Kweli kabisa hatujawahi kupata mgombea asiye na doa wala mawaa kama TL
..TL ana mapungufu yake. Hakuna mtu asiye na mapungufu.
..disadvantage aliyonayo ukimlinganisha na wagombea wa upinzani waliopita ni kwamba utawala huu ni KATILI zaidi ya tawala za Mwinyi, Mkapa, na Kikwete.
..advantage aliyonayo TL ni kwamba anagombea wakati wananchi wana uelewa, mazoea, na wanaukubali, mfumo wa vyama vingi kuliko wakati wowote ule.