Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu ana nguvu gani dhidi ya wagombea wengine wa urais?

Kweli kabisa hatujawahi kupata mgombea asiye na doa wala mawaa kama TL

..TL ana mapungufu yake. Hakuna mtu asiye na mapungufu.

..disadvantage aliyonayo ukimlinganisha na wagombea wa upinzani waliopita ni kwamba utawala huu ni KATILI zaidi ya tawala za Mwinyi, Mkapa, na Kikwete.

..advantage aliyonayo TL ni kwamba anagombea wakati wananchi wana uelewa, mazoea, na wanaukubali, mfumo wa vyama vingi kuliko wakati wowote ule.
 
Na hii ndio itakayompoteza mazima. Mtu akisikia tu jamaa katumwa na mabeberu basi kwisha kazi

Senti bai yuzingi tecno T301
Ndugu watanzania wa karne hii sio mbumbumbu.
Inaonekana unawachukulia poa sana.
 
Si karata ya kutegemea ikubalike as long as anajua kujitetea alikuwa katika matibabu nothing more
Hakuna karata hapo kikubwa tusubiri kila mmoja ajinadi watu wataamua .
Nijuavyo tutayaskia mengi katika kipind hiki cha kampeni.
Lowasa pamoja na kashifa Barbara Zilidekiwa.
Wagombea waandae Sera nZuri za kutuahidi.
 

Aaah bwana weee, yaani ndo wafikiri hivi kweli?

Sijui una maana gani kusema "wamemuharikisha"....

Nimekusikiliza na kutazama mdomo wako unavyozungumza, nikagundua kuwa, hata humaanishi lolote hiki unachozungumza....!!

This is the right challenger, right winner, at the right time...

Kama Rais wenu Magufuli anaamini kuwa " ametenda makubwa" (hata sijui yapi maana wengine hatuyaoni, mnaona ninyi tu PRAISE TEAM MEMBERS), basi aache mchecheto aache "nature" iamue badala ya kulazimishwa na nguvu ya asili ku - evacuate....

Naomba nikuhakikishie jambo moja tu, kwamba, kama ni sanduku la kura tu ndilo liachwe liamue, Magufuli na CCM watapigwa KO mapema asubuhi tu katika uchaguzi huu....!!

Ni ukweli mchungu sana huu, lakini nakushauri jaribu kuula hivyo hivyo, maana utashiba vizuri tu...
 
Ni muhimu kwa vyombo vya dola katika uchaguzi huu mkuu vikasimamia haki ili wananchi wakachagua viongozi wanaowataka. Let the will of the people prevail!!
 

Heshimu Maoni yangu kama nami pia ninavyoyaheshimu haya yako Pumbavu.
 
Uko sahihi kabisa.
 
Wakati ni sasa baada ya mateso na kukandamizwa na utawala wa ccm watz tuna nafasi mikononi(kura) kufanya maamuzi tarehe 28/10/2020 kwa kuchagua viongozi makini wenye hofu ya Mungu wasiolewa madaraka
 
CDM kuweni tu makini bao la mkono lisifungwe, nini uhakika ushindi ni wenu mwaka huu kama ilivyokuwa mwaka 2015.
Wafungaji wa hilo bao wanaanzia bench,hivyo bao hilo halifungiki.
Anayemaliza mda wake anaanza kuaga taratibu,hali mbaya!
 
Hili lipo wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…