Je,tunaweza kumaliza ufuska kwenye ndoa?

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Naomba ushauri kutoka kwenu wadau,ni njia zipi zinaweza kutumika ili ama kupunguza au kumaliza ufuska kwenye ndoa.Kwani siku hizi taarifa kuhusu ufuska kwenye ndoa ni nyingi sana
 
ni muhimu sana kuhakikisha kwamba katika ndoa yenu, nyote mnakau na afya njema daima, afya ya uzazi, afya ya akili, utimamu wa mwili na zaidi sana afya ya uchumi ambayo itasaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha ndoa na kuepusha ufuska.

haiwezekani kwenye ndoa hamzungumzi wala kugusana kunako6kwa6 kwa zaidi ya miezi miwili halafu pasiwepo kuvuka boda, kwasababu ya tatizo la Afya ya uzazi au vinginevyo 🐒
 
Nje ya mada lkn

Agwambo wewe hii saa tisa kasoro tano unawaza usaliti katika ndoa umenyimwa mzigo au mpnz/mkeo ndio anarudi maskani kutoka kupigwa mti?
 
asante kwa majibu mazuri
 
Nje ya mada lkn

Agwambo wewe hii saa tisa kasoro tano unawaza usaliti katika ndoa umenyimwa mzigo au mpnz/mkeo ndio anarudi maskani kutoka kupigwa mti?
ama ngulumbili humuwezi,unauliza hiki unajibiwa kile
 
Naomba ushauri kutoka kwenu wadau,ni njia zipi zinaweza kutumika ili ama kupunguza au kumaliza ufuska kwenye ndoa.Kwani siku hizi taarifa kuhusu ufuska kwenye ndoa ni nyingi sana
Kama wahusika wata play part zao kikamilifu
 
Oa bikira.
Otherwise...
Masculinity.jpeg
 
ni muhimu sana kuhakikisha kwamba katika ndoa yenu, nyote mnakau na afya njema daima, afya ya uzazi, afya ya akili, utimamu wa mwili na zaidi sana afya ya uchumi ambayo itasaidia kwa kiasi kikubwa kuimarisha ndoa na kuepusha ufuska.

haiwezekani kwenye ndoa hamzungumzi wala kugusana kunako6kwa6 kwa zaidi ya miezi miwili halafu pasiwepo kuvuka boda, kwasababu ya tatizo la Afya ya uzazi au vinginevyo 🐒
Inaonekana kuwa uchumi wa mwanaume ukiimarika tu shida inaanzia hapo.
 
Hakuna. Wanaume wanawaka tamaa. Hawaridhiki. Na wanawake tunaingia humu kutokana na hasira na kutaka kulipiza kisasi.
 
Hayo ni masuala binafsi ya watu
 
Back
Top Bottom