Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

Kilichomkatisha tamaa Lissu ni pale alipotoa kauli mara mbili kuwataka watu waingie mtaani kufanya vurugu. On both occasions watu hawajajitokeza. Imemdhalilisha sana hasahasa kwa wafadhili wake ambao walidhani Lissu ana wafuasi.

Alichoamua ni kuendelea na maisha yake binafsi. Ndio maana tangu ameondoka hajaandika tweet yoyote kwa wadau wake.
 
Kweli mnakiu ya damu zawatu mlitaka abaki ili iweje sasa anzeni kunyonyana damu wenyewe kukamata mabasi mabovu ya Msukuma na kuwakamua kodi Wasanii mliowalipa mamilioni wakati wa kampeni chafu kuwatukana Wapinzani
 
Punguza unafiki wee ni mtu mzima na unafamilia....KILICHOFANYA SERIKALI HAIKUWA UCHAGUZI BALI TUME KUSOMA KURA ZAO

Jaribu kuwa specific unamjibu nani. Ikiwezekana kwoti andiko la unayemjibu...

Kama umenikwoti Mimi, basi utakuwa hujasoma na kulielewa andiko kwa ujumla wake...

Namtetea Tundu Lissu na kamwe sijaunga mkono UCHAGUZI HUU...!!

Rudia tena kunisoma..
 
Kweli mnakiu ya damu zawatu mlitaka abaki ili iweje sasa anzeni kunyonyana damu wenyewe kukamata mabasi mabovu ya Msukuma na kuwakamua kodi Wasanii mliowalipa mamilioni wakati wa kampeni chafu kuwatukana Wapinzani

You are off of the point...

Hujasoma na kulielewa andiko langu..

Nakushauri usome upya tena, unaweza kuelewa mantiki ya hoja yangu..
 
Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020.

Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama.

Wengine wanasema is WEAK and COWARD, wengine wanasema, ni wakala wa mabeberu hivyo baada ya kushindwa vibaya na mpinzani wake John Magufuli (CCM) karudi kwa waliomtuma.

Kila asiyempenda Tundu Lissu hususani wafuasi wa utawala wa CCM chini ya Magufuli, anasema lake ili mradi kuhalalisha fikra, hisia na mawazo yake potofu yasiyo na "proof" yoyote.

Naleta kwenu hoja hii iliyo katika mtindo wa maswali mawili ili tuweze kujadili kwa pamoja kwa kuzingatia historia ya mwanadamu ya kupambania Ukombozi na Umhuru wake tangu kuumbwa kwa mwanadamu huyu na viambata vyake, yaani ULIMWENGU - ardhi, anga na maji na vilivyomo ndani ya vyote hivi.

NINI MAONI YANGU MIMI, THE PALM TREE?
Tundu Lissu is neither WEAK nor COWARD.

Tundu Lissu hajakimbia mapambano, bali anayaendeleza kwa ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI. If you don't believe now, wait and see.

Tundu Lissu hajawaacha "solemba" mamilioni ya wafuasi, mashabiki wake na wanachama wa CHADEMA waliomuunga na wanaendelea kumuunga mkono katika harakati za ukombozi wa pili wa nchi hii nzuri ya Tanzania.

KWA SABABU GANI?
Kwa sababu katika medani ya ya vita na mapambano jambo la kwanza ni kufikiri na kulizingatia ni hili;

Okoa maisha yako by all means possible, angamiza maadui kila mwanya unapotokea kwa kutumia silaha ulizonazo!

CASE STUDY: YESU KRISTO

Kwa wasiomtambua huyu mtu, mtanisamehe kumtumia kama mfano kujenga hoja yako.

Ni kwamba Yesu Kristo ni mwanaharakati mmoja mkubwa na wa kipekee kuwahi kutokea katika historia ya ulimwengu huu...

Alipigania UHURU na UKOMBOZI wa mwanadamu katika namna ambayo ni ya kipekee sana na ikagharimu maisha yake...

Kwa "uanaharakati wake" wa HAKI ZA BINADAMU alijikuta ni adui namba moja wa tawala za kibinadamu za nyakati hizo, mpaka leo dhidi wote wale waliobeba imani na itikadi yake.

Alikuwa ni tishio kwa watawala binadamu dhalimu. Na tishio hata leo. Solution yake ilikuwa ni lazima AUWAWE.

Kwa sababu hii, majaribu kadhaa ya KUUWAWA kabla ya kusudi na lengo lake kutimia yalifanyika unsuccessfully...

Mara zote aliyakwepa kwa kukimbia na kujificha mahali kwanza huku akipanga mikakati mipya ya kupambana na adui...

Kwa wanaoijua ama kuisoma historia ya mtu huyu wa kipekee (mwana wa Adamu), ni kuwa mara baada ya kuzaliwa tu, watawala wa serikali za kibinadamu walitambua kuwa utawala wao na maslahi yao yako hatarini kwa sababu ya huyu jamaa..

Wakapanga mikakati ya kumuua angali mtoto kabisa. Wazazi wake wakataarifiwa kuhusu mpango huo...

Wakamtorosha mtoto na kwenda kujificha mahali. Sina hakika kama alikwenda kwa "mabeberu" japo walisemasema hivyo...

Watawala kwa kutojua alipo, ilitolewa amri na Rais (Herode) wa nchi hiyo wakati huo, watoto wote wenye umri kati ya miaka 0 - 3 nchi nzima wauwawe. Ikawa vile.

Masikini, mamilioni ya watoto wasio na hatia nchi nzima wakauwawa kwa sababu ya kulinda kile kilichoitwa na watawala "maslahi ya nchi" lakini ukweli ukiwa siyo kabisa bali ni kulinda "maslahi ya viongozi/watawala" tu.

Kutokea hapo kukawa na "series " ya majaribio ya kuuwawa kwa mkombozi na mwanaharakati huyu. They all failed spectacularly..

On the other hand, kifo ndiyo ilikuwa "njia ya ukombozi" iliyopangwa kutumika kumkomboa mwanadamu kutoka ktk kongwa la utumwa la utawala wa kidikteta wa mwanadamu usio haki...

Lakini ilikuwa si kwa namna waliyotaka watawala bali kwa namna ilivyopangwa na Mungu muumba mwenyewe...

NINI KILITOKEA?
Kuepuka mitego ya watawala ya kutaka kumwangamiza Yesu Kristo kabla ya wakati wake ilikuwa ni mkakati kufikia lengo la ukombozi..

Hiyo haikuwa kutelekeza wapenzi na wafuasi wake...

That wasn't a sign of WEAKNESS and COWARDNESS.

Kwenda kuishi uhamishoni haikuwa kuwaogopa watawala wala siyo kutumika na waliompa hifadhi...

Hiyo ilikuwa, a way to the victory.

Hivyo basi, kwangu mimi naamini VITA hii ya ukombozi wa taifa hili kwa kumtumia Tundu Lissu mtu jasiri kabisa, inaendelea na itakwenda hata kuufikia ushindi....!!

Watawala hawa, deep inside their heart wanajua na kutambua fika kabisa kuwa THIS MAN IS STILL A THREAT TO THEM THAT WILL EVENTUALLY TURN TO REALITY..

Hawana AMANI, hawana UTULIVU WA NAFSI, nia zao zimejaa ULAGHAI na UJANJA UJANJA...

Pamoja na kwamba, hayuko hapa nchini, wataendelea kumtafuta hadi (labda) lengo lao la kumfuta duniani litimie...

Hata hivyo, maadui hawa wa HAKI wako so desparate. They know exactly kwamba, mwisho wao uko karibu na pua zao. Na obviously hautakuwa mwisho mwema..!

Kila la kheri Tundu Lissu huko uhamishoni!
maneno miiiingi utazani unaomba posa.
ungeuliza waliomshut LISSU risasi 16 watapatikana lini ningekuona wewe ni mwanamme
 
Kilichomkatisha tamaa Lissu ni pale alipotoa kauli mara mbili kuwataka watu waingie mtaani kufanya vurugu. On both occasions watu hawajajitokeza. Imemdhalilisha sana hasahasa kwa wafadhili wake ambao walidhani Lissu ana wafuasi.

Alichoamua ni kuendelea na maisha yake binafsi. Ndio maana tangu ameondoka hajaandika tweet yoyote kwa wadau wake.
Watanzania bado wanawakumbuka, Urio Simango, Alfonso Dlakama, Savimbi,Kasavubu, Tshombe na Tembo
 
Kitendo cha kumpiga risasi Lissu ndicho kilichomjenga kimataifa. Alisema aliyosema hakuaminika sana lakini figisu za uchaguzi zinaonyesha ukweli wa madai yake ya awali. Watamsikiliza zaidi sasa. Badala ya kuondoa hilo tunabaki kutukana kwa maneno beberu. Shoga na msaliti huku tukimwacha akichanja mbuga. Kiukweli matendo yetu yatatuhukumu.
Beberu, shoga au msaliti hayasaidii kitu
 
Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020.

Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama.

Wengine wanasema is WEAK and COWARD, wengine wanasema, ni wakala wa mabeberu hivyo baada ya kushindwa vibaya na mpinzani wake John Magufuli (CCM) karudi kwa waliomtuma.

Kila asiyempenda Tundu Lissu hususani wafuasi wa utawala wa CCM chini ya Magufuli, anasema lake ili mradi kuhalalisha fikra, hisia na mawazo yake potofu yasiyo na "proof" yoyote.

Naleta kwenu hoja hii iliyo katika mtindo wa maswali mawili ili tuweze kujadili kwa pamoja kwa kuzingatia historia ya mwanadamu ya kupambania Ukombozi na Umhuru wake tangu kuumbwa kwa mwanadamu huyu na viambata vyake, yaani ULIMWENGU - ardhi, anga na maji na vilivyomo ndani ya vyote hivi.

NINI MAONI YANGU MIMI, THE PALM TREE?
Tundu Lissu is neither WEAK nor COWARD.

Tundu Lissu hajakimbia mapambano, bali anayaendeleza kwa ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI. If you don't believe now, wait and see.

Tundu Lissu hajawaacha "solemba" mamilioni ya wafuasi, mashabiki wake na wanachama wa CHADEMA waliomuunga na wanaendelea kumuunga mkono katika harakati za ukombozi wa pili wa nchi hii nzuri ya Tanzania.

KWA SABABU GANI?
Kwa sababu katika medani ya ya vita na mapambano jambo la kwanza ni kufikiri na kulizingatia ni hili;

Okoa maisha yako by all means possible, angamiza maadui kila mwanya unapotokea kwa kutumia silaha ulizonazo!

CASE STUDY: YESU KRISTO

Kwa wasiomtambua huyu mtu, mtanisamehe kumtumia kama mfano kujenga hoja yako.

Ni kwamba Yesu Kristo ni mwanaharakati mmoja mkubwa na wa kipekee kuwahi kutokea katika historia ya ulimwengu huu...

Alipigania UHURU na UKOMBOZI wa mwanadamu katika namna ambayo ni ya kipekee sana na ikagharimu maisha yake...

Kwa "uanaharakati wake" wa HAKI ZA BINADAMU alijikuta ni adui namba moja wa tawala za kibinadamu za nyakati hizo, mpaka leo dhidi wote wale waliobeba imani na itikadi yake.

Alikuwa ni tishio kwa watawala binadamu dhalimu. Na tishio hata leo. Solution yake ilikuwa ni lazima AUWAWE.

Kwa sababu hii, majaribu kadhaa ya KUUWAWA kabla ya kusudi na lengo lake kutimia yalifanyika unsuccessfully...

Mara zote aliyakwepa kwa kukimbia na kujificha mahali kwanza huku akipanga mikakati mipya ya kupambana na adui...

Kwa wanaoijua ama kuisoma historia ya mtu huyu wa kipekee (mwana wa Adamu), ni kuwa mara baada ya kuzaliwa tu, watawala wa serikali za kibinadamu walitambua kuwa utawala wao na maslahi yao yako hatarini kwa sababu ya huyu jamaa..

Wakapanga mikakati ya kumuua angali mtoto kabisa. Wazazi wake wakataarifiwa kuhusu mpango huo...

Wakamtorosha mtoto na kwenda kujificha mahali. Sina hakika kama alikwenda kwa "mabeberu" japo walisemasema hivyo...

Watawala kwa kutojua alipo, ilitolewa amri na Rais (Herode) wa nchi hiyo wakati huo, watoto wote wenye umri kati ya miaka 0 - 3 nchi nzima wauwawe. Ikawa vile.

Masikini, mamilioni ya watoto wasio na hatia nchi nzima wakauwawa kwa sababu ya kulinda kile kilichoitwa na watawala "maslahi ya nchi" lakini ukweli ukiwa siyo kabisa bali ni kulinda "maslahi ya viongozi/watawala" tu.

Kutokea hapo kukawa na "series " ya majaribio ya kuuwawa kwa mkombozi na mwanaharakati huyu. They all failed spectacularly..

On the other hand, kifo ndiyo ilikuwa "njia ya ukombozi" iliyopangwa kutumika kumkomboa mwanadamu kutoka ktk kongwa la utumwa la utawala wa kidikteta wa mwanadamu usio haki...

Lakini ilikuwa si kwa namna waliyotaka watawala bali kwa namna ilivyopangwa na Mungu muumba mwenyewe...

NINI KILITOKEA?
Kuepuka mitego ya watawala ya kutaka kumwangamiza Yesu Kristo kabla ya wakati wake ilikuwa ni mkakati kufikia lengo la ukombozi..

Hiyo haikuwa kutelekeza wapenzi na wafuasi wake...

That wasn't a sign of WEAKNESS and COWARDNESS.

Kwenda kuishi uhamishoni haikuwa kuwaogopa watawala wala siyo kutumika na waliompa hifadhi...

Hiyo ilikuwa, a way to the victory.

Hivyo basi, kwangu mimi naamini VITA hii ya ukombozi wa taifa hili kwa kumtumia Tundu Lissu mtu jasiri kabisa, inaendelea na itakwenda hata kuufikia ushindi....!!

Watawala hawa, deep inside their heart wanajua na kutambua fika kabisa kuwa THIS MAN IS STILL A THREAT TO THEM THAT WILL EVENTUALLY TURN TO REALITY..

Hawana AMANI, hawana UTULIVU WA NAFSI, nia zao zimejaa ULAGHAI na UJANJA UJANJA...

Pamoja na kwamba, hayuko hapa nchini, wataendelea kumtafuta hadi (labda) lengo lao la kumfuta duniani litimie...

Hata hivyo, maadui hawa wa HAKI wako so desparate. They know exactly kwamba, mwisho wao uko karibu na pua zao. Na obviously hautakuwa mwisho mwema..!

Kila la kheri Tundu Lissu huko uhamishoni!
Lissu ni MWANAHARAKATI siyo MWANASIASA, hivyo kukimbia mapambano ni sawa, kwani that is a typical feature of WANAHARAKATI ambao hicho ni kama chanzo chao cha mapato na kuishi. Hivyo Lissu ataendeleza UANAHARAKATI na zaidi mtaona akihojiwa na vituo kama BBC, VOA n.k. Pia mtamuona kwenye midahalo huko UK au US au Canada au Ubelgiji; na huko atakuwa akisema wanayotaka ASEME na kumlipa vidola kidogo, wao wanaita HANDOUTS! That will make him survive, of course atakuwa na vishughuli vingine visivyo halali ili aishi! Kwa sababu huko Ughaibuni hakuna FREE LUNCH!
 
Hao wafuasi mamilion huwa mnatumia njia gani kuwabaini?

Kapata kura 1.9M (Kamzidi Mrema wa 1995 kura 100K pekee) Usiniambie kaibiwa kwa maana hata Mrema naye "aliibiwa".

Kaitisha maandamano yasiyokoma nchi nzima,si watu tu bali hamna hata kenge kaonekana mtaani.
 
maneno miiiingi utazani unaomba posa.
ungeuliza waliomshut LISSU risasi 16 watapatikana lini ningekuona wewe ni mwanamme

Haa haa..

Sijui kama umesoma na kuelewa...

Ni maneno mengi, lakini ulipaswa usome mpaka mwisho kama unapenda kuchangia, kisha uielewe hoja na ndipo u - comment...

Actually, the simple way to judge you is that, you're absolutely off the point...!!

Hukusoma na kuelewa hoja yangu..
 
Hao wafuasi mamilion huwa mnatumia njia gani kuwabaini?

Kapata kura 1.9M (Kamzidi Mrema wa 1995 kura 100K pekee) Usiniambie kaibiwa kwa maana hata Mrema naye "aliibiwa".

Kaitisha maandamano yasiyokoma nchi nzima,si watu tu bali hamna hata kenge kaonekana mtaani.
Kwa kuona kwa macho, utawabaini...

Actually, ni kwa njia ileile unayoweza kutumia wewe kuwabaini...
 
Lissu ni MWANAHARAKATI siyo MWANASIASA, hivyo kukimbia mapambano ni sawa, kwani that is a typical feature of WANAHARAKATI ambao hicho ni kama chanzo chao cha mapato na kuishi. Hivyo Lissu ataendeleza UANAHARAKATI na zaidi mtaona akihojiwa na vituo kama BBC, VOA n.k. Pia mtamuona kwenye midahalo huko UK au US au Canada au Ubelgiji; na huko atakuwa akisema wanayotaka ASEME na kumlipa vidola kidogo, wao wanaita HANDOUTS! That will make him survive, of course atakuwa na vishughuli vingine visivyo halali ili aishi! Kwa sababu huko Ughaibuni hakuna FREE LUNCH!

POINT:

Nini maana na tofauti ya MWANAHARAKATI na MWANASIASA?

I guess, you've ignorantly and unknowingly tried to use them out of context with reference to Tundu Lissu...!

By the way, ukiulizwa sasa na mtu mwenye ufahamu makini kuwa, Bwana John Pombe Magufuli ni nani katika muktadha huu, unaweza kutoa jibu gani?

Ni TAPELI, MWANASIASA, MWANAHARAKATI or just a certain HOOLIGAN picked from the dumping place..??
 
POINT:

Nini maana na tofauti ya MWANAHARAKATI na MWANASIASA?

Hivi ukiulizwa Bwana John Pombe Magufuli ni nani katika muktadha huu, unaweza kutoa jibu gani?

Ni TAPELI, MWANASIASA, MWANAHARAKATI or just a certain HOOLIGAN picked from the dumping place..??
Sitaki kuingia au kuingizwa kwenye mtego wa KIJINGA kama huu unaotaka kuniwekea wa MITUSI, I am not of that type. I am very sorry! Kama una hoja lete, lakini kama ni MITUSI kwa heri!
 
Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020.

Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama.

Wengine wanasema is WEAK and COWARD, wengine wanasema, ni wakala wa mabeberu hivyo baada ya kushindwa vibaya na mpinzani wake John Magufuli (CCM) karudi kwa waliomtuma.

Kila asiyempenda Tundu Lissu hususani wafuasi wa utawala wa CCM chini ya Magufuli, anasema lake ili mradi kuhalalisha fikra, hisia na mawazo yake potofu yasiyo na "proof" yoyote.

Naleta kwenu hoja hii iliyo katika mtindo wa maswali mawili ili tuweze kujadili kwa pamoja kwa kuzingatia historia ya mwanadamu ya kupambania Ukombozi na Umhuru wake tangu kuumbwa kwa mwanadamu huyu na viambata vyake, yaani ULIMWENGU - ardhi, anga na maji na vilivyomo ndani ya vyote hivi.

NINI MAONI YANGU MIMI, THE PALM TREE?
Tundu Lissu is neither WEAK nor COWARD.

Tundu Lissu hajakimbia mapambano, bali anayaendeleza kwa ARI ZAIDI NA KASI ZAIDI. If you don't believe now, wait and see.

Tundu Lissu hajawaacha "solemba" mamilioni ya wafuasi, mashabiki wake na wanachama wa CHADEMA waliomuunga na wanaendelea kumuunga mkono katika harakati za ukombozi wa pili wa nchi hii nzuri ya Tanzania.

KWA SABABU GANI?
Kwa sababu katika medani ya ya vita na mapambano jambo la kwanza ni kufikiri na kulizingatia ni hili;

Okoa maisha yako by all means possible, angamiza maadui kila mwanya unapotokea kwa kutumia silaha ulizonazo!

CASE STUDY: YESU KRISTO

Kwa wasiomtambua huyu mtu, mtanisamehe kumtumia kama mfano kujenga hoja yako.

Ni kwamba Yesu Kristo ni mwanaharakati mmoja mkubwa na wa kipekee kuwahi kutokea katika historia ya ulimwengu huu...

Alipigania UHURU na UKOMBOZI wa mwanadamu katika namna ambayo ni ya kipekee sana na ikagharimu maisha yake...

Kwa "uanaharakati wake" wa HAKI ZA BINADAMU alijikuta ni adui namba moja wa tawala za kibinadamu za nyakati hizo, mpaka leo dhidi wote wale waliobeba imani na itikadi yake.

Alikuwa ni tishio kwa watawala binadamu dhalimu. Na tishio hata leo. Solution yake ilikuwa ni lazima AUWAWE.

Kwa sababu hii, majaribu kadhaa ya KUUWAWA kabla ya kusudi na lengo lake kutimia yalifanyika unsuccessfully...

Mara zote aliyakwepa kwa kukimbia na kujificha mahali kwanza huku akipanga mikakati mipya ya kupambana na adui...

Kwa wanaoijua ama kuisoma historia ya mtu huyu wa kipekee (mwana wa Adamu), ni kuwa mara baada ya kuzaliwa tu, watawala wa serikali za kibinadamu walitambua kuwa utawala wao na maslahi yao yako hatarini kwa sababu ya huyu jamaa..

Wakapanga mikakati ya kumuua angali mtoto kabisa. Wazazi wake wakataarifiwa kuhusu mpango huo...

Wakamtorosha mtoto na kwenda kujificha mahali. Sina hakika kama alikwenda kwa "mabeberu" japo walisemasema hivyo...

Watawala kwa kutojua alipo, ilitolewa amri na Rais (Herode) wa nchi hiyo wakati huo, watoto wote wenye umri kati ya miaka 0 - 3 nchi nzima wauwawe. Ikawa vile.

Masikini, mamilioni ya watoto wasio na hatia nchi nzima wakauwawa kwa sababu ya kulinda kile kilichoitwa na watawala "maslahi ya nchi" lakini ukweli ukiwa siyo kabisa bali ni kulinda "maslahi ya viongozi/watawala" tu.

Kutokea hapo kukawa na "series " ya majaribio ya kuuwawa kwa mkombozi na mwanaharakati huyu. They all failed spectacularly..

On the other hand, kifo ndiyo ilikuwa "njia ya ukombozi" iliyopangwa kutumika kumkomboa mwanadamu kutoka ktk kongwa la utumwa la utawala wa kidikteta wa mwanadamu usio haki...

Lakini ilikuwa si kwa namna waliyotaka watawala bali kwa namna ilivyopangwa na Mungu muumba mwenyewe...

NINI KILITOKEA?
Kuepuka mitego ya watawala ya kutaka kumwangamiza Yesu Kristo kabla ya wakati wake ilikuwa ni mkakati kufikia lengo la ukombozi..

Hiyo haikuwa kutelekeza wapenzi na wafuasi wake...

That wasn't a sign of WEAKNESS and COWARDNESS.

Kwenda kuishi uhamishoni haikuwa kuwaogopa watawala wala siyo kutumika na waliompa hifadhi...

Hiyo ilikuwa, a way to the victory.

Hivyo basi, kwangu mimi naamini VITA hii ya ukombozi wa taifa hili kwa kumtumia Tundu Lissu mtu jasiri kabisa, inaendelea na itakwenda hata kuufikia ushindi....!!

Watawala hawa, deep inside their heart wanajua na kutambua fika kabisa kuwa THIS MAN IS STILL A THREAT TO THEM THAT WILL EVENTUALLY TURN TO REALITY..

Hawana AMANI, hawana UTULIVU WA NAFSI, nia zao zimejaa ULAGHAI na UJANJA UJANJA...

Pamoja na kwamba, hayuko hapa nchini, wataendelea kumtafuta hadi (labda) lengo lao la kumfuta duniani litimie...

Hata hivyo, maadui hawa wa HAKI wako so desparate. They know exactly kwamba, mwisho wao uko karibu na pua zao. Na obviously hautakuwa mwisho mwema..!

Kila la kheri Tundu Lissu huko uhamishoni!
Yaani andiko hili ni lissu kabisa huyu. yuko nyuma ya keyboard na nyuma yakle zaidi pompeo
 
Kura million 12 alizotabiri lisu atapewa bwana mkubwa ni ushahidi tosha lisu ana infomer wengi ndani ya system

Lkn good enough leo wkt anazindua bunge magu amekubali kwamba vitambulisho vya machinga vinahitaji maboresho makubwa ikiwemo kuweka jina na picha ya muhusika

Hii inathibitisha lisu sio mchezo
 
Kuhusu ID za Machinga,ni hivi, kama kuna ushauri mzuri, mtu yoyote mwenye akili anauchukua na kuufanyia kazi PERIOD! Huo pia ni ustaarabu.
 
Back
Top Bottom