Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

uchumi wa wafanyabiashara kibao unapaa mfano wauzaji vyakula,wauzaji nguo madawa ya binadamu,daladala,nyumba za kupangisha nk consumption inategenea population Population ikiwa ndogo bakhresa hawezi tajirika na kuwa bilionea.
Consumption inategemea population au income? Mbona unakuwa mjinga wewe? Watu wengi wasiokuwa na income wanafaida gani? Nenda kasome soko LA Finland jinsi lilivyo na nguvu kuliko nchi zote za United Arab Emirates na wapo mil 5 tu ndio uje u parade ujinga wako hapa!
 
uchumi wa wafanyabiashara kibao unapaa mfano wauzaji vyakula,wauzaji nguo madawa ya binadamu,daladala,nyumba za kupangisha nk consumption inategenea population Population ikiwa ndogo bakhresa hawezi tajirika na kuwa bilionea.

Hoja zako hazina mashiko kabsa. Population kubwa haina uhusiano na maendeleo makubwa. Bangaladeshi wanapopulation kubwa vipi maendeleo? Qatar..finland wanawatu wachache sana lakini angalia uchumi wao. Issue siyo kuwa na watu wengi ..cha msingi ni kuwa middle income population wawe wengi. Leo india wenye watu 1.5 billioni wana mamillionea laki 8 tu.. but usa wenye watu millioni 350 wana millionea milioni 18.
 
Wanabodi,

Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.

Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.

Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni

Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.

Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.

Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.

Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema

Paskali
Yote uliyoandika kwa maneno mengi yatawezekana kwa kutengeneza sera rafiki zitakazofanyiwa kazi na taasisi huru zitakazofanya kazi kwa mujibu wa taaluma jadidi na sio maelekezo ya mtu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshaurini kwanza afufue viwanda kama Philips Radio,Generak Tyre,Machine Tools na vinginevyo vingi na sio kupiga mapambio hewa na kuwaghasi watu wa rangi nyingine kwa kuwakebehi wakati hamuwezi chochote bila wao
Wanabodi,

Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.

Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.

Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni

Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.

Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.

Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.

Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiogope haya mabeberu yatakuja peke yao tu! Kusafiri ili kuyafata wataona tunajikomba.😂😂😂
Haukusikia kiongozi Mkubwa anakwambia "wao hawaji kwetu na sisi hatuendi kwao"? Ndio diplomacy waliyonayo Kichwani hiyo...kwenda kutafuta wawekezaji na mitaji kwao ni kujikomba, sababu tuna gas, almasi, dhahabu, ardhi nzuri na vyote havipatikani sehemu nyingine duniani then we are so unique.. Watakuja tu, wataachaje na sisi tuna resources zote hizi na hazipatikani sehemu yoyote ile duniani?
 
Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.
Huyo Kijana unayesema kama ndio ninaye mdhania.
Kama angepewa wizara ya mambo ya nje tungekuwa mbali sana sasa hivi.Lakini tatizo angewafunika watu kwenye magazeti ya nje na ndani. Ni kitu kisichoweza kukubalika.
Akipewa hiyo wizara 2020 na uhakika mwaka mmoja baadae utasikia ile ban ya Marekani imeondolewa!
Tatizo kubwa 2025 kungekuwa hakuna namna zaidi ya kumkabidhi kijiti!
Tatizo lake amekumbatiwa na matajiri fulani, akirent ile nyumba nyeupe.Wangepewa kila wanachotaka!
 
Hiyo approach ya mtu mmoja awe raisi au whoever kwenda kuzurura nje kutafuta sijui mwekezaji naiona kama upuuzi tu.FDI ya kwenda kuwatafuta ni approach chovu na yenye impact ndogo mno

Tunatakiwa turuhusu watanzania kununua hisa kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko

Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo ya mazao ya korosho sijui dengu na mazao mengine ya mashambani yanayotegemea Hali ya hewa

Kwenye hayo masoko ndiko kwenye mikampuni mikubwa Duniani inayoongoza kupata faida ambayo huuza hisa na kununua

Ina maana sisi wenyewe tunakuwa wamiliki wa hayo makampumi na faida tunayopata tunaileta ndani ya nchi

badala ya kuleta mitaji ya nje ndani ya nchi tunaleta faida ndani ya nchi na faida hiyo tunaitumia kujenga uchumi wetu wa ndani

ndicho nchi zilizoendelea zinafanya wanawekeza kwako faida ndio inaenda endeleza kule kwao.
Tulenge zaidi kwenye upataji faida sio mitaji
FDI unazurura kutafuta ntu wa kukuchomoa faida!!! ndio maana tunalia lia ohhh wawekezaji wanatunyonya wanachukua faida kubwa kupeleka kwao si na wewe ukawekeze kwao upate faida kwa kununua hisa kule kwao? kampuni ikipata faida kwenye shughuli zake duniani kote unapata gawio lako unakula nchini kwako

niseme wazi mimi hiyo FDI naiona upuuzi mtupu inachangia tu kufanya nchi zetu kuwa tu tegemezi na maskini

Tanzania tusiposhiriki na kuwa active kwenye uchumi wa dunia kwa kushiiriki kwenye hayo masoko ya hisa ya dunia umaskini kwisha utakuwa mgumu

tutalalamika ohhh migodi iko kibao ,wawekezaji wapo lakini mbona umasikini hauishi? FDI ya makampuni ya migodi ina gesi ipo lakini unashangaa watu bado wako choka mbaya

Si recommend utalii wa FDI kwa kisingizio cha kutafuta wawekezaji
Tatizo kuwa tajiri awamu hii ni kosa kisheria!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.

Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.

Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni

Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.

Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.

Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.

Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema

Paskali
Watanzania bado ni wavivu Sana alafu tulisha chelewa sababu ili usiwategemee mabeberu inabid uanze kila kitu upya yani maisha tuyaanze kama wamasai wanavyo ishi then tuende kidogo kidogo mpaka baada ya miaka Mia tutakua tayar Lakin Sasa Nan atakubal tanzania hii mtu yuko radh asiish tanzania akimbilie nch za nje vip wa gonjwa wa magonjwa kama ukimw tb kifua kikuu kansa na mengine kibao Hao wataishije wakat marekan ndio anagawa dawa Bure Yan kwailo jambo si rahis kuwezekana sababu TUpo tayar ndani ya system ilitakiwa ili tuendelee lazima tuwe na wataalam wetu technology yetu apo ndio tutaendelea sio utake uchumi wa viwanda uku wataalam hamna yani ili tufanikiwe kwanza labda tutumie NJIA Rais ya kuwekeza kwenye wataalam wa ndan watu waumize vichwa katika kutengeneza vitu hata zikiwa copy tunaitaji wataalam ili kufanikiwa sio mawazo wala pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo approach ya mtu mmoja awe raisi au whoever kwenda kuzurura nje kutafuta sijui mwekezaji naiona kama upuuzi tu.FDI ya kwenda kuwatafuta ni approach chovu na yenye impact ndogo mno

Tunatakiwa turuhusu watanzania kununua hisa kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko

Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo ya mazao ya korosho sijui dengu na mazao mengine ya mashambani yanayotegemea Hali ya hewa

Kwenye hayo masoko ndiko kwenye mikampuni mikubwa Duniani inayoongoza kupata faida ambayo huuza hisa na kununua

Ina maana sisi wenyewe tunakuwa wamiliki wa hayo makampumi na faida tunayopata tunaileta ndani ya nchi

badala ya kuleta mitaji ya nje ndani ya nchi tunaleta faida ndani ya nchi na faida hiyo tunaitumia kujenga uchumi wetu wa ndani

ndicho nchi zilizoendelea zinafanya wanawekeza kwako faida ndio inaenda endeleza kule kwao.
Tulenge zaidi kwenye upataji faida sio mitaji
FDI unazurura kutafuta ntu wa kukuchomoa faida!!! ndio maana tunalia lia ohhh wawekezaji wanatunyonya wanachukua faida kubwa kupeleka kwao si na wewe ukawekeze kwao upate faida kwa kununua hisa kule kwao? kampuni ikipata faida kwenye shughuli zake duniani kote unapata gawio lako unakula nchini kwako

niseme wazi mimi hiyo FDI naiona upuuzi mtupu inachangia tu kufanya nchi zetu kuwa tu tegemezi na maskini

Tanzania tusiposhiriki na kuwa active kwenye uchumi wa dunia kwa kushiiriki kwenye hayo masoko ya hisa ya dunia umaskini kwisha utakuwa mgumu

tutalalamika ohhh migodi iko kibao ,wawekezaji wapo lakini mbona umasikini hauishi? FDI ya makampuni ya migodi ina gesi ipo lakini unashangaa watu bado wako choka mbaya

Si recommend utalii wa FDI kwa kisingizio cha kutafuta wawekezaji
Mawazo yako Mazur ila mzungu hata siku moja hato ruhusu mtu mweus Tena muafrica aendelee uku kwetu ndio panapo balance uchumi wao ili wao waendelee kua matajir lazima sis tuwe masikin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari za nje ya nchi zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga uchumi wa viwanda na kukuza private sector na kuvutia mitaji, dunia ya sasa inahitaji ushirikiano, chukulia mfano wa China, kuna wawekezaje wangapi kutoka nje especially mataifa ya magharibi?

Sisi tuna economic diplomacy kwenye makaratasi sio Kichwani, ndio maana matatizo kibao vijana hawana ajira, sababu private sector haikuwi, serikali haina uwezo wa kuwekeza kwenye miradi inayoweza kutengeneza ajira nyingi. Wanasiasa wamebaki kusema vijana wajiajiri, kwa mitaji IPI? Kwa masoko yapi?

Africa tunafail sana sababu watu smart hawapati nafasi ya kutuongoza...wanaojua ushirikina na kujipendekeza ndio watunga Sera.

Lazima akili kubwa zipewe nafasi...watu wenye maono mapana na taifa. Watu wakikosoa kidogo ili Ku improve government's performance kwenye uchumi wanataka kutolewa roho!

Bahati mbaya sana kuzaliwa hili bara, no wonder karne hii watu weusi wanakufa kwenye bahari wakijaribu kukimbia mateso ya watawala walioshindwa kujenga uchumi!

Hawa viongozi hawaoni aibu karne hii watu wanakimbilia ulaya sababu wameshindwa kujenga uchumi? MTU anakwambia tuzaliane ili tukuze uchumi, siku niliposikia hiyo kauli nilitupa kwenye dustbin kabisa. Hatuna viongozi hapa.
Wewe usikalie kulaum viongozi pia hata wew jiangalie mtaan kwako umefanya Nini kujikwamua huenda Ata wew ni kiongozi mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeremy Corbyn aliwahi kusema:
“These excessive exams are not driving up standards but they’re driving up stress both for children and for teachers and when the system forces teachers to teach the test, narrowing down the range of learning to core parts of core subjects to get through exams that’s not helping pupils.”
While talking about the importance of the children’s lives, he added, “We need to prepare children for life, not just for exams....”

[/QUOTE]
 
Wanabodi,

Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.

Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.

Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni

Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.

Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.

Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.

Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema

Paskali
Beberu ni kama oxygen je wawezaishi bila oxygen?
 
uchumi wa wafanyabiashara kibao unapaa mfano wauzaji vyakula,wauzaji nguo madawa ya binadamu,daladala,nyumba za kupangisha nk consumption inategenea population Population ikiwa ndogo bakhresa hawezi tajirika na kuwa bilionea.
Inategemea na purchasing power ya population husika.Ishu sio ukubwa au udogo wa population husika.
 
Kuzaliana hakuleti uchumi. Issues ni quality ya watu mtaani.
Purchasing power yaani uwezo wa kumudu mahitaji wa jamii husika ili uweze kununua ni lzm uiingize kipato.Population inaweza ikawa kubwa lkn haizalishi mfano unaweza tembea kijiji kizima kuomba change ya elf 10 na usipate means hi population ni haizalishi ni masikini
 
Mkuu Paschal, kuna mtu aliwahi kusema ukweli na akachukiwa. Aliseme mtu fulani ana pesa za “kutengeneza juisi tu”. Huyo alionekana anasharau lakini ukweli ni kuwa hakutaka kuwa politically correct. Aliona FDI ndio uwekezaji sahihi.

Sijui kama safari za Rais zitapata kutokea - huenda sababu ya kutosafiri haihusiani na kubana matumizi. Binafsi sizijui na si sahihi nikazisemea. Lakini nimeona viongozi wa nchi nyingine wakienda kwenye WEF, Africa-China, France-Africa, UK-Africa fora. Pamoja na kuwakilishwa - hakuna mtu anayeweza kusema kwanini nchi imejaa contractors wa kujenga barabara, majengo na sio viwanda vya kufua chuma, kilimo kikubwa, uzalishaji wa bidhaa, madini nk. Je, ni sera za kodi, uwekezaji au mazingira yetu sio salama kwa mitaji yao - unpredictability??

Bandiko lako lina maana lakini lina dharau kwa Pempei na uliyemuita kubwa jinga! Leo umemuita hivo - na kesho akitoa msaada anasifiwa aliyepokea msaada. Unafiki au undumilakuwili uliouonesha hapa uko vichwani mwa wengi sana na wako katika nafasi za kufanya maamuzi. Tabia ya “baniani mbaya kiatu chake dawa”.

Binafsi nashangaa unashindwaje kujua umuhimu wa FDI kama DDI tunayoiona inatafsiri kiwanda kama “vyerehani vinne”.
 
Wanabodi,

Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Bandiko hili ni la swali moja kuu, kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu?. Namna mzuri ya kuhamasisha FDI ni kupitia kwenye ziara za nje za rais, tuliona kwa JK, tukaona kwa Kagame na sasa tunaona kwa Uhuru, jee rais wetu Magufuli aendelee tuu kujifungia ndani tukitumai hizi FDI zitatufuata zenyewe?.

Msimamo wa Rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli , JPM, wa kutosafiri nje una maslahi kwa taifa kwenye hili, hivyo kama tunategemea FDI kutoka nje, lazima rais Magufuli akubali kutoka awafuate ili kuvutia FDI zao au azidi kushikilia msimamo, tukomae nao, kwa hoja ya mgonjwa ndio hufuata mganga, kama wana shida waje?.

Kwa wavivu wa kusoma makitu marefu, tuishie hapa, wengine tuendeleeni

Tena nashauri, baada ya Uchaguzi Mkuu ujao, yule kijana "pendwa" asipogombea ubunge popote, rais amteue tuu awe Mbunge wa kuteuliwa amfanye deputy wa MFA, na ataandamana nae UNGA, halafu tupimane ubavu na kubwa la mabeberu, nani zaidi kati ya Hapa Kazi akiongozana na Dogo Janja na Pempei na Kubwa Jinga!.

Tena kwa sasa bara zima ka Africa tuko kwenye kukamilisha kusaini African Continental Free Trade Area (AfCFTA) Agreement, lakini sisikii Tanzania tunajipangaje. Hivyo Kenya akisaini FTA na Marekani, then njia ya bidhaa za Africa Mashariki kuingia Marekani ni kupitia Kenya.

Hitimisho, kwa vile nimesema mengi humu, naomba kumalizia na lile swali la msingi la hoja hii kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?.

Kwa kuwa Tanzania tumedhamiria kujenga Tanzania ya Viwanda, Jee tunaweza kuijenga hiyo Tanzania ya Viwanda bila kutegemea mitaji ya FDI kutoka nchi za nje zikiwemo nchi za Mabeberu, kuna umuhimu kwa rais wetu kusafiri nchi katika ziara za kimkakati ili kuvutia FDI?.

Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema

Paskali

HATUWEZI.

Kuna wenye akili ndogo wanasema mbona mabalozi wapo....yeye afuate nini?

Ukiwauliza mbona mikoani wakuu wa wilaya na wa mikoa wapo lakini Rais anakwenda?

Wanajibu.....umetumwa na mabeberu nini!
 
Kwa wale wa swala, Ijumaa Kareem
Kwa sisi wengine, Furahi Dei Njema
Kwa maoni yangu,thread yako ya leo imekaa kimzaha zaidi japo inaeleweka
FDI haiji kwa Rais kusafiri nje,FDI itakuja kama nchi itakua na amani na utulivu wa kiuchumi na kisiasa
Salva kiir ameshafanya zaidi ya ziara tano Us na Eu na hakuna anaetaka kuwekeza huko
Tumuache Rais amalize ndoto yake,akiondoka tuchague vasco da gama mwingine
 
Safari za nje ya nchi zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga uchumi wa viwanda na kukuza private sector na kuvutia mitaji, dunia ya sasa inahitaji ushirikiano, chukulia mfano wa China, kuna wawekezaje wangapi kutoka nje especially mataifa ya magharibi?

Sisi tuna economic diplomacy kwenye makaratasi sio Kichwani, ndio maana matatizo kibao vijana hawana ajira, sababu private sector haikuwi, serikali haina uwezo wa kuwekeza kwenye miradi inayoweza kutengeneza ajira nyingi. Wanasiasa wamebaki kusema vijana wajiajiri, kwa mitaji IPI? Kwa masoko yapi?

Africa tunafail sana sababu watu smart hawapati nafasi ya kutuongoza...wanaojua ushirikina na kujipendekeza ndio watunga Sera.

Lazima akili kubwa zipewe nafasi...watu wenye maono mapana na taifa. Watu wakikosoa kidogo ili Ku improve government's performance kwenye uchumi wanataka kutolewa roho!

Bahati mbaya sana kuzaliwa hili bara, no wonder karne hii watu weusi wanakufa kwenye bahari wakijaribu kukimbia mateso ya watawala walioshindwa kujenga uchumi!

Hawa viongozi hawaoni aibu karne hii watu wanakimbilia ulaya sababu wameshindwa kujenga uchumi? MTU anakwambia tuzaliane ili tukuze uchumi, siku niliposikia hiyo kauli nilitupa kwenye dustbin kabisa. Hatuna viongozi hapa.
January makamba,zitto kabwe, john mnyika na anthony mtaka, hawa ni baadhi ya viongozi ambao wapo smart hta tukiwapa madaraka wanaweza kufanya vitu vya kueleweka na sio hya mazuzu ya kisukuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom