Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

Watetezi wa chama hawa ni vichwa maji kabisa.
Yani ni vichwa maji hasa...wanataka kutetea kila jambo, miaka 50 ya Uhuru bado taifa masikini, 80% wanaishi chini ya 2500 kwa siku, na bado wanaona wana haki ya kuongoza nchi! Worse wanataka kundi LA 2500 kwa siku liongezeke ili wajenge uchumi, yani MTU anaishi chini ya 2500 anakuwaje soko? Au wanataka hata hiyo elfu 2500 waigawane! Sio ukichaa ni nini? Kwakweli Mimi CCM nimeichoka sana...hata wakisema wa marekani wanataka kuindoa ni sawa tu. Tumechoka umasikini.
 

Obviously umeandika jinsi vile unavyofahamu wewe na upeo wako. Nitakupa mfano kuna nchi kama Sweeden walisaidiwa na nani kuwa hapo walipo? Sisi Watanzania tunakosa uzalendo maneno mengi vitendo sifuri. Kila mtu anataka kuwa bosi wakati uwezo wa kuwa bosi hana. BWM aliwapa SA shirika la Ndege na Tanesco ili kuwawezesha. Je Hayo makampuni yalifikishwa wapi?

Watu waligawana viwanda alivyoacha mwalimu kama njungu, kiwanda cha Urafiki, Sungura Textile, Mwanza Textile, Matshuta Electric, viwanda vya kuzalisha mafuta sabuni na manukato vilivyokuwa Tanga, Morogoro etc. Ni ujuha na ulofa tu wa kufikiri anayeweza kuleta maendeleo kwenye nchi yetu ni mtu mweupe kutoka ulaya etc.

At the moment Tanzania have got the means and control to develop this country without the shenanigans given by the West. Pengine wengi hamfahamu utajiri ambao tunao na uwezo wa wasomi wetu hadi hivi sasa. Charity begins at home.


BTW there is no formula for development, you need to be focussed on your intentions without fail using the rules and laws which plays on a fair playing ground for all involved. Tanzania will never develop depending on Europeans or Americans. Only Tanzanians themselves can do that.

BTW unaongelea national debt, hivi umeangalia graph ya deni letu la taifa au unakariri ulivyoambiwa na Zito et al.
 

Big No, sio mitaji tu hata technolojia, malighafi, uongozi na masoko yako huko kwa mabeberu mfano kama madini, gas, malighafi tutawauzia hao jamaa lakini wao technolojia wamepiga hatua na hatuna haja leo hii kuanza uwimbombo na wilindi wakati beberu alishagundua kiberiti.

Raisi wetu sijui kama anaona kama tunavyoona sie hasa katika FDI na vyanzo rahisi zaidi vya financing business. its cheaper to borrow kuliko kutumia own resources na hapa ndio bwana mkubwa hajaelewa kabisa na hataki kuelewa.

Bwana mkubwa yuko too mechanical anahitaji sana kueleweshwa vitu vya msingi ili kutusua kilaini ametumia mabavu kwa miaka 4 anahitaji greese sasa kuliko kutukuzwa na wasaidizi wake na wanaomzunguka. Jamaa anahitaji washauri wasio muogopa hata kama anapenda kuogopwa.
 

What are you talking about?
Ivi unamjua strive masiyiwa? Unajua ametoka nchi ambayo hata official currency ya nchi hawana? Unalijua ilo
 
Huwezi ukajenga uchumi wa viwanda kwa kuuwa private sector, kwa kuuwa demokrasia, kwa kuuwa diplomasia,kwa kuzuia mzunguko wa pesa
 


Kwanza ni kutuelezea Beberu ni nani? hili ni jina ambalo limekuwa likitumika lakini tupe maana yako ili tujue unawaongelea watu gani au nchi gani?. Beberu ni mfumo, nchi au nini?
 
You can not support all these with an empty hand or hungry. A hungry man is always angry, someone deprived of a basic necessity will not be easily placated
 
You can not support all these with an empty hand or hungry 'a hungry man is always angry' someone deprived of a basic necessity will not be easily placated

Tatizo WTZ wengi walijisahau, wanafikiri jinsi ya kupiga dili bila kufanya kazi ambazo ndio msingi wa maendeleo. Ukitaka kula na kulala kama mfalme lazima ufanye kazi sio kutegemea ulanguzi.
 
Huwezi ukajenga uchumi wa viwanda kwa kuuwa private sector, kwa kuuwa demokrasia, kwa kuuwa diplomasia,kwa kuzuia mzunguko wa pesa

Wapi JPM amezuia mzunguko wa pesa? Vile vile ni ''private sector'' ipi ambayo JPM ameiua, toa ushahidi hapa tafadhali wacha porojo na hadithi za Abunuwasi.
 
Wapi JPM amezuia mzunguko wa pesa? Vile vile ni ''private sector'' ipi ambayo JPM ameiua, toa ushahidi hapa tafadhali wacha porojo na hadithi za Abunuwasi.
Kula kulala shule ujaenda mambo ya uchumi uyajulie wapi.Katafute hata vibarua au uza machinga utakutana na mambo ya uchumi
 
Tatizo WTZ wengi walijisahau, wanafikiri jinsi ya kupiga dili bila kufanya kazi ambazo ndio msingi wa maendeleo. Ukitaka kula na kulala kama mfalme lazima ufanye kazi sio kutegemea ulanguzi.
Kuna mwenye njaa yeyeto amewahi kuwa mvivu afe njaa.Au shughuli zenyewe hazipo ulizia mafundi uelewe,ulizia mama lishe,machinga.Mzunguko ndio uchumi kama haupo utaishia kutwanga kinu maji haviuziki
 
Wapi JPM amezuia mzunguko wa pesa? Vile vile ni ''private sector'' ipi ambayo JPM ameiua, toa ushahidi hapa tafadhali wacha porojo na hadithi za Abunuwasi.
Unajua tafsiri ya neno kuisoma namba au vyuma kukaza kiuchumi. Nikupe jibu kuisoma namba ni kuuwa sector binafsi na kukaza vyuma ni kuondoa au kupunguza mzunguko wa fedha mtaani,lengo kuu huwa ni kuwafanya wengi wawe masikini ili uwatawale,hizi ni falsafa za mfumo wa kijamaa yaani chama kimoja. Kusema watu walikuwa wanapiga dili ni matusi,sasa wakulima wa korosho na mbaazi walipiga dili wapi,wavuvi wanaolia kukosa soko hizo dili walizipigia wapi,je vibarua wanaokosa kazi za tempo walipiga dili wapi
 
Nipe kimoja tu alichosimamia mswahili kimesimama.Hata nyerere mwenyewe alikiri alifanya makosa kutaifisha biashara za watu na zikawa mzigo ikabidi aendeshe kwa ruzuku hadi Ben alipozibinafisha kuwapa watu binafsi angalau yakaanza kuzalisha. Hivi wewe unawajua waswahili kuliko Nyerere ambae nae alijifanya mbishi kutosikiliza ushauri wa Kambona alikuja muelewa Kambona tayari kumekuchwa uchumi ukiwa umekufa.Nyerere hakuwahi fanikiwa kuzalisha uchumi bali alitumia ziada ya misingi ya pesa alizoachiwa na mkoloni.Serikali haiwezi Fanya biashara ikafanikiwa itapigwa tu.Jamaa yako alipaswa ajifunze kutorudia makosa aliyofanya nyerere yaani monopolization and centralization bali yeye anafanya the same mistake alizofanya Nyerere at the end majibu ujulikana
 

serikali haiwezi kupunguza mzunguko wa ela kwa sababu hawamiliki pesa! kwa mfano mwananchi ana uwezo wa kufanya kazi au anaweza kutrade dola kwa tsh , unaweza kufanya kazi ukalipwa kwa dolla ama aina yoyote ya pesa, na pia serikali haimiliki pesa, yenyewe inategemea kodi kujiendesha ingekua wana pesa wala wasingewasumbua na kodi

mwenye maamuzi ya mzunguko wa pesa kwenye maisha ni wewe binafsi, unaweza kufanya shuhuli zako na usijihusishe na political influence: mfano bitcoin ni free trade duniani haina influence yoyote ya central bank wala serikali, kazi kwako!
 

haiwezekani uwe hai na huna income! there must be a way u get your income to feed your needs ikiwepo chakula
 

dunia imebadilika shehe! both private na public znakufa, ushindan saahv ni mkubwa sana hakuna cha private wala public, cha muhimu strategies nzuri
 

Nimekwambia leta ushahidi wewe unazunguka mbuyu. Wacha porojo!
 

Usiongelee Ben mwizi ambaye mikononi mwake ATCL ilikufa, TANESCO ilikuwa iko intensive care magenerator yalikuwa kwenye kila duka, mgao wa umeme kama kawa, wacha uswahili. Kwanza wewe hukumfahamu mchonga ki-vile unahadithiwa tu.
 
Kuna mwenye njaa yeyeto amewahi kuwa mvivu afe njaa.Au shughuli zenyewe hazipo ulizia mafundi uelewe,ulizia mama lishe,machinga.Mzunguko ndio uchumi kama haupo utaishia kutwanga kinu maji haviuziki

Utakufa na porojo za JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…