunalia lia ohhh wawekezaji wanatunyonya wanachukua faida kubwa kupeleka kwao si na wewe ukawekeze kwao upate faida kwa kununua hisa kule kwao? kampuni ikipata faida kwenye shughuli zake duniani kote unapata gawio lako unakula nchini kwako
niseme wazi mimi hiyo FDI naiona upuuzi mtupu inachangia tu kufanya nchi zetu kuwa tu tegemezi na maskini
Tanzania tusiposhiriki na kuwa active kwenye uchumi wa dunia kwa kushiiriki kwenye hayo masoko ya hisa ya dunia umaskini kwisha utakuwa mgumu
tutalalamika ohhh migodi iko kibao ,wawekezaji wapo lakini mbona umasikini hauishi? FDI ya makampuni ya migodi ina gesi ipo lakini unashangaa watu bado wako choka mbaya
Si recommend utalii wa FDI kwa kisingizio cha kutafuta wawekezaji
Wewe usikalie kulaum viongozi pia hata wew jiangalie mtaan kwako umefanya Nini kujikwamua huenda Ata wew ni kiongozi mbayaSafari za nje ya nchi zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga uchumi wa viwanda na kukuza private sector na kuvutia mitaji, dunia ya sasa inahitaji ushirikiano, chukulia mfano wa China, kuna wawekezaje wangapi kutoka nje especially mataifa ya magharibi?
Sisi tuna economic diplomacy kwenye makaratasi sio Kichwani, ndio maana matatizo kibao vijana hawana ajira, sababu private sector haikuwi, serikali haina uwezo wa kuwekeza kwenye miradi inayoweza kutengeneza ajira nyingi. Wanasiasa wamebaki kusema vijana wajiajiri, kwa mitaji IPI? Kwa masoko yapi?
Africa tunafail sana sababu watu smart hawapati nafasi ya kutuongoza...wanaojua ushirikina na kujipendekeza ndio watunga Sera.
Lazima akili kubwa zipewe nafasi...watu wenye maono mapana na taifa. Watu wakikosoa kidogo ili Ku improve government's performance kwenye uchumi wanataka kutolewa roho!
Bahati mbaya sana kuzaliwa hili bara, no wonder karne hii watu weusi wanakufa kwenye bahari wakijaribu kukimbia mateso ya watawala walioshindwa kujenga uchumi!
Hawa viongozi hawaoni aibu karne hii watu wanakimbilia ulaya sababu wameshindwa kujenga uchumi? MTU anakwambia tuzaliane ili tukuze uchumi, siku niliposikia hiyo kauli nilitupa kwenye dustbin kabisa. Hatuna viongozi hapa.
“These excessive exams are not driving up standards but they’re driving up stress both for children and for teachers and when the system forces teachers to teach the test, narrowing down the range of learning to core parts of core subjects to get through exams that’s not helping pupils.”
While talking about the importance of the children’s lives, he added, “We need to prepare children for life, not just for exams....”
Beberu ni kama oxygen je wawezaishi bila oxygen?Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.
Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.
Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.
Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Paskali
Inategemea na purchasing power ya population husika.Ishu sio ukubwa au udogo wa population husika.uchumi wa wafanyabiashara kibao unapaa mfano wauzaji vyakula,wauzaji nguo madawa ya binadamu,daladala,nyumba za kupangisha nk consumption inategenea population Population ikiwa ndogo bakhresa hawezi tajirika na kuwa bilionea.
Purchasing power yaani uwezo wa kumudu mahitaji wa jamii husika ili uweze kununua ni lzm uiingize kipato.Population inaweza ikawa kubwa lkn haizalishi mfano unaweza tembea kijiji kizima kuomba change ya elf 10 na usipate means hi population ni haizalishi ni masikiniKuzaliana hakuleti uchumi. Issues ni quality ya watu mtaani.
Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.
Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.
Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.
Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.
Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Paskali
Kwa maoni yangu,thread yako ya leo imekaa kimzaha zaidi japo inaelewekaKwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
January makamba,zitto kabwe, john mnyika na anthony mtaka, hawa ni baadhi ya viongozi ambao wapo smart hta tukiwapa madaraka wanaweza kufanya vitu vya kueleweka na sio hya mazuzu ya kisukuma.Safari za nje ya nchi zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga uchumi wa viwanda na kukuza private sector na kuvutia mitaji, dunia ya sasa inahitaji ushirikiano, chukulia mfano wa China, kuna wawekezaje wangapi kutoka nje especially mataifa ya magharibi?